ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,967
Kila mwanadamu aliishi porin man is a cave dweller waafrica tulichelewa kidogo kutoka mapangoni
Swali gumu hilo.pia tunaweza ligeuza tukauliza ,mzungu ni nani?Je ni mtu mweupe anayeishi bara la Ulaya?mwafrika ni nani? je ni mtu mweusi, mtu mwenye asili ya afrika au mtu anayeishi bara afrika tuanzie hapa kwanza.
Unaambiwa kuwa chimpanzees wana 99% ya DNA ya binadamu. Kwa hiyo hatupishani sana.Mkiambiwa mko sawa na wale wa Serengeti mtabisha?
Kwa sababu walikuwa hawajavumbua indoor plumbing na wanakaa magorofani. Unajisaidia kwenye ndoo usiku halafu asubuhi ndio foleni ya kwenda kumwaga kinyesi huko chini.Kuugua kipindupindu maanayake ni kuwa umekula kinyesi cha binadamu tena kibichi. Mnamo karne ya 18 huko marekani ktk miji mikubwa watu walikuwa wanakufa kama panya. Walipata shida sana
Kwa sababu mzungu, "Caucasian" inajumuisha Mwarabu, Mhindi, Mturuki na Mzungu kama tunavyomjua. Wote hao wana tabaka tofauti za maendeleo.Swali gumu hilo.pia tunaweza ligeuza tukauliza ,mzungu ni nani?Je ni mtu mweupe anayeishi bara la Ulaya?
Unaambiwa kuwa chimpanzees wana 99% ya DNA ya binadamu. Kwa hiyo hatupishani sana.
Wilderbeest? Hiyo ni jamii ya swala.Na Nyumbu je?
Kwa hiyo kiongozi, hapa tunaweza kuhitimisha kwamba 'mwafrika ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mzungu?'Mkuu umenisononesha sana na uzi wako! nimeumia sana
Binafsi najivunia kuwa Mwafrika,tena Mungu Amenipatia zawadi kubwa sana,Tafuta historia yako,akili kama hizo ndio zimefanya makaka wengi leo wamegeuka mashoga kwa wazungu
We have Brilliant History.....They have powerful Media,nakushauri ukasome kitabu kinaitwa They come before Columbus,Before The Mayflower,The Destruction Of Black Civilization,alafu kama utapenda kasome na how europe under developed Africa,ukimaliza hvo niambie nikutajie na vingine
Humo utapata story za watu weusi,watu wanaosadikika kuwa ndio wamiliki wa nchiya israel,msome mansa Musa tajiri mweusi toka karne ya kumi na tatu,tajiriambaye mpaka leo hajatokea wa kumpiku,tajir aliyeenda kuhiji maka na dhahabu mpaka uchumi wa maka ukatikisika,ulikuja kukaa sawa miezi 11 baada,soma sewage system ya Egypt,Mwafrika ndo mtu wa kwanza kuyakata maji baharini kwenda nchi za amerika na ulaya muda huo hata columbus mfalme wake hajazaliwa,columbus ni kizazi chatatu,black alishafika,akafuata phoenician ndio columbas,black ndio mtu pekee alikuwa ame advance katika technolojia ya kwenye maji,ilikuwa ina tengenezwa mitumbwi inabeba mpaka ton 70,na hyo mitumbwi ilikuwa miti yake inanunuliwa nchi za Brazil,kwa kubadilishanana writting pads,kwani Egypt tayarilikuwa imesha kuwa kinara masula ya elimu,naijeria pia! ukisema kwa utajiri,westAfrika ilikuwa na utajir wa dunia nzima
Misri kulikuwa kuna miti ya kutengenezea mashua iliachwa makusudi kwa ajili yakutunza mazingira,wahindi weusi walikuwa vibaraka wkubwa wa waafrika,
Unasemajemtu mweusi alishindwa kuyatawala mazingira?unauhakika? watuwa east Afrika ndio watuwa kwanza Afrika kukata maji kwenda china na kumpelekea mfalme wanchi hiyo zawadi ya tembo,hivi unajua kua Suni Ali alikuwana watumwa 1000 wakiwemo wazungu?
Tena sana,Kwa hiyo kiongozi, hapa tunaweza kuhitimisha kwamba 'mwafrika ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mzungu?'
Unaongea katika statistics zipi katika community ya hao watu weusi Au subsaharan Africans ? Negligible!Mleta maada ni msomi koko.Alitakiwa aandike baadhi ya waafrika kama yeye sio waafrika wote.Wako akina Dangote,Akina BAKHRESA,Akina Mengi na watu kama mimi tunajitambua na hatuna sifa hizo alizozitaja za baadhi ya hao waafrika
Asante ndugu, huyu jamaa inaonekana ana matatizo makubwa ya kisaikolojia!Mtoa mada anaonyesha kuwa sehemu kubwa ya maisha yake ameyatumia kwa kufanya kazi za ndani kwa wazungu...au ameishi ulaya katika sehemu yenye ubaguzi wa kiwango cha juu sana.....
Muuza ubuyuAsante ndugu, huyu jamaa inaonekana ana matatizo makubwa ya kisaikolojia!
Asante ndugu. Nimetafuta jibu kama lako. Kidogo ningekata tamaa. Hakuna kitu kinacho nisikitisha kama kutokujua historia yetu. Bahati mbaya elimu yetu inafundisha zaidi historia ya utumwa na biashara. Ninaamini kabisa waafrika tuliweza kuishi vizuri, kwa teknolojia iliyoakisi mazingira yetu; bila kuharibu mazingira kama teknolojia nyingi za siku hizi. Tulikuwa na dawa za mitishamba zilizoweza kupatikana na mtu yeyote bila kujali ana hela ya kununulia au la.Mkuu umenisononesha sana na uzi wako! nimeumia sana
Binafsi najivunia kuwa Mwafrika,tena Mungu Amenipatia zawadi kubwa sana,Tafuta historia yako,akili kama hizo ndio zimefanya makaka wengi leo wamegeuka mashoga kwa wazungu
We have Brilliant History.....They have powerful Media,nakushauri ukasome kitabu kinaitwa They come before Columbus,Before The Mayflower,The Destruction Of Black Civilization,alafu kama utapenda kasome na how europe under developed Africa,ukimaliza hvo niambie nikutajie na vingine
Humo utapata story za watu weusi,watu wanaosadikika kuwa ndio wamiliki wa nchiya israel,msome mansa Musa tajiri mweusi toka karne ya kumi na tatu,tajiriambaye mpaka leo hajatokea wa kumpiku,tajir aliyeenda kuhiji maka na dhahabu mpaka uchumi wa maka ukatikisika,ulikuja kukaa sawa miezi 11 baada,soma sewage system ya Egypt,Mwafrika ndo mtu wa kwanza kuyakata maji baharini kwenda nchi za amerika na ulaya muda huo hata columbus mfalme wake hajazaliwa,columbus ni kizazi chatatu,black alishafika,akafuata phoenician ndio columbas,black ndio mtu pekee alikuwa ame advance katika technolojia ya kwenye maji,ilikuwa ina tengenezwa mitumbwi inabeba mpaka ton 70,na hyo mitumbwi ilikuwa miti yake inanunuliwa nchi za Brazil,kwa kubadilishanana writting pads,kwani Egypt tayarilikuwa imesha kuwa kinara masula ya elimu,naijeria pia! ukisema kwa utajiri,westAfrika ilikuwa na utajir wa dunia nzima
Misri kulikuwa kuna miti ya kutengenezea mashua iliachwa makusudi kwa ajili yakutunza mazingira,wahindi weusi walikuwa vibaraka wkubwa wa waafrika,
Unasemajemtu mweusi alishindwa kuyatawala mazingira?unauhakika? watuwa east Afrika ndio watuwa kwanza Afrika kukata maji kwenda china na kumpelekea mfalme wanchi hiyo zawadi ya tembo,hivi unajua kua Suni Ali alikuwana watumwa 1000 wakiwemo wazungu?
Muuza ubuyu
Mie naona tofauti Ati, Wewe jiulize:
Critically; pekua internet, angalia kila kona hapo ulipo halafu utoe jibu.
= high crime rate - weusi - Africans
- poverty - African subsaharan
- omba omba - subsaharan Africans
- family zilizosambaratika kwa vita, njaa Na magonjwa subsaharan Africa
- dictatorship
The list is long-------
Mtoa mada Au nyie Ndiyo hamko Sawa upstairs!!!??
Wapi Afrika?Muuza ubuyu
Mie naona tofauti Ati, Wewe jiulize:
Critically; pekua internet, angalia kila kona hapo ulipo halafu utoe jibu.
= high crime rate - weusi - Africans
India inaongoza kwa umaskini na omba omba.- poverty - African subsaharan
- omba omba - subsaharan Africans
Mashariki ya Kati kuna vita visivyoisha.- family zilizosambaratika kwa vita, njaa Na magonjwa subsaharan Africa
- dictatorship
Mkuu umenisononesha sana na uzi wako! nimeumia sana
Binafsi najivunia kuwa Mwafrika,tena Mungu Amenipatia zawadi kubwa sana,Tafuta historia yako,akili kama hizo ndio zimefanya makaka wengi leo wamegeuka mashoga kwa wazungu
We have Brilliant History.....They have powerful Media,nakushauri ukasome kitabu kinaitwa They come before Columbus,Before The Mayflower,The Destruction Of Black Civilization,alafu kama utapenda kasome na how europe under developed Africa,ukimaliza hvo niambie nikutajie na vingine
Humo utapata story za watu weusi,watu wanaosadikika kuwa ndio wamiliki wa nchiya israel,msome mansa Musa tajiri mweusi toka karne ya kumi na tatu,tajiriambaye mpaka leo hajatokea wa kumpiku,tajir aliyeenda kuhiji maka na dhahabu mpaka uchumi wa maka ukatikisika,ulikuja kukaa sawa miezi 11 baada,soma sewage system ya Egypt,Mwafrika ndo mtu wa kwanza kuyakata maji baharini kwenda nchi za amerika na ulaya muda huo hata columbus mfalme wake hajazaliwa,columbus ni kizazi chatatu,black alishafika,akafuata phoenician ndio columbas,black ndio mtu pekee alikuwa ame advance katika technolojia ya kwenye maji,ilikuwa ina tengenezwa mitumbwi inabeba mpaka ton 70,na hyo mitumbwi ilikuwa miti yake inanunuliwa nchi za Brazil,kwa kubadilishanana writting pads,kwani Egypt tayarilikuwa imesha kuwa kinara masula ya elimu,naijeria pia! ukisema kwa utajiri,westAfrika ilikuwa na utajir wa dunia nzima
Misri kulikuwa kuna miti ya kutengenezea mashua iliachwa makusudi kwa ajili yakutunza mazingira,wahindi weusi walikuwa vibaraka wkubwa wa waafrika,
Unasemajemtu mweusi alishindwa kuyatawala mazingira?unauhakika? watuwa east Afrika ndio watuwa kwanza Afrika kukata maji kwenda china na kumpelekea mfalme wanchi hiyo zawadi ya tembo,hivi unajua kua Suni Ali alikuwana watumwa 1000 wakiwemo wazungu?
Achana na hao mkuu.Muuza ubuyu