Africans are "misplaced human beings" in this planet

Kitu kimoja ambacho lazima ukifahamu vizuri ni kwamba Waafrika weusi tumegawanyika kwenye makundi mawili.

Kundi la kwanza asili yao ni nyani wewe ni mmoja wapo.

Kundi la pili ni uzao wa Adam na Hawa/Eva humo mimi nipo, Nyerere yupo, Mandela yupo, Kwame Nkhruma yupo and likes.

Unapoongelea kwamba Waafrika hakuna tunaloliweza unashangaza sana hebu tuletee Mzungu atuchongee kinyago cha mmakonde kwanza ndio utaelewa nasema nini.

Pia hao wazungu unaodhani wana teknolojia walete Tanzania watujengee pyramid kama zile za kule Giza Egypt tutawalipa pesa yoyote waitakayo.

Cha mwisho kwa kukusaidia ufunguke akili tatizo la Waafrika ni maandishi hakuna maandishi yalioyoachwa na babu zetu historia nyingi ya Muafrika wameandika wazungu ndio maana hata mtu kama wewe uliyotokana na nyani umekuwa confused.

Wazee wetu wa zamani ni well talented, wala hawakuhitaji kuvaa saa kujuwa wakati, tangu asubuhi juwa linatoka mpaka linazama wanajuwa ni saa ngapi, tangu mbalamwezi inatoka hadi kunakuchwa hata umkurupushe usingizini nane usiku ukimuuliza saa yeye akiangalia mbalamwezi anakujibu.

Loading......
nyani wa lumumba wana manyoya mengi,kila muda wanachambuana chawa mpaka maka.l.ioni
 
Yoote unayosema hatukuwa nayo yalikuwepo kabla wageni hawajaja. Kuanzia teknolojia hadi madawa vilikuwepo na bado vipo.

Walipojuja walitukuta tukifuga na kulima. Tukijitibu na kujilisha.

Tulilazikishwa kuacha mifumo yetu ya maisha na kufuata yabkwai ili tuwe TEGEMEZI.

Hebu kasome tena historia.
acha historia ya shule ya msingi.unajidanganya.Hebu nipe dawa ya kutibu Kaswende wakati ule.Acha uJPMba.
 
Badala ya kukasirika na kuvimba kwa nitakachokiandika,jipe muda kwanza wa kuyatafakari maneno yangu kabla ya kunihukumu na pengine kutukana n.k.

Hivi wewe mwafrika mwenzangu una amini kweli sisi waafrika tulipaswa kuishi katika hii sayari?

Mnyama ana kitu kinaitwa "adaptation" kinachomwezesha kuyakabili na kuyamudu mazingira anayoishi.Je,unafikiri sisi Waafrika tunayamudu na kuyatawala mazingira tunayoishi ili tuishi vizuri kama viumbe wengine?

Mnyama akila akashiba inatosha kabisa na anakuwa ameridhika na ninaweza kusema anamudu mazingira yake.Lakini,je na wewe binadamu hali ni hiyo?

Hebu turudi kidogo kwenye historia.Historia inatufundisha kuwa watu kutoka mabara mengine: wazungu,waarabu, n.k, walikuja Afrika kutafuta maliasili kwa ajili ya viwanda vyao huko ulaya na pia kutafuta masoko kwa ajili ya bidhaa wanazozalisha huko Ulaya na kwingineko.

Maswali ya kujiulizi:

Sisi Waafrika tuligundua kuwa tuna hizi maliasili kabla ya ujio wa hawa wageni kutoka mabara mengine?

Kama tulikuwa hatujui umuhimu wala thamani ya hivi vitu,je unaamini viliumbwa kwa ajili yetu?

Kama kweli viliumbwa kwa ajili yetu, inakuwaje hata tu uwezo na maarifa ya kutambua kuwa hii ni maliasili muhimu inakuwa ni tatizo?

Kingine cha kujiuliza,kama kweli hizi maliasili ziliumbwa na mungu(nature) kwa ajili ya mtu mweusi, inakuwaje mungu huyo huyo atunyime sisi Waafrika uwezo wa kuwa na teknolojia ya ku-process maliasili hizi na badala yake uwezo huo akawapa tu watu kutoka mabara mengine?

Je,huu si ushahidi kuwa sisi tuko katika hii sayari kimakosa tu na wala hatukusatahili?

Kama tulistahili kuishi katika hii dunia na wakati huo huo tumenyimwa maarifa(teknolojia n.k),je huu si ushahidi kuwa ilipangwa tutawaliwe na watu wengine wenye maarifa kutuzidi?Je,huu si ushahidi kuwa hata ukoloni ulikuwa ni mpango wa mungu(nguvu za asili)?

Uongozi na kujitawala:
Ukiangali asili ya mwafrika kujitawala,utagundua tuliumbiwa kujitawala katika ngazi za koo au makabila tu na si kwa ngazi ya leo hii kinachoitwa nchii au Mataifa ya kiafrika.Kabla ya ujio wa Wakoloni hatukuwa na kitu kinachoitwa Tanganyika,Uganda,Zimbabwe, n.k na ndio maana mpaka leo hii Waafrika demokrasia kwa ya kujitawala wenyewe imetushinda.Haya mambo tumelazimishwa tu tulistahili kutawaliwa na machifu na wafalme tu wa makabila yetu.

Maradhi:
Inakuwaje sisi Waafrika tuletwe katika hii dunia yenye maradhi mengi ili hali hatukupewa uwezo wa kukabilana na maradhi haya kama kweli tulitakiwa kuishi katika hii sayari?Kuna dawa gani ya asili leo hii inayoweza kutibu ugonjwa kama kipindupindu?Matibabu ya upasuaji bila wageni tungeyaweza wapi?

Kitu kingine.Jiulize ni kwanini samaki anaweza kuishi baharini tu na si nchi kavu na ni kwanini wewe huwezi kuishi baharini bali nchi kavu tu?Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira tunayoishi na uwezo wa kuyatumia/kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi.

Hiyo ni mifano michache tu ila swali kubwa na la muhimu hapa ni kuwa,kama Waafrika tulipangiwa kuishi katika hii sayari,ni kwanini basi tumenyimwa uwezo wa kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi katika hii sayari bila msaada wa watu kutoka mabara mengine?

Binafsi nina majibu mawili hapa:

Mosi,hii sayari haikuumbiwa mtu mweusi na pengine tuliletwa hapa duniani kimakosa tu ila kuna sayari ambayo ilitufaa sisi watu weusi isiyo na changamoto hizi ambazo bila wageni tusingeweza hata kuishi.

Pili,kama sisi Waafrika tuliletwa ili tuishi katika hii dunia,basi ni mpango wa mungu(nature) tuishi kwa kutegemea uwepo wa watu wengine na ndio maana mpaka leo hii bado wanatutawala na wataendelea kututawala tu kwa miaka mingi.

Vile vile huenda ilipangwa kuwa tutatawaliwa na kuongozwa na wageni kutoka nje ya bara la Afrika mpaka pale tutakapoweza kujitegemea mithili ya mtoto mdogo anavyolelewa na mzazi wake mpaka aje apate akili na uwezo wa kujitegemea.
Pluto inatuhusu!
 
Unazungumzia mtu mweusi peke yake ama ?
Mtu mweusi popote alipo!
hata America, tazama Haiti nchi yenye population ya weusi pekee ktk visiwa vya Caribbean, ndio yenye balaa kubwa, umaskini, maradhi na ujinga! na weusi popote walipo duniani ndio inferior race, hata ndani ya US ndio wakazi wa inner cities kwenye shida zote!
 
Hamna tofauti yoyote baina ya Waafrika na Wazungu. Shida za watu weusi ni ushirikina, kama siyo ushirikina wetu ni kukumbatia ushirikina wa Wazungu na Waarabu. By the way, hata Wazungu wenyewe siku hizi wanauponda huo ushirikina, wanasema ni watu wasio na elimu tu ambao wanaamini kuna mtu mbinguni anayefanya miujiza.

Kitu kingine cha kujikumbusha ni kuwa kama unaamini sayansi, ni kuwa chimbuko la binadamu wote ni Afrika, siyo hadithi ya kuwa binadamu wa kwanza alikuwa Myahudi au Mwarabu.. Hao Wazungu ni Waafrika waliohama miaka mingi iliyopita, na kila sehemu waliyopita wakawa wana-adapt na mazingira wanayoyakuta na kutokana na hali ya hewa hata ngozi zao zikawa zina-adapt. Sababu ni kwamba ukizidi kutoka kwenye sehemu za jua, huitaji kuzalisha melanin, (inayotupa ngozi nyeusi ana inatuwezesha kustahimili jua) Hata kwa sasa hivi unaweza kuona kuwa jamaa waliobakia vijijini, (na siwasemi kwa sababu hata mimi wazazi wa mababu zangu walizaliwa huko), hawajachangamka sana kama wale waliosafiri na/au kuhamia sehemu nyingine.

Na mimi nina theory yangu ingawa siyo ya kisayansi. Unaweza kuona kila unapozidi kwenda Kaskazini, unakuta watu wamepiga hatua kuliko kusini. Geneticists wanasema bushmen wa Kusini mwa Afrika ndio wahenga wa binadamu wote, maana unakuta wana sura nyingi tofauti, za Kibantu, Kizungu, Kichina, n.k. Ukizidi kuenda Kaskazni unakutana na wakulima ambao wameendelea kidogo kwa sababu hawazunguki wakiwinda wanyama pori. Ukizidi kwenda Kaskazini unakutana na Waarabu, halafu Waturuki ambao wamepiga hatua kidogo, unaingia Ulaya ya Kusini ambayo imeendelea kuliko Waturuki lakini sio sana kama mataifa ya Ulaya Kaskazini kama Ujerumani au Uingereza.

Kitu cha muhimu ni kwamba kutangulia si kufika. Hizi nchi nyingi za Asia zilitawaliwa na Wazungu kama sisi, lakini leo zimepiga hatua zaidi. Badala ya kukumbatia dini za watu weupe, wenyewe wameiga mambo yanayowasaidia kama elimu na technology. Ndio maana leo hukuti mtu anauliza Wajapani wangapi wamepata tuzo za utafiti ukilinganisha na Wazungu kwa sababu it is not important.

Kwa hiyo tusikate tamaa. Tuchape kazi, tusiabudu viongozi na tuwe na open mind. Tusibishe vitu ambavyo wenzetu washajifunza na kugundua miaka mingi iliyopita. We should not re-invent the wheel.
 
Mtu mweusi popote alipo!
hata America, tazama Haiti nchi yenye population ya weusi pekee ktk visiwa vya Caribbean, ndio yenye balaa kubwa, umaskini, maradhi na ujinga! na weusi popote walipo duniani ndio inferior race, hata ndani ya US ndio wakazi wa inner cities kwenye shida zote!
Kuna sababu kwa nini Haiti ni maskini. Waafrika walitolewa kwao wakapelekwa kulima mashamba ya miwa. Walivyochoka kupelekeshwa na wazungu, wakaasi na kuwatimua Wafaransa wote Haiti. Marekani ambayo ilikuwa inafanya biashara ya utumwa enzi hizo, hawakutaka hao jamaa waamshe watumwa wao, kwa hiyo hawakuwatambua na wakawawekea vikwazo vya uchumi kama walivyomfanyia Mugabe hapa.

Hata hao wakazi wa inner cities nao wana historia ndefu. Baada ya utumwa wakatupwa tu mijini. Wakawa wanabaguliwa, elimu wananyimwa, huwezi ukategemea wakaja wakawapita Wazungu ambao ndio walikuwa mabwana zao, (masters) Elimu inaleta mabadiliko, kwa sababu hata Wazungu ambao hawajasoma ni ovyo tu kama mtu mweusi asiye na elimu.
 
Maendeleo yanatokana na changamoto unazokabiliana nazo, huku chakula kilikuwepo, dawa zilikuwepo, maeneo ya kutosha.
Fikiria kama kungekuwa na theluji inaanguka miezi mitatu mfululizo, babu zetu wasingefikiria jinsi ya ku 'adapt' ?
Ndio babu zetu walifanya hivyo walipofika Ulaya.
 
Badala ya kukasirika na kuvimba kwa nitakachokiandika,jipe muda kwanza wa kuyatafakari maneno yangu kabla ya kunihukumu na pengine kutukana n.k.

Hivi wewe mwafrika mwenzangu una amini kweli sisi waafrika tulipaswa kuishi katika hii sayari?

Mnyama ana kitu kinaitwa "adaptation" kinachomwezesha kuyakabili na kuyamudu mazingira anayoishi.Je,unafikiri sisi Waafrika tunayamudu na kuyatawala mazingira tunayoishi ili tuishi vizuri kama viumbe wengine?

Mnyama akila akashiba inatosha kabisa na anakuwa ameridhika na ninaweza kusema anamudu mazingira yake.Lakini,je na wewe binadamu hali ni hiyo?

Hebu turudi kidogo kwenye historia.Historia inatufundisha kuwa watu kutoka mabara mengine: wazungu,waarabu, n.k, walikuja Afrika kutafuta maliasili kwa ajili ya viwanda vyao huko ulaya na pia kutafuta masoko kwa ajili ya bidhaa wanazozalisha huko Ulaya na kwingineko.

Maswali ya kujiulizi:

Sisi Waafrika tuligundua kuwa tuna hizi maliasili kabla ya ujio wa hawa wageni kutoka mabara mengine?

Kama tulikuwa hatujui umuhimu wala thamani ya hivi vitu,je unaamini viliumbwa kwa ajili yetu?

Kama kweli viliumbwa kwa ajili yetu, inakuwaje hata tu uwezo na maarifa ya kutambua kuwa hii ni maliasili muhimu inakuwa ni tatizo?

Kingine cha kujiuliza,kama kweli hizi maliasili ziliumbwa na mungu(nature) kwa ajili ya mtu mweusi, inakuwaje mungu huyo huyo atunyime sisi Waafrika uwezo wa kuwa na teknolojia ya ku-process maliasili hizi na badala yake uwezo huo akawapa tu watu kutoka mabara mengine?

Je,huu si ushahidi kuwa sisi tuko katika hii sayari kimakosa tu na wala hatukusatahili?

Kama tulistahili kuishi katika hii dunia na wakati huo huo tumenyimwa maarifa(teknolojia n.k),je huu si ushahidi kuwa ilipangwa tutawaliwe na watu wengine wenye maarifa kutuzidi?Je,huu si ushahidi kuwa hata ukoloni ulikuwa ni mpango wa mungu(nguvu za asili)?

Uongozi na kujitawala:
Ukiangali asili ya mwafrika kujitawala,utagundua tuliumbiwa kujitawala katika ngazi za koo au makabila tu na si kwa ngazi ya leo hii kinachoitwa nchii au Mataifa ya kiafrika.Kabla ya ujio wa Wakoloni hatukuwa na kitu kinachoitwa Tanganyika,Uganda,Zimbabwe, n.k na ndio maana mpaka leo hii Waafrika demokrasia kwa ya kujitawala wenyewe imetushinda.Haya mambo tumelazimishwa tu tulistahili kutawaliwa na machifu na wafalme tu wa makabila yetu.

Maradhi:
Inakuwaje sisi Waafrika tuletwe katika hii dunia yenye maradhi mengi ili hali hatukupewa uwezo wa kukabilana na maradhi haya kama kweli tulitakiwa kuishi katika hii sayari?Kuna dawa gani ya asili leo hii inayoweza kutibu ugonjwa kama kipindupindu?Matibabu ya upasuaji bila wageni tungeyaweza wapi?

Kitu kingine.Jiulize ni kwanini samaki anaweza kuishi baharini tu na si nchi kavu na ni kwanini wewe huwezi kuishi baharini bali nchi kavu tu?Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira tunayoishi na uwezo wa kuyatumia/kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi.

Hiyo ni mifano michache tu ila swali kubwa na la muhimu hapa ni kuwa,kama Waafrika tulipangiwa kuishi katika hii sayari,ni kwanini basi tumenyimwa uwezo wa kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi katika hii sayari bila msaada wa watu kutoka mabara mengine?

Binafsi nina majibu mawili hapa:

Mosi,hii sayari haikuumbiwa mtu mweusi na pengine tuliletwa hapa duniani kimakosa tu ila kuna sayari ambayo ilitufaa sisi watu weusi isiyo na changamoto hizi ambazo bila wageni tusingeweza hata kuishi.

Pili,kama sisi Waafrika tuliletwa ili tuishi katika hii dunia,basi ni mpango wa mungu(nature) tuishi kwa kutegemea uwepo wa watu wengine na ndio maana mpaka leo hii bado wanatutawala na wataendelea kututawala tu kwa miaka mingi.

Vile vile huenda ilipangwa kuwa tutatawaliwa na kuongozwa na wageni kutoka nje ya bara la Afrika mpaka pale tutakapoweza kujitegemea mithili ya mtoto mdogo anavyolelewa na mzazi wake mpaka aje apate akili na uwezo wa kujitegemea.
ukweli upo to some extent ila ukweli wako una shida moja!
wewe unaona kuwa weusi maisha yametushinda kwa vipimo vyako vya artificial life.
hayo unayoyataka wewe si sehemu ya maisha ya asili, meaning kuwa na serikali za muundo huu si asili ya viumbe-clans ni very natural hata fisi, samba etc huwa wanaishi ndani ya koo
gari, uwezo wa kwenda mwezini/sayari nyingine (space) ni very artificial hakuna chochote kinachokuza au kuendeleza utu, etc!
kiukweli sisi weusi ndio tunaostahamili shida kuliko watu wote, ktk mazingira haya magumu ya joto na magonjwa hatari weupe wengi wangekufa, labda ndio maana nature ikatuselect! kweli Mungu inawezekana amewapa watu weupe akili kubwa kuliko sisi, ndio maana nao wana-survive ktk mabara yanayohitaji wenye akili Zaidi kuishi, ulaya na north America ambapo wazungu wamejaa, nature hairuhusu wadudu wengi wa maradhi ya kijinga ku-survive ila majanga ya asili yanahitaji brain kuyakabili. Africa hakuhitaji sana brain ila kunahitaji immunity!
so sisi brain ndogo hard disc ya MB chache na processor speed ya GHz kadhaa tunaishi huku na jamaa wenye Terabites za kumwaga wao waishi huko!
so sio kama hatukustahili, tupo sehemu exactly tunayofit kuwepo na hayo tunayokosa ndio yanayotufanya tuishi hapa!
 
Kuna sababu kwa nini Haiti ni maskini. Waafrika walitolewa kwao wakapelekwa kulima mashamba ya miwa. Walivyochoka kupelekeshwa na wazungu, wakaasi na kuwatimua Wafaransa wote Haiti. Marekani ambayo ilikuwa inafanya biashara ya utumwa enzi hizo, hawakutaka hao jamaa waamshe watumwa wao, kwa hiyo hawakuwatambua na wakawawekea vikwazo vya uchumi kama walivyomfanyia Mugabe hapa.

Hata hao wakazi wa inner cities nao wana historia ndefu. Baada ya utumwa wakatupwa tu mijini. Wakawa wanabaguliwa, elimu wananyimwa, huwezi ukategemea wakaja wakawapita Wazungu ambao ndio walikuwa mabwana zao, (masters) Elimu inaleta mabadiliko, kwa sababu hata Wazungu ambao hawajasoma ni ovyo tu kama mtu mweusi asiye na elimu.
intelligence ni combination ya factors
kwanza ile sharpness ya brain yenyewe, lakini discipline na ile spirit ya hard work ndio mitaji mikubwa! karibu waafrica wote /mtu mweusi popote alipo kuwa na factors zote hizo ni shida!
sisi tuna ngozi ngumu, immunity ya kumwaga na ubongo wa mende, hii dunia yenye maradhi na inayohitaji akili kiduchu ndio inatufaa Zaidi!
 
Jibu la maswali yote lipo kwenye Biblia kitabu cha Mwanzo sura 9. Nabii Nuhu alisema blessed be the chidren of Shem and chidren of Japhet. Caanan will be their servants.

Yule mtoto aliyemcheka baba yake akiitwa Ham huyo ndiye baba wa caanan. Na Caanan ndiye baba wa Africa. Hivyo sisi waafrica tuna laana. Na laana haijivunji yenyewe ni mpaka ivunjwe. Hutuja vunja laana hiyo.

Ndiyo maana mataifa mengi walipokuja Afrika walitukuta hatuvai nguo bali magome ya miti. Wakati wao tayari walisha gundua nguo za mm ani sana na sasa wslikuwa kwenye kuinua uchumi.

Ndiyo maana hakuna taifa hata moja Afrika lilichomoza kwenda kutawala ulaya au mashariki ya mbali.

Sisi ni Kanumba. Ni mtoto aliyedumaa. Ni mpaka tusali na kuvunja hii laana

Hakuna kitu kinaitwa laana. Hizo ni hadithi za kusadikika tu.
 
Nashangaa huyu mtu anaitwa Nicodemas kaanzisha mada na kutuchukilia wana UKAWA wote ni vichaa wakati IQ alionayo haimwezishi hata kumudu mazingira yake bila msaada wa watu kutoka mabara mengine

Kama ni swala la IQ ndogo tuanzie kwenye uwezo wetu sisi Waafrika kumudu mazingira tunayoishi.
Tuanze Na IQ ya Kikwete Na Mwinyi
 
"...Duniani kila mtu anahisi ni sawa kumdharau mtu mweusi(Mwafrika) sio kwa sababu ya rangi nyeusi bali kwa sababu hata mwafrika mwenyewe anajidharau...."

Sullivan
 
Kitu kimoja ambacho lazima ukifahamu vizuri ni kwamba Waafrika weusi tumegawanyika kwenye makundi mawili.

Kundi la kwanza asili yao ni nyani wewe ni mmoja wapo.

Kundi la pili ni uzao wa Adam na Hawa/Eva humo mimi nipo, Nyerere yupo, Mandela yupo, Kwame Nkhruma yupo and likes.

Unapoongelea kwamba Waafrika hakuna tunaloliweza unashangaza sana hebu tuletee Mzungu atuchongee kinyago cha mmakonde kwanza ndio utaelewa nasema nini.

Pia hao wazungu unaodhani wana teknolojia walete Tanzania watujengee pyramid kama zile za kule Giza Egypt tutawalipa pesa yoyote waitakayo.

Cha mwisho kwa kukusaidia ufunguke akili tatizo la Waafrika ni maandishi hakuna maandishi yalioyoachwa na babu zetu historia nyingi ya Muafrika wameandika wazungu ndio maana hata mtu kama wewe uliyotokana na nyani umekuwa confused.

Wazee wetu wa zamani ni well talented, wala hawakuhitaji kuvaa saa kujuwa wakati, tangu asubuhi juwa linatoka mpaka linazama wanajuwa ni saa ngapi, tangu mbalamwezi inatoka hadi kunakuchwa hata umkurupushe usingizini nane usiku ukimuuliza saa yeye akiangalia mbalamwezi anakujibu.

Loading......
Hizo Ndiyo propaganda!
Kwanzaa mwandishi nafikiri alimaanisha sub Saharan Sfrica Egypt iache.

Mandela Na Wewe ok a ruling class from the same fish pond.

Evidence: sub Saharan African Wote tupo Sawa, ukiacha African blacks, Europe etc hata wale weusi wa Haiti, Papua New Guinea Wote hafai!
Haiti is the only poorest country in the Western Hemisphere
 
Yoote unayosema hatukuwa nayo yalikuwepo kabla wageni hawajaja. Kuanzia teknolojia hadi madawa vilikuwepo na bado vipo.

Walipojuja walitukuta tukifuga na kulima. Tukijitibu na kujilisha.

Tulilazikishwa kuacha mifumo yetu ya maisha na kufuata yabkwai ili tuwe TEGEMEZI.

Hebu kasome tena historia.
Kweli kabisa kwa mazingira yetu vilitutosha..... lakini sasa nyenzo zetu zilikua duni saana ukiiangalia Dunia ilipo.. ndiyo maana hata sasa bado tumeachwa nyuma katika kuvumbua vitu vipya na bora. Afrika hatuna changamoto kubwa ya kufikiri kua wabunifu
 
Chief mwaafrika anajiita kuwa ni mwanadamu ila kiuhalisia hajawa mwanadamu kamili still yupo kwenye revolution stage na kwa hali hiyo siyo kwamba kanyimwa technology au utaalam no.waafrika waliokwisha kuwa binadamu kamili wapo vizuri,muangalie Obama na mke wake,kuna mtanzania mwingine nilikutana nae twin cities Minnesota ni director and is doing great job.so tukisha maliza revolution stage hayo yote uliyoyazungumza haitakuwa issue.please note: revolution takes ages
Badala ya kukasirika na kuvimba kwa nitakachokiandika,jipe muda kwanza wa kuyatafakari maneno yangu kabla ya kunihukumu na pengine kutukana n.k.

Hivi wewe mwafrika mwenzangu una amini kweli sisi waafrika tulipaswa kuishi katika hii sayari?

Mnyama ana kitu kinaitwa "adaptation" kinachomwezesha kuyakabili na kuyamudu mazingira anayoishi.Je,unafikiri sisi Waafrika tunayamudu na kuyatawala mazingira tunayoishi ili tuishi vizuri kama viumbe wengine?

Mnyama akila akashiba inatosha kabisa na anakuwa ameridhika na ninaweza kusema anamudu mazingira yake.Lakini,je na wewe binadamu hali ni hiyo?

Hebu turudi kidogo kwenye historia.Historia inatufundisha kuwa watu kutoka mabara mengine: wazungu,waarabu, n.k, walikuja Afrika kutafuta maliasili kwa ajili ya viwanda vyao huko ulaya na pia kutafuta masoko kwa ajili ya bidhaa wanazozalisha huko Ulaya na kwingineko.

Maswali ya kujiulizi:

Sisi Waafrika tuligundua kuwa tuna hizi maliasili kabla ya ujio wa hawa wageni kutoka mabara mengine?

Kama tulikuwa hatujui umuhimu wala thamani ya hivi vitu,je unaamini viliumbwa kwa ajili yetu?

Kama kweli viliumbwa kwa ajili yetu, inakuwaje hata tu uwezo na maarifa ya kutambua kuwa hii ni maliasili muhimu inakuwa ni tatizo?

Kingine cha kujiuliza,kama kweli hizi maliasili ziliumbwa na mungu(nature) kwa ajili ya mtu mweusi, inakuwaje mungu huyo huyo atunyime sisi Waafrika uwezo wa kuwa na teknolojia ya ku-process maliasili hizi na badala yake uwezo huo akawapa tu watu kutoka mabara mengine?

Je,huu si ushahidi kuwa sisi tuko katika hii sayari kimakosa tu na wala hatukusatahili?

Kama tulistahili kuishi katika hii dunia na wakati huo huo tumenyimwa maarifa(teknolojia n.k),je huu si ushahidi kuwa ilipangwa tutawaliwe na watu wengine wenye maarifa kutuzidi?Je,huu si ushahidi kuwa hata ukoloni ulikuwa ni mpango wa mungu(nguvu za asili)?

Uongozi na kujitawala:
Ukiangali asili ya mwafrika kujitawala,utagundua tuliumbiwa kujitawala katika ngazi za koo au makabila tu na si kwa ngazi ya leo hii kinachoitwa nchii au Mataifa ya kiafrika.Kabla ya ujio wa Wakoloni hatukuwa na kitu kinachoitwa Tanganyika,Uganda,Zimbabwe, n.k na ndio maana mpaka leo hii Waafrika demokrasia kwa ya kujitawala wenyewe imetushinda.Haya mambo tumelazimishwa tu tulistahili kutawaliwa na machifu na wafalme tu wa makabila yetu.

Maradhi:
Inakuwaje sisi Waafrika tuletwe katika hii dunia yenye maradhi mengi ili hali hatukupewa uwezo wa kukabilana na maradhi haya kama kweli tulitakiwa kuishi katika hii sayari?Kuna dawa gani ya asili leo hii inayoweza kutibu ugonjwa kama kipindupindu?Matibabu ya upasuaji bila wageni tungeyaweza wapi?

Kitu kingine.Jiulize ni kwanini samaki anaweza kuishi baharini tu na si nchi kavu na ni kwanini wewe huwezi kuishi baharini bali nchi kavu tu?Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mazingira tunayoishi na uwezo wa kuyatumia/kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi.

Hiyo ni mifano michache tu ila swali kubwa na la muhimu hapa ni kuwa,kama Waafrika tulipangiwa kuishi katika hii sayari,ni kwanini basi tumenyimwa uwezo wa kuyamudu mazingira haya ili tuweze kuishi katika hii sayari bila msaada wa watu kutoka mabara mengine?

Binafsi nina majibu mawili hapa:

Mosi,hii sayari haikuumbiwa mtu mweusi na pengine tuliletwa hapa duniani kimakosa tu ila kuna sayari ambayo ilitufaa sisi watu weusi isiyo na changamoto hizi ambazo bila wageni tusingeweza hata kuishi.

Pili,kama sisi Waafrika tuliletwa ili tuishi katika hii dunia,basi ni mpango wa mungu(nature) tuishi kwa kutegemea uwepo wa watu wengine na ndio maana mpaka leo hii bado wanatutawala na wataendelea kututawala tu kwa miaka mingi.

Vile vile huenda ilipangwa kuwa tutatawaliwa na kuongozwa na wageni kutoka nje ya bara la Afrika mpaka pale tutakapoweza kujitegemea mithili ya mtoto mdogo anavyolelewa na mzazi wake mpaka aje apate akili na uwezo wa kujitegemea.
 
Mkuu pole sana ila jamaa yupo sahihi.hivi umewahi kusikia Obama akiwaita Republican kuwa ni maadui wake? Umewahi kuona wabunge wa Republican wakifukuzwa kwenye Congress zao? Je hawambishii rais na serikali yake?je umewahi kusikia Democratic ikiwaignore kwa kuwa wana bishia kila kitu?pole sana tena
Mtoa mada anaonyesha kuwa sehemu kubwa ya maisha yake ameyatumia kwa kufanya kazi za ndani kwa wazungu...au ameishi ulaya katika sehemu yenye ubaguzi wa kiwango cha juu sana.....
 
Chief mwaafrika anajiita kuwa ni mwanadamu ila kiuhalisia hajawa mwanadamu kamili still yupo kwenye revolution stage na kwa hali hiyo siyo kwamba kanyimwa technology au utaalam no.waafrika waliokwisha kuwa binadamu kamili wapo vizuri,muangalie Obama na mke wake,kuna mtanzania mwingine nilikutana nae twin cities Minnesota ni director and is doing great job.so tukisha maliza revolution stage hayo yote uliyoyazungumza haitakuwa issue.please note: revolution takes ages
Asante.Nimekuelewa mkuu.
 
Waafrika tuna mtihani mkubwa sana kujinasua kwenye mkenge tulioingizwa na wakoloni. Ila wanozidi kutuangamiza zaidi ni viongozi na wanasiasa wanaotanguliza tamaa za madaraka kuliko uzalendo ke=wa nchi zao. Hujuma nyingi zinafanywa na Wakoloni waliotutawala na kupitia wakoloni weusi. Kubalisha maisha kunahitaji alili nyingi sana lakini leo hii Afrika hakuna wenye akili isipokuwa wanasiasa/watawala. Ila tusikate tamaa, ipo siku akili itatumika.
Mkuu umesahau hao viongozi nao ni sehemu ya jamii.sema tu wao wametuzidi kidogo ndo maana wamefanikiwa kutushikia akili tulio wengi
 
Back
Top Bottom