"Ila bado mpaka leo hainiingii akilini Mogadishu na University of Somalia ni bora kuliko University of Ghana!"
Nadhani link inayoonyesha nafasi ya UDSM kwa mwaka 2009 ni hii hapa chini, ni kweli imeshika nafasi ya 18; gonga (world universitities...)
World Universities' ranking on the Web: Top Africa
kuhusu vigezo angalia site hiyohiyo (methodolgy) au fungua site hiyo hapo chini: nadhani hapo utapata majibu ya maswali yote, ni vigezo gani na vipi wanaprocess hizo data, gonga (world universities..mehodology)
World Universities' ranking on the Web: Methodology
The unit for analysis is the institutional domain, so only universities and research centres with an independent web domain are considered. If an institution has more than one main domain, two or more entries are used with the different addresses.
The first Web indicator, Web Impact Factor (WIF), was based on link analysis that combines the number of external inlinks and the number of pages of the website, a ratio of 1:1 between visibility and size. This ratio is used for the ranking, adding two new indicators to the size component: Number of documents, measured from the number of rich files in a web domain, and number of publications being collected by Google Scholar database.
FYI Mogadishu univ ni bora sana tena sana usiangalia vita wale wanaopigana wapo na kula kibao wanakata shule.....fuatilia vigezo utaniambiaIla bado mpaka leo hainiingii akilini Mogadishu na University of Somalia ni bora kuliko University of Ghana!
Aibu hata hivyo.
Kila kona tunashika mkia. nadhani tukishindanishwa kwenye ngoma tutaongoza duniani au vipi?