African University Ranking

International ranking standards revolve around the following factors:

Quality Assessment

>Peer Assessment
School deans, deans of academic affairs, the chair of faculty appointments, and the most recently tenured faculty members are asked to rate programs.

Selectivity

>Median Undergrad GPA
The median of the undergraduate grade point average of the previous year entering class of the full-time graduate program.

>Acceptance Rate
The proportion of applicants to the full-time program who were accepted for entry into the previous year entering class.

Publication per faculty

Employment Rates for Graduates

Faculty Resources

Expenditures Per Student
The average instruction, library, and supporting services are measured

Student/Faculty Ratio

Library Resources
The total number of volumes and titles in the school's library
 
Niliwahi kutembelea UN, HQ pale New York. Nikauliza taratibu za kupata kazi UN. Sifa ya kwanza ni Advanced Degree ambapo 1st Degree lazima iwe 1st Class ama Upper 2nd with Honours. Ajira hizo huzigawa kwa Zones mbalimbali.

Hawawezi kuweka criteria kama hiyo- either hukuelewa au waliamua kukudanganya, ama wewe watudanganya sie-
 
The top law school inaongozwa na Yale
Ikifuatiwa na Havard, bila 1st class no admission. Hakuna mtanzania amesoma huko sheria toka UD. Wakenya na waganda wapo. Uwongo wangu upi.?.
Hii sio kwa sababu hakuna wenye first class, na ukiangalia kwenye admission criteria huwezi kukuta criteria hiyo.
Hivyo usi-discourage watu ku-apply na kujaribu 'ngeksi' zao.
Vyuo hivyo 'baadhi' wanajua kinachoendelea katika nchi zetu, hivyo mara nyingi utakuta kuna mitihani kama GRE (graduate record exam) ambayo inawapa basis ya kuweza ku-compare applicant aliyesoma china na aliyesoma TZ, na aliyesoma US. Na vitu vingine kibao kama referees wako, essay unayoandika, kama wanahitaji essay, na uzoefu wa kazi perhaps!
 
Japo sijui vigezo rasmi vya hizo ranking, UDSM ingestahili kupata a better ranking kama sio baadhi ya matatizo ya kujitakia yanayosabaishwa na wahadhiri wetu.
Nitatolea mfano Kitivo cha Sheria, UDSM. Kwa miaka zaidi ya 15, kitivo hicho hakijawahi kutoa 1st Class ya Sheria. Wakati nikiwa UD, kuna baadhi ya wanafunzi were really bright tuliwategemea 1st Class lakini wapi. Niliwahi kuwauliza wahadhiri kulikoni, nilijibiwa in short wanafunzi wa siku hizi, hawasomi.

Conclusion binafsi nimeifikia kuwa japo kunawanafunzi wazuri wangeweza kupata 1st Class lakini walimu wanawabania. Matokeo yake ni chuo kinachofelisha. Kukosekana kwa 1st Class kumepelekea hakuna Mtanzania aliyekwenda kusomea advanced degree sheria kwenye the best law universities for the past 15 years. Hivyo kuchangia kudharaulika kwa LL.B ya UDSM. Kwenye EAC. Zamani the best law students walitoka UDSM, now Makerere na Nairobi wanamwaga ma 1st Class na kupeleka vijana Yale kiasi cha kufanya LL.B yetu isahaulike kwenye medani za kimataifa. 1st Class 3 za mwisho za LL.B, UDSM ni Dr. Asha Rose Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Dr. Hamoud Majamba. Naamini kumetokea vijana wazuri tuu ila maticha waliwabania na wataendelea kuwabania kisa kwanini wao wapate?.

Niliwahi kutembelea UN, HQ pale New York. Nikauliza taratibu za kupata kazi UN. Sifa ya kwanza ni Advanced Degree ambapo 1st Degree lazima iwe 1st Class ama Upper 2nd with Honours. Ajira hizo huzigawa kwa Zones mbalimbali. Tanzania iko The Eastern & The Horn of Africa. Tuko kundi moja kwa nchi za Afrika Mashariki, Somalia, Ethiopia na Eritrea. Asilimia kubwa ya nafasi hizo zimeshikwa na Wasomali wakifuatiwa na Wakenya, Waganda, Waeritrea, Waethiopia na sisi Watanzania ndio wa mwisho.
Nikamuuliza mwenyeji wangu, mtu wa foreign hii inakuwaje?. Au inamaana Watanzania ni vilaza?.Akanijibu hapana akasema tatizo la Watanzania hawaombi hizo nafasi zinapotokea.

Utafiti wangu ukagundua kila zinapotokea nafasi, wenzetu wanazitangaza hizo nafasi kwenye local media zao kwa raia wao na kuwaencourage waombe, sisi foreign wanazibania kupeana na matokeo yake wanakosa na wenzetu wanazijaza, kisa kwanini wewe upate. Japo nafasi hizo ziko open kwenye net, pnp yenye ufs foreign office ina matter sana.
Katika kubaniana academically, tunajikuta tunashusha rank za vyuo vyetu.

Psaco . . .
Maelezo yako ni mazuri..Nafikiri si kweli kwamba kwa miaka 15 mfululizo wanafunzi wa udsm wamekuwa wazembe hawasomi maana hata kwa shule vilaza hutokea hata mmoja akapata div 2. Hapa ni dhahiri kuna tatizo. What i know of Kenya ni kwamba kuna jitahada binafsi za serikali kupeleka wasomi wengi mno nje kwa maslahi ya taifa lao na ndio maana kuna wakenya wengi katika medani ya kimataifa.
 
@Calnde
@Pasco

I think the bottom line is Exposure. Serikali za majirani wetu hazifanyi jitihada za kupeleka wanafunzi. Ni kwamba wanafunzi wao wako exposed to such opportunities katika vyuo bora vya majuu. Ndio maana wako huko. Asilimia kubwa ya wanafunzi wa vyuo nchini mwetu hawatumii internet kwa manufaa ya ku'expand knowledge> sio kuangalia email na kutembelea tovuti za udaku kama za Global Publishers. Kwahiyo unakuta wengi hawafahamu vigezo vya kutuma maombi ktk hivyo vyuo bora. Ndio maana idadi ya UDSM graduates ni wachache ktk hizo Law schools ama professionals schools bora dunia. Exposure ni ndogo.
 
Well bado narudi kwa Quality...inaonekana pamoja na manjonjo yote ya exposure n.k kwa Ky na Ug UDSM inawapita kwa ubora...I mean Quality!

Je ipi bora..Quality or Quantity?

Moi kuna wakati aliwaamuru waalimu Kenya kutoa 1st Class nyingi ili Kenya waweze pata nafasi Oxford, Harvad n.k. Kutokana na hicho kibano Kenya zilitoka 1st Class nyingi ajabu wakati wa Moi!

Tz bado tuliendelea na quality!

Ktk Science na research Watz tuna machapisho mengi zaidi ya kisayansi kuliko Ky na Ug. kwa sababu hii hii ya kujali quality!

May be kama sasa hali ianze kubadilika maana vyuo vikuu vimekuwa kama uyoga Tz..na quality ya waalimu ..ndo hivyo tena!

The problem of big numbers bila kujiandaa is we compromise quality of output!
 
...jamni tafuteni ukweli kabla ya kuweka fix zenu humu,sijui mmesoma vyuo vya wapi nyie? inaonekana hamna idea kabisa na mnayoandika!
 
Its not fair kusema flatout lie. Nimetolea mfano kitivo cha sheria, UDSM, nimekuambia for more than 15 hatujatoa 1st class ya sheria. The top law school inaongozwa na Yale
Ikifuatiwa na Havard, bila 1st class no admission. Hakuna mtanzania amesoma huko sheria toka UD. Wakenya na waganda wapo. Uwongo wangu upi.?.
Hivi CHENGE hakusoma LLM Havard?
 
Hivi CHENGE hakusoma LLM Havard?

Katika tovuti ya Bunge inaonesha alisoma Harvard,

Education
Harvard University LL.M 1975 - MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1972 - GRADUATE
Mkwawa High School-Iringa A-Level Education 1967 1968 HIGH SCHOOL
St. Mary's Junior Seminary-Nyegezi Mwanza Secondary Education 1963 1966 SECONDARY
St. Pius Minor Seminary-Makoko, Musoma Primary Education 1959 1962 PRIMARY
Zagayo Primary School Primary Education 1955 1958 PRIMARY

Source: http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=30&vusername=GUEST")
 
Hivi CHENGE hakusoma LLM Havard?

Najua unahusisha na ufisadi alioufanya. Lakini uelewe kwamba hata kama mtu amesoma Havard anaweza kuwa na personal weaknesses ambazo hazicount kwa ubaya wa chuo. Cha msingi tuone tutakavyoboresha elimu yetu ili tuzalishe wasomi wasio mafisadi but wenye kutambulika kimataifa pia!
 
Katika tovuti ya Bunge inaonesha alisoma Harvard,

Education
Harvard University LL.M 1975 - MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam LL.B (Hons) 1972 - GRADUATE
Mkwawa High School-Iringa A-Level Education 1967 1968 HIGH SCHOOL
St. Mary's Junior Seminary-Nyegezi Mwanza Secondary Education 1963 1966 SECONDARY
St. Pius Minor Seminary-Makoko, Musoma Primary Education 1959 1962 PRIMARY
Zagayo Primary School Primary Education 1955 1958 PRIMARY

Source: http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=30&vusername=GUEST")
Huu ni uthibitisho Mh. Chenge ni kichwa!. LL.B (Hons)sio mchezo!.
Havard Law School is the 2nd best after Yale. Pia tunaWatanzania waliosoma Yale. Ni enzi zile, those good old days.
Mimi nilizungumzia the past 15 years. Pamoja na UDSM kutotoa any 1st Class ya Sheria for the past 15 years,
Nakiri its one of the best kwenye kanda yetu maana wengine wetu kuipata tuu hiyo pass ni kwa mbinde. Degree yenyewe ya UD unaisotea miaka 5 wakati Mzumbe na Tumaini wao ni miaka 3 tuu na 1st Class za kumwaga. Ukiomba scholarship ya graduate program
Yale au Havard, hiyo UD haimati tena, wenye 1st Class ndio wanaopata scholarship.
 
Pasco just forget about hizo first class maana sio factor kabisa kuingia kwenye hizo law school na hazitakusaidia chochote kwenye admission za Havard or Yale,nakushauri uangalie applications requirement za Harvard law school kuliko kuja hapa na kutoa information ambazo sio za kweli,they dont care about African universities na wengi wanaamini ni substandard na kuna ukweli kiasi fulani,kitu kitakachokusaidia kuingia kwenye hizo law school ni standardized test zao,sawa na vitu GMAT or GRE kwa business schools
 
what do you know about gmat and gre mr koba kimanga? wewe sana sana unachojua ni toefl tu...lol
 
Pasco: "Havard Law School is the 2nd best after Yale. Pia tunaWatanzania waliosoma Yale.Ni enzi zile, those good old days. Mimi nilizungumzia the past 15 years."

Tafadhali tazama tovuti hii chini, halafu scroll down to UDSM Law alumni Bw. Nshala:

Project on Justice, Welfare and Economics

Huyo ni mmoja tu. Wapo kibao waliokwenda huko na vyuo vingine vyenye heshima duniani kutoka hapa UDSM.

Watu wajitume tu ili wapate nafasi ktk vyuo bora dunia, explore opportunities.
 
Thanks Koba for this information. Ndio maana hapa tuko Jukwaa la Elimu. At least umeniwezesha kutenganisha facts na falacies kuhusu hizi best law schools. Angalau sasa nimeelewa kwa nini Dr. Asha Rose Migiro, Prof. Palamagamba Kabudi na Dr. Hamudi Majamba, licha ya kuscore !st Class UDSM, waliopt graduate program zao else where not Yale or Havard. Thanks again.
 
what do you know about gmat and gre mr koba kimanga? wewe sana sana unachojua ni toefl tu...lol

Mkuu Nyani Ngabu, heshima mbele. Kwa maoni yangu sio ustaarabu kumbatiza member jina zaidi ya lile aliloregister mwenyewe hata kama inatokea ukamfahamu kwa majina yake yote mawili. Kwa maneno mengine, Koba wa JF ni Koba tuu. Freedom ya JF ni anonimous, wanaopenda real names wapo na waliomua kuregister kwa majina real names yote mawili pia wapo. Natanguliza shukrani.
 
what do you know about gmat and gre mr koba kimanga? wewe sana sana unachojua ni toefl tu...lol

Mkuu Nyani Ngabu, heshima mbele. Kwa maoni yangu sio ustaarabu kumbatiza member jina zaidi ya lile aliloregister mwenyewe hata kama inatokea ukamfahamu kwa majina yake yote mawili. Kwa maneno mengine, Koba wa JF ni Koba tuu. Freedom ya JF ni anonimous, wanaopenda real names wapo na waliomua kuregister kwa majina real names yote mawili pia wapo. Natanguliza shukrani.
 
Pasco: "Havard Law School is the 2nd best after Yale. Pia tunaWatanzania waliosoma Yale.Ni enzi zile, those good old days. Mimi nilizungumzia the past 15 years."

Tafadhali tazama tovuti hii chini, halafu scroll down to UDSM Law alumni Bw. Nshala:

Project on Justice, Welfare and Economics

Huyo ni mmoja tu. Wapo kibao waliokwenda huko na vyuo vingine vyenye heshima duniani kutoka hapa UDSM.

Watu wajitume tu ili wapate nafasi ktk vyuo bora dunia, explore opportunities.
Asante Mkuu, nimemuona Rugemeleza Nshala. Hii thread imenifungua sana macho. Kumbe Yale na Havard zinaingilika bila 1st Class. Nimeelimika. Thanks.
 
Tatizo kubwa kama walivyosema wengine ni exposure na kujua where to get what. kuingia kwenye hizi Elite US universities it takes more than a first class ya UD au elsewhere. Wanaangalia mengi including hizo GMAT, GRE, work experience, professional accomplishment nk. kama ukizifanya vyema, basi unaweza pata admission na financial aid ofcourse. Na wanajua kabisa elimu zetu ni za manati manati. Infact kinachotugonga wengi wabongo na waafrika ni hizo Personal statements! Kujieleza. HAPO NDO MGOGORO ULIPO. I tell you, hata kama ungekuwa na straight A`s for your entire degree..kama Personal Statement ni bure..hutapata admission!

Harafu jiulize kama kigezo ingekuwa ni first class..kuna wachina, wajapani, waingereza nk wangapi wanazipata? ni thousands. So kigezo cha 1st class kitoe kabisa. Infact kwa wenye mpango wa kusukuma applications zao huko..US..ningewashauri ontop ya GPA nzuri..wawe na extra curriculum nzuri, they should engage themselves kwenye activities ambazo zina manufaa kwa jamii zao....US wanamind sana vitu kama hivyo! Infact ukiwa na extra curriculums fresh hata GPA inakuwa less factored in. Infact in UK GPA ni decisive factor kwenye admission. US ni tofauti. Ndo maana bila hiyo first class..kuingia Cambridge au Oxford itakuwa mbinde...though kama umekamilika idara nyingine..kunaingilika vile vile..but not like in US.

Majamba alikuwa na first class..alisoma Queens CANADA..ambayo kwenye global ranking sijui iko wapi...Migiro alisoma Konstanz Germany..ambayo iko mbali saana kwenye elite schools, same as Kabudi. (ofcourse hata hizi ni shule nzuri tuu) Unafikiri hawakuapply hizo US elite schools? mimi na wewe hatujui, ila inawezekana waliapply hawakupata.....Maana twende mbele turudi nyuma..no body wouldnt like to join US top tier schools! Kama angepata nafasi.
 
Its not fair kusema flatout lie. Nimetolea mfano kitivo cha sheria, UDSM, nimekuambia for more than 15 hatujatoa 1st class ya sheria. The top law school inaongozwa na Yale
Ikifuatiwa na Havard, bila 1st class no admission. Hakuna mtanzania amesoma huko sheria toka UD. Wakenya na waganda wapo. Uwongo wangu upi.?.

Ndugu yangu Pasco achana na mijitu mingine....inaujua ukweli basi tu ubishi...usikute hilo ni mojawapo ya conservative lecturers wa pale UDSM ndo maana linakwambia mwongo...linabisha bila hata kutoa data zinazopingana na uliyoyasema!

Thanks man
 
Back
Top Bottom