Yaani viongozi wetu wamepitisha azimio eti wawe na kinga ya kushitakiwa ICC wakati wakiwa madarakani.Kwahiyo yule anayedhania ni potential inductee hataachia madaraka kwa njia yoyote kama mugabe na m7.
Hivi hii si aibu kuazimia eti muuaji aendelee kupewa nafasi ya kuua zaidi huku dunia ikiangalia tu?
Kagame aliilaumu sana UN kwa kutochukua hatua kuzuia genocide kwa kuendekeza ile principle ya none interferance of internal affairs.ICC ni kiboko ya impunity na uongozi wa mkono wa chuma.
Africa hatuna mifumo huru ya kukabiliana na uonevu wa viongozi wetu.ICC ni mkombozi aliebakia japo ni mwiba mkali kwa madikteta.