nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Kweli sisi waafrika rahisi kusahau, si juzi juzi tu kaka KAGAME alitishia kutushambulia? sasa na tunavyomsikiliza UHURU KENYATTA na kujitoa ICC ina Maana UN haitahusika MAPAMBANO ya kivita yakianza kati yetu na RWANDA
Na sijui HISTORIA GANI tunafundishwa Madarasani au RAIS wa NCHI kafuta somo la HISTORIA kama ZANZIBAR; Wakati wa Vita ya UGANDA na TANZANIA AU then OAU iligoma kuwa Msuluhishi
Kwahiyo tutauana Mpaka tuchoke kunuka DAMU... Na Unatujua sisi WAAFRIKA we don't know how to govern ourselves