African Dictators meet in Addis Ababa

African Dictators meet in Addis Ababa

Badala ya hawa dictators kukutana kujadili wimbi la vijana wao kutoka Africas kwenda Ulaya na kufia majini- Lampedusa etc.... Wanakutana at the expense of tax payers money kujadili how to consolidate their power by suppressing people not to air their views, killing democracy, oppression and the like! Wanataka wanapokuwa wanagombea madaraka waue, bila kuhpjiwa kama walivyofanya Kenyata na Rutto! Shame up on you!

ukiuwazia upuuzi wa afrikan lidaz u can b mad
 
Badala ya hawa dictators kukutana kujadili wimbi la vijana wao kutoka Africas kwenda Ulaya na kufia majini- Lampedusa etc.... Wanakutana at the expense of tax payers money kujadili how to consolidate their power by suppressing people not to air their views, killing democracy, oppression and the like! Wanataka wanapokuwa wanagombea madaraka waue, bila kuhpjiwa kama walivyofanya Kenyata na Rutto! Shame up on you!
KWELI KABISA, SIO TUU MADICTETA BALI MAJANGILI YA AFRICA. ULaya na marekani zilipopiga marufuku kutambua serikali za kijeshi africa haya amadicteta yalizipongeza sana nchi za Ulaya na marekani. lakini ilipofika mahala Ulaya na marekani walipoanza kushitaki maraisi wauwaji kama tyrol na wenzake, eti AU inaharakisha kikao cha dharula kutaka africa ijitoe!!1

Halafu kuna mama Nkhokosana Zhuma, ni moja ya wakina mama wazembe africa ambaye hajawahi kutokea. hata kuongea kwake ni kwa kizembe tuu. Yeyey pale kaja kupromoti yale mavazi ya kiafric,. Mikanga mingi mwili na kichwani kama Joyce Banda.

hawa madicteta ya africa yanalalamika kuwa eti ICC inalenga africa na sio Ulaya! hivi kweli hawa madicteta yalisoma historia mashuleni? mahakama ya the hague imelenga wazungu kuliko waafrica kama kina IDD amin na wenzake . Raisi wa astria DR Kurt waldheim, mpaka leo hatembei kokote kwa sababu na kesi ya Kuuwa wayahudi mwaka 1945. Slobodan Milosevic raisi wa yugoslavia, kafia Lumande kwa kesi ya kuwauwa wasilamu wa Bosnia na sarajevo. Askari wote wa nazi wameshitakiwa mahakama ya dunia na kuchukua kifungo cha maisha.

sisi wananchi wa africa tulifikia mahala tukaanza kulalamika kuwa, mahakama ya hague haitaki kuwashitaki maraisi wahalifu wa africa. sasa wametuskia kilio chetu, Ghafla madicteta ya africa, yanalalamika eti tunaonewa na ICC, kwa sababu ya rangi ya ngozi.

haya maraisi ya africa, yam,ezoea kutawala katiba zisizo wapeleka mahakamani, hivyo wao kuona ICC inashikisha adabu, wako tayari kuitosa kuliko iwakalie vichwani. mungu yuko nasi mpaka kielewe!

AU ilaaniwe milele!
 
Mkuu nakuunga mkono sana! Ingawa uwepo wa hii mahakama ya ICC itasaidia kuwazuia viongozi kutumia madaraka yao vibaya wawapo madarakani lakini tumeshuhudia mahakama hii ikiwashughulikia viongozi pekee wa nchi za Afrika! Mbona Bush hajashtakiwa? Blair na Sarkozy? Kwa vitendo vyao vya kuvamia Iraq kwa kisingizio cha matumizi ya kemikali lakin baadae wakamuua Sadam ikafahamika baaadae kuwa hapakuwepo na chemical weapons! Wameua raia wengi sana wasio na hatia! Kwanini hawa hawafikishwi kule ICC? Kwanini Kenyatta, Rutto, Albashir, Laurent Bagbo na yule wa Liberia?

Mimi siwatetei hao viongozi wasishitakiwe kwa makosa waliotenda but kwann Afrika tu? Mimi ningetegemea viongozi wa AU, wangeshinikiza usawa na haki itendeke kwa nchi zote vinginevyo ni sawa wakijitoa!

Mkuu bush nchi yake aikuunga azimio la kuanzisha mahakama io na sio mwanachama kwa iyo awez shitakiwa
 
I am told, while our leaders wine and dine they are ill at ease, lumpesuda victims did not deserve state funeral, yes they did ,no they dint?
 
Amazing! Dictator Kenyatta & Dictator Rutto have now become Africa's taxpayers burden ..
 
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?

Je viongozi wa africa wanapatia haki wananchi wao?
 
Wapi haijatenda haki kwa Afrika? toa mifano? waliohukumiwa kina Charles Taylor hawakufanya makosa.Jamani,Issue hapa ni viongozi wa kiafrika kujiepusha na uvunjaji wa haki za binadamu,hawatapelekwa ICC

watajiepusha vipi angalia kama M7, hawezi ishi nje ya utawala, juzi kamwambia Sejusa kwamba he will extinguish him.
 
Badala ya hawa dictators kukutana kujadili wimbi la vijana wao kutoka Africas kwenda Ulaya na kufia majini- Lampedusa etc.... Wanakutana at the expense of tax payers money kujadili how to consolidate their power by suppressing people not to air their views, killing democracy, oppression and the like! Wanataka wanapokuwa wanagombea madaraka waue, bila kuhpjiwa kama walivyofanya Kenyata na Rutto! Shame up on you!
Na dikteta mwingine wa chama na mchumba wake anarandaranda Marekani badala ya kutoa rambi rambi Lampedussa.
Mtoa mada unamfahamu fika
 
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?

Madkteta wa nchi gani tofauti na waafrica ambao hawajashtakiwa ICC na waliuwa na kunyanyasa raia wa nchi zao? Nani aliwalazimisha Africa kuikubali ICC? unless unafaidika na mfumo wa madkteta, lakini kwa malengo yao utaniambia. Kenya wametunga na sheria ya kuruhusu Polisi kuua, soon mtashuhudia ubaya wa Kenyatta na Ruto
 
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?

Ndugu yangu unadhani hao marais hawajui umuhimu wa ICC? Muulize Museven kwann aliwapeleka LRA ICC ka haitambui? Joseph kabila aliwashughulikia waasi wake huko huko The Hegue..kina Bemba ambao walikuwa wapinzani wake wakubwa wa kisiasa. Wanaelewa umuhimu ila tatizo wanataka kuitumia ICC against their political enemies na sio wao. Uhuruto wanaipotosha AU kwa maslahi yao. We need to end impunity bana.
 
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?

Mi nadhani we kuna kitu hujakijua kwani ungekijua huwezi kumlaum mtu anayewaita viongoz hawa kuwa ni madikteta,kama sio madktita angaria wanachokipinga,kama wao sio waharifu wanawezaje kuitana kupinga uwepo wa mahakama ya icc?yaani kama furani anavunja sheria hajakamatwa ni kigezo cha wewe kuvunja sheria?unapotakiwa kwenda mahakaman unasema mbona furani hajakamatwa?hyo ni akili?au matope?ingekuwa uwezo wa kuhamasisha wananchi wote waandamane kuwapinga viongoz hao kwani wazo lao ni kutuua na kutumaliza bila kushtakiwa popote.
 
Acha watu wafungwe,mbona marais ambao hawajaua wapo 2 na hawajashtakiwa,kwa hiyo wale wenye makosa poa tu,sheria ni njema ila haiwahusu wenye haki,bali wasio haki.
 
Viongozi wa Africa wanajitetea kupitia Iraq na afganistan. Je, Viongozi wa marekani,Russia na kwingineko wanaingia madarakani kwa lazima na kuuwa watu wao? Hili ni swala dogo tu, Sera za nchi Fulani kuvamia nchi nyingine si udictator wa madaraka ila ni uhusiano na sera za nchi ile. Kwa hiyo kama hao walivamia nchi nyingine,waangalie vipengele vinavyoongoza mahakama hiyo,je hilo lipo? Viongozi wengi wa Africa,wanatumia vyeo vyao na vyama tawala kujichulia madaka kwa lazima,hakuna democracy. Njia pekee wajisafishe,waache wizi wa kura na wakae madakani kwa matakwa ya wananchi wao,tuone kama watashtakiwa. Mimi siwaungi mkono. Kenyatta na Ruto ni wauwaji na hata ushindi wake una mashaka makubwa
 
ben unakosea sana..tafakari upya kauli yako! mahakama ya icc haitendi haki kwa afrika.ifike mahala tutangulize uafrika wetu.ina maana madikteta wapo africa tu?

kuna madicteta kibao duniani mnawaona Africa tu........crimes against Humanity ambazo bensuda anaprosecute murder na crimes zingine zinazotokea ktk war zone..hajikutokea Iraq, Afghanstan, Libya walipovamia Nato?....halafu siasa za Africa na migogoro ya Africa inadhaminiwa na wao wenyewe..tunaona ziara za wanasiasa wetu Ulaya na Marekani na vyama rafiki zao wanatoa pesa tunauana..mbona hawasemwi? kesi ya William Ruto na Kenyata plus Joshua Arap sang..ni kituko...ruto hakuwa mkuu wa ODM..bali Odinga...video kibao zimeonyeshwa odinga akihamasisha vurugu..mbona hajafikishwa au kwa kuwa walimpa pesa wao ya kufanya kampeni kama wanavyompa Morgan Tsivingirai in Zimbabwe?..kibaki je ameponaje akadakwe Uhuru? hayo ndio maswali ya kujiuliza?
 
Viongozi wa Africa wanajitetea kupitia Iraq na afganistan. Je, Viongozi wa marekani,Russia na kwingineko wanaingia madarakani kwa lazima na kuuwa watu wao? Hili ni swala dogo tu, Sera za nchi Fulani kuvamia nchi nyingine si udictator wa madaraka ila ni uhusiano na sera za nchi ile. Kwa hiyo kama hao walivamia nchi nyingine,waangalie vipengele vinavyoongoza mahakama hiyo,je hilo lipo? Viongozi wengi wa Africa,wanatumia vyeo vyao na vyama tawala kujichulia madaka kwa lazima,hakuna democracy. Njia pekee wajisafishe,waache wizi wa kura na wakae madakani kwa matakwa ya wananchi wao,tuone kama watashtakiwa. Mimi siwaungi mkono. Kenyatta na Ruto ni wauwaji na hata ushindi wake una mashaka makubwa

check wapinzani wa PUtin wanavyofanyiwa...tatizo nyinyi mnaona Africa tu coz mmeaminishwa kwamba Africa ni dark continent na nyinyi mnakubali...
 
Back
Top Bottom