Ndugu yangu huyo afisa mwajili wa Barrick inasemekana by professional ni fundi nguo kutoka South Afrika ila kwa kuwa ni mzungu wamemwajili kama HR ila kwa bahati mbaya naye tayari wameisha mfukuza kwa kukosa sifa za HR ,, POLE SANA ndugu yangu kwa kukosa pote maana hukujua ufanyacho ,,
ILA NAOMBA NIKUULIZE SWALI MOJA KUWA AILOPOKUWA ANAKUFANYIA INTERVIEW MASWALI ALIYOKUWA ANKUULIZA YALIKUWA YANAENDANA NA SIFA ZA KUWA HR???????
kwa kweli inavyoelekea jamaa alikua competent, ila cjui kinachoendelea till thz time ni nini!
compitent ktk kupora madini ya watanzania? Mwizi tu huyu, na akome kabisa
Ukome na kuiba madini ya watanzania. Ninyi mlioko mgodini ni wezi na siku zenu zinahesabika. Unawasaidia wageni kutorosha mali?
Unajidhalilisha jinsi ulivyo mtanzania maslahi binafsi, hufiki mbali. Afrika kusini enzi za kudai uhuru, watu kama wewe walichomwa moto kwa kuwa wasaliti. Shame on you
Mkuu..Huyo hata elimu haitamfaa............ NI WA KUMWACHA TUUU.............Nadhani elimu zaidi inahitajika kwako ,
by the way kama kwelii una hasira kuwa na hasira na viongozi wa serikali yako na si kwa wawekezaji na vibarua wake
pole sana ila no wy unless nchi iuziwe kagama labda mambo yatakwenda
Kuna maswahibu gani huko Nyamongo kwani nasikia ni majungu ya makaburu.By the way muhusika be specific The african barrick ni kubwa je ni site,
umefanya uchunguzi wowote kwanini umecheleweshwa?
au ndo mekuja kureport huku jF ??kama ni northmara kuna problem na HR karibia wote hawafanyi kazi
Ukome na kuiba madini ya watanzania. Ninyi mlioko mgodini ni wezi na siku zenu zinahesabika. Unawasaidia wageni kutorosha mali?
Unajidhalilisha jinsi ulivyo mtanzania maslahi binafsi, hufiki mbali. Afrika kusini enzi za kudai uhuru, watu kama wewe walichomwa moto kwa kuwa wasaliti. Shame on you
pole ndugu. ww nenda ukaripoti kwenye ofisi uliyofanyia interview. watakachokuambia pitiliza ofisi ya kazi (labour). kutana na cma, huhitaji mwanasheria katika level hii unless hukumu inatolewa halafu wanaenda kupinga mahakamani.