mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,252
Huyu afisa wa TRA anaongea kama vile ana lengo la kukomoa Watu wa clearing badala ya kutengeneza mazingira rafiki either ya watu kuelewa kuhusu VAT iliyoweka kwnye port charges na Shiping line kwa Transit .
Namnukuu "serikali haitambui biashara na mtu wa congo ''
Hii kauli imenikera saana .. kuongea hivyo anamaa hii bandari sasa ni kwa ajili ya local tu ..Kwann anaongea kwa kukomoa badala ya kutengeneza mazingira rafiki ya hii biashara ?
Kwann anaongea kama anabishana instead ya kuongea in a neutral way kwa ajili ya ku facilitate maswala yakae sawa ....Anaendelea kuongea ..msikilizeni ..asipiporekebisha kauli zake ataendele kuharibu hii biashara .