Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
Mwalimu hata uandishi wako unatia mashaka.
Kama kweli mwalimu unaandika hivi. Je watoto wetu unawafundishaje?

Kuna haja ya kuwachunguza hata walimu wa aina yako. Lazima na wewe ni tatizo.
Huwa nasikitika sana na kuwahurumia watoto nikiona walimu wa aina yako, uandishi wako tu unaonesha hauko makini na shughuli zako.

Binafsi natilia shaka malalamiko yako baada ya kushindwa kujibu hoja za wachangiaji wanaoonesha kumfahamu vema huyo afisa elimu.
Kama hoja yako ni ya kweli mbona huelezei mazingira ya kuonesha uhalisia wa tuhuma zako.

Ndugu Imma Kimaro na Zakayo Mosha inaonesha wanamfahamu huyo afisa na wameomba justification lakini unazunguka zunguka tu kujustify.
Wewe utakuwa na mgogoro binafsi na unataka kumchafua huyo afisa.
hawa watu wa HAI sasa wanazidi kwa majungu
ukiangalia Mada nzima ni watu wawili au watatu wanachangia Mada kwa kumjibu Kibogoyo
huenda huyo afisa Elimuanasaidiwa au anawalipa IMMA KIMARO na Zakayo Mosha
kifupi UALIMU wa shule za msingi ni wa akili za ktoto, kwanini wasitafute kazi nyingine kuliko kushida kwenye mitandao na kuacha kusahihisha madaftari?
HAI: Mwalimu awekwa rumande kwa kushindwa kuandika jina la Mkuu wa Wilaya
nashauri Afisa Elimu ahamishwe si lazima ang'ang'anie Hai aende hata Rombo ili hapo Hai awaachie hao Wachagga
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,845
2,000
Pole mkuu hiyo wilaya inamatatizo sana toka miaka ya 2011 Undugu umejaa huko
upo sahihi kabisa
licha ya Uchagga hata kisiasa ni wabishi bado na kujifanya wapo juu kuliko makabila mengine
sasa huenda Afisa Elimu sio Mpalestina ndio wanamtetea
Serikali ipamulike ni kwanini Ofisi ya Mkurugenzi wanashinda humu Jukwaaani kutetea uovu
piga chini hapa kazi tu
 

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
hawa watu wa HAI sasa wanazidi kwa majungu
ukiangalia Mada nzima ni watu wawili au watatu wanachangia Mada kwa kumjibu Kibogoyo
huenda huyo afisa Elimuanasaidiwa au anawalipa IMMA KIMARO na Zakayo Mosha
kifupi UALIMU wa shule za msingi ni wa akili za ktoto, kwanini wasitafute kazi nyingine kuliko kushida kwenye mitandao na kuacha kusahihisha madaftari?
HAI: Mwalimu awekwa rumande kwa kushindwa kuandika jina la Mkuu wa Wilaya
nashauri Afisa Elimu ahamishwe si lazima ang'ang'anie Hai aende hata Rombo ili hapo Hai awaachie hao Wachagga
Hawa ni mamluki wamewekwa kujibu maovu mtandaoni.siha idara ya elimu,na afisa elimu wako wote ni shida. Hakuna viongozi anayejali taifa LA kesho,elimu bure huku bado haijatusaidia.watoto wanafika darasa LA saba hawajui kuandika wala kusoma.hakuna semina za kimasomo kwa walimu,majengo yamechakaa,vyoo hakuna,walimu hapa kwetu tupo watano,shule INA wanafunzi 456, chakula cha watoto ni shida,pesa za likizo shida,afisa elimu tukimweza ili afuatilie anasema yeye sio mkurugenzi Wa Halmashauri. Haya basi andika basi haya matatizo uyatume pengine anasema kila MTU apambane na hali yake.Tunamuomba Rais Wetu atusaidie kuwapanga wakuu Wa idara za elimu kama anavyowapanga wakuu Wa wilaya,days nakadhalika itasaidia sana,walioko walipangwa na iliyokuwa tamisemi ya miaka ya serikali iliyopita ambapo ulikuwa unatuma mzigo Dodoma unapewa cheo.
 

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Naomba tujadili mambo ya maendeleo tuache majungu.
Wewe ni mamluki ,tutatapiga kelele sana .siha kuna shida ya uongozi Wa elimu ngaxi ya elimu msingi.weka CV ya afisa elimu Halmashauri ya wilaya ya siha hapa.kama haitafanana na CV ya afisa elimu msingi wilaya ya ngorongoro.
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Walimu wa Wilaya ya Siha poleni sana kwa usumbufu mlioupata wa kuchafuliwa mitandaoni, ukweli ni kwamba anayetuchafua tumemjua na siyo mwalimu wa Siha
Nitawatajia hivi punde
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Aliyetuma post ya kumchafua afisa elimu msingi ni mwalimu aliyekuwa Siha lakini akahama na baadaye amefukuzwa kazi kwa mambo yake binafsi ila bado yupo mkoa wa Kilimanjaro lakini kwa Sasa afanyi kazi tena amefukuzwa.
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Walimu wa Siha msiogope wala hakuna miongoni mwenu aliyeshiriki jambo hili kwa namna yoyote ile mpo Ok kabisa
Mjinga mmoja aliyehama Siha baada ya kuwa na madeni makubwa na watu ameamua kuwachafua.
Mtu huyu alishamchafua na Afisa elimu wa manispaa ya Moshi hivi karibuni kabla ya kumchafua afisa elimu wa Siha.
 

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Aliyetuma post ya kumchafua afisa elimu msingi ni mwalimu aliyekuwa Siha lakini akahama na baadaye amefukuzwa kazi kwa mambo yake binafsi ila bado yupo mkoa wa Kilimanjaro lakini kwa Sasa afanyi kazi tena ame. Weka CV hapa.huku kwetu waliokuwa na vyeti vyeki na kufoji waliokuwa wengi .sisi tuliokazi na vyeti original tunaona siha kuna shida ya uongozi.afisa elimu wetu ni shida
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Kwa ujumla anafanya kazi kwa kushirikiana na mwenzi wake ambaye pia ni afisa elimu Kata katika halmashauri mojawapo hapa KILIMANJARO.
Tunafuatilia na mwisho wao umefika Sasa. Tupo kazini kuwasaka watu hawa wenye chuki binafsi za maisha.
Acheni Siha Ifanye mambo ya maana hatuna mda na wajinga
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Jinsia yake ni mwanaume lakini anatabia ambazo haziendani ya jinsia yake
Bro tafuta kazi nyingine ya kufanya hapa umechemka mbaya.
 

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Naomba wadau tumshauri na kumwelimisha mjinga huyu hadi atakapobadilika na kuwa na tabia za kibinadamu.
Njoo Rosiline na ,naibili , tindigani nagararagua shule za msingi.uone uovu.usipoteze mada.walimu hapa tuna shida na uongozi unajua haufuatii.huko unakosema Mara alihama Mara alifukuzwa inatuhusu nini Nia yetu ni kuboresha elimu ndani ya wilaya yetu.aliyefukuzwa akafe zake hayo hayatuhusu.ukisema uongozi mbovu ,umekose nini.njoo huku uone ninayoyasema
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Ww Kama mdau Una ruhusa Ya kutoa maoni yako lkn ww unatoa malalamiko badala ya kutoa suluhu.
Hakuna haja ya Ww kuhitaji CV ya afisa elimu kwani zipo mamlaka zinao wajibu wa kufanya hivo
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Naomba unajiita mdau uache kuleta fitina ktk kazi kwani huwezi fanikiwa kwa hili.
Tafuta kazi nyingine ya kufanya kwani huwezi pata faida yoyote
 

Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Walimu Wa Siha tupo imara na tunaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa hatuna mda wa kujadili mambo yasiyo na tija
 

Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Walimu Wa Siha tupo imara na tunaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa hatuna mda wa kujadili mambo yasiyo na tija
Sijajua kama wewe ni mwalimu mwenzetu.njoo shule niliyoko uone matatizo tuliyonayo.walimu yuko imara ni kweli wanafunzi wako imara? Ninadhani wewe ni yule mtaaluma Wa wilaya uliyekukuwa anawatukana walimu .waonee watoto hurumana walimu wenzako pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom