Afisa elimu msingi wilaya ya Siha ni tatizo la kudumu

Godlisten Masaki

New Member
Aug 1, 2018
4
20
CV unayoitaka ya DEO ya nini?. Naomba ufafanue. Nadhani bora ufunge mjadala huu kwani hauna mashiko kwa yoyote. Pia kumbiuka kuwa wewe uko darasani kufundisha.Tumbie jitihada yako na CV nzuri uliyonayo,ilifanikisha ufaulu wa
shule yako kiasi gani?
 
Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,102
2,000
Very fun... Eneo moja lina mtoa hoja na eneo hilohilo lina watu wa kutetea...only in tz... i hope hiyo wilaya ina academic perfomance nzuri kwa maneno haya nayoyaona.Otherwise kama kuna matatizo mengi na hayako solved hizi kelele zote kwa pande zote za wanaotetetea majibu yatakua kwenye kile ambcho watoto watavuna.

Kila la heri waalimu!
 
Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225

Your very right.waweke CV ya afisa elimu msingi wilaya ya Siha hapa. Dunia itajifunza kitu.kila siku wilaya yetu inakuwa ya mwisho kimkoa kwenye ufaulu .ova
 
Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Mwenye CV ya Afisa elimu shule za msingi wilaya ya siha mkoani Kilimanjaro tunamuomba aiweke hapa. Walimu wilaya ya siha tunapata shida sana kupitia uongozi wake kwa muda mrefu na sasa Jamii inaonja machungu yake kwa watoo kufeli kila mwaka. Na tunsona mchango Wa serikali yetu ni mkubwa kwa kuchangia elimu bure kila huku siha bado hali ni tete.
 
Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,102
2,000
Mwenye CV ya Afisa elimu shule za msingi wilaya ya siha mkoani Kilimanjaro tunamuomba aiweke hapa. Walimu wilaya ya siha tunapata shida sana kupitia uongozi wake kwa muda mrefu na sasa Jamii inaonja machungu yake kwa watoo kufeli kila mwaka. Na tunsona mchango Wa serikali yetu ni mkubwa kwa kuchangia elimu bure kila huku siha bado hali ni tete.
Hapo sasa na CV za kuunga unga!
 
Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Hapo sasa na CV za kuunga unga!
Haya kama ameungaunga aiweke hapa watanzania waione ili tujue wilaya siha wazazi na walezi wamemuachia MTU Wa namna gani mtaalamu Wa kusimamia watoto wako wapate elimu bora na sio bora elimu,wilaya ya siha kuna kila kitu kila elimu ya msingi afisa elimu ni Jipu.
 
Zakayo Mosha

Member
Jul 30, 2018
40
70
Ww ungekuwa na CV ungepata uongozi lkn hd leo umebaki kusema wenzako tu na utaishia kunawa na kamwe hutaonja chakula mtu wa ajabu Kama ww
 
Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Mbona sijaona mwalimu anayekuunga mkono hoja yako ?
Acha chuki binafsi Kama ulihamishwa ni kwa Mujibu wa sheria na taratibu. Usihamishwe Ww nani kwani.
Walimu wote Siha wanakushangaa kwa Shutuma zako ambazo hazina ukweli wowote.
Kukosekana kwa CV ya afisa elimu msingi wilaya ya Siha.watanzania tumejifunza nini kuhusu waliopewa madaraka ya kusimamia elimu Tanzania? Rais wetu anatumia zaidi ya 20 billion kila mwezi elimu bure ,swali wanaosimamia hayo mabilion ya Fedha CV zao zikoje? Je waliteuliwa na nani na lini? Kazi kwako Prof ndalichako.karibu kwetu siha ujionee .usingoje kuambiwa
 
Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Kukosekana kwa CV ya afisa elimu msingi wilaya ya Siha.watanzania tumejifunza nini kuhusu waliopewa madaraka ya kusimamia elimu Tanzania? Rais wetu anatumia zaidi ya 20 billion kila mwezi elimu bure ,swali wanaosimamia hayo mabilion ya Fedha CV zao zikoje? Je waliteuliwa na nani na lini? Kazi kwako Prof ndalichako.karibu kwetu siha ujionee .usingoje kuambiwa
Walimu wenzangu Wa Halmashauri ya wilaya ya siha mwenye CV ya afisa elimu msingi wekeni hapa.
 
Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,102
2,000
Duh ..nimeshtukia kuna kundi linatetea uovu....mamlaka husika mulikeni hapa HAWA WATU ....aina ya michango inayoletwa na watetezi inaongea...ila its a matter of time.

Na kwa akili za utetezi mnaouleta wa issue sensitive hata hiyo increment na fringe benefits mnazolilia mtazisikia tu wazee wa #TGTS...
 
blogspot

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,260
2,000
Pole mkuu hiyo wilaya inamatatizo sana toka miaka ya 2011 Undugu umejaa huko
 
Kibogoyio2020

Senior Member
May 4, 2018
154
225
Huku ni shida mkuu .ukisikika unasema wanataka kukumeza.tunaomba CV ya afisa elimu ni mwezi sasa hatuioni.ni kundi lililotolewa wilaya ya hai lisilokuwa na uzoefu Wa uongozi wakagawiwa ukuu Wa idara za elimu tena bila uzoefu sasa elimu huku siha kwetu sio kipaumbele. Hata elimu bure tunayopewa na setikali ,huku ni wilaya ya siha ni shidaaaaa na kuna tatizo la kudumu,hatutoboi kwa uongozi wetu Wa idara ya elimu uliopo.
Pole mkuu hiyo wilaya inamatatizo sana toka miaka ya 2011 Undugu umejaa huko
mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom