Huku lushoto Kuna afisa elimu secondary anaongea utumbo tupu yaani mpaka unajiuliza kapataje hicho cheo. Anaitwa Ebenezer . Hataki watu wahame juzi kamtukana dada ofisini akifuatilia uhamisho wake. Alianzisha gruop la wasap la walimu . Kituko akiweka mada watu wakichallange analifunga gruop.