Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,164
- 12,492
Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao.
Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu, ambapo sasa mwanamke anaweza kufungwa hadi miezi mitatu gerezani ikiwa atatembelea ndugu zake bila ruhusa ya mumewe.
Vile vile mwanamke anapodai kufanyiwa ukatili mahakamani, analazimika kuleta ushahidi akiwa amejifunika mwili mzima na akiwa ameambatana na mlezi wa kiume Shirika la kutetea haki za binadamu la Rawadari limetoa wito kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuingilia kati mara moja.
Source 1: Chazy Media
Source 2: ‘Harsh Beatings, No Broken Bones': Taliban’s New Law Allows Men To Physically Punish Their Wives Amid Ongoing Women’s Rights Crackdown- What We Know