Afaulu la saba bila kufanya mtihani

Afaulu la saba bila kufanya mtihani

Si bora dogo yuko hai. si ajabu akafaulishwa mtoto aliyefariki kitambo halafu walete majonzi mara ya pili kwa wazazi.
 
Kwel sijui tunaelekea wapi kwa mfumo wetu wa elimu ya Tanzania.
 
Tehe tehe teheeeee kama NaIbU wAzIRi hajui Tanzania ni muunganiko wa wapi na wapi na mwaka wa uhuru wa tanganyika hajui kutamka unategemea nini hapo
 
Mkuu Bulldog, kwani JK alipopewa Phd ya heshima ya Afya ni nini alichokifanya kwenye sekta ya Afya mpaka astahili hilo? Si sawa tu na hili la kufaulishwa bila kufanya mtihani?? Only in Tanzania!


Sasa hii ya kusema only in Tanzania tuigeuze, tuwe tunasema this is possible under ccm. Sababu wapo ( tukiondoa mwavuli wa ccm )Watz makini wanaweza kufanya kazi nzuri.
 
Mzazi akomae huyo mtoto aende sekondari,dogo amepata bahati ya mtende huyo.waanze kujiandaa kwa yunifom na madaftari sasa wasikubali kushindwa.

Kwa hiyo walimu wa sekondari ndno wapelekewe makapi/vimeo!?mwisho wa siku ooh,walimu wa siku hizi hawafundishi,kumbe mwalimu anakomaa kufundisha mtu ambaye hajafikia kiwango cha kuingia sek.Polen sana walimu wa tz.
 
Elimu imekuwa Siasa tumekwisha....Tumekwisha; Kwa kuficha aibu za Kushuka elimu ndo tumeamua kujilipua kabisa.
 
ndo hawa wanakuja kutuletea matatizo kama mwigulu.mchemba
 
Mkuu Bulldog, kwani JK alipopewa Phd ya heshima ya Afya ni nini alichokifanya kwenye sekta ya Afya mpaka astahili hilo? Si sawa tu na hili la kufaulishwa bila kufanya mtihani?? Only in Tanzania!

weeawera. BRN
 
Duh nimeipenda hii nawasiliana na jamaa wa guiness kama imekidhi vigezo waichukue
 
Only In Tanzania,Matokeo Makubwa Sasa,Wanatanua magoli wapate kufunga(By Meena)
 
Back
Top Bottom