Afaulu la saba bila kufanya mtihani

Afaulu la saba bila kufanya mtihani

Njaa mbaya sana ! Njaa ndo inamfanya Kawambwa na Philip waendelee kung'ang'ania kukaa madarkani.
Ningekuwa mimi ningekuwa naona had aibu kujitambulisha mbele za watu kuwa me ndo wazir wa elimu.
Ni aibu,aibu aibu na jitu bado linang'ang'ania kukaa madarakan
 
Hii ikiwekwa kwenye maajabu saba ya dunia lazima Tanzania tushinde!!!
 
hizo ndizo outcomes za BRN, tanzania ni nchi ya maajabu na kivutio cha mshangazo katika elimu.
 
Back
Top Bottom