Afaulu la saba bila kufanya mtihani

Afaulu la saba bila kufanya mtihani

Leo ktk kipindi cha tuongee magazetini asbh kinachorushwa na radio free kimeeleza kuwa kijana mmoja adhangazwa baada ya kutangazwa na kuwemo ktk orodha ya wanafunzi waliofaulu ktk mtihani wa darasa la saba wakati hajafanya mtihani huo baada ya kusimamishwa shule kwa kushindwa kulipa ada,jamani kuna nini tz yetu??je tuamini kuwa ni kweli ufaulu umezidi mwaka huu au ndio geresha la kuwafurahisha wananchi??jiulize wangapi ambao hawajajitokeza ambao nao wamefaulu bila kufanya mtihani???? Tafakari chukuwa hatua...
This problem is becoming normal in Tanzania. So no need to wonder on that mkuu.
 
Kwa hiyo walimu wa sekondari ndno wapelekewe makapi/vimeo!?mwisho wa siku ooh,walimu wa siku hizi hawafundishi,kumbe mwalimu anakomaa kufundisha mtu ambaye hajafikia kiwango cha kuingia sek.Polen sana walimu wa tz.

Dogo kaokota fuko la hela hilo,ukimpokonya atakubali?basi alipwe hela ya usumbufu.kwanini aambiwe kafaulu wakati hajafanya mtihani?HAIKUBALIKI aise!kuna mtu amenunua jina lake hapo.ALIPWE
 
Hakuna Kitu mbaya km kuifanyia elimu maigizo....kama Serikali hii ya ccm inavyofanya. Taifa
linalocheza na elimu ni taifa linalojiandalia kifo na kutawaliwa milele ktk nyanja zote
 
Leo ktk kipindi cha tuongee magazetini asbh kinachorushwa na radio free kimeeleza kuwa kijana mmoja adhangazwa baada ya kutangazwa na kuwemo ktk orodha ya wanafunzi waliofaulu ktk mtihani wa darasa la saba wakati hajafanya mtihani huo baada ya kusimamishwa shule kwa kushindwa kulipa ada,jamani kuna nini tz yetu??je tuamini kuwa ni kweli ufaulu umezidi mwaka huu au ndio geresha la kuwafurahisha wananchi??jiulize wangapi ambao hawajajitokeza ambao nao wamefaulu bila kufanya mtihani???? Tafakari chukuwa hatua...

Hiyo tisa kumi subiri taarifa ya waliofaulu lakini hawajui kusoma wala kuandika! Big Results Now!
 
Dogo ni wa shule gani? Iko wapi, mkoa na wilaya? Amechaguliwa kupelekwa shule gani? Yaani hapa iwe kama jina la shule ametoka ni jina lake na kwenda shule sekondari anayokwenda..
 
Hahaa! Nilimsikia Katibu Mkuu TAMISEMI akitangaza kwa mbwembwe K3 (Kusoma, Kuandika na Kuhesabu), hata siku haijaisha tayari vituko vimeshaibuka. Nina uhakika hii "single" hawakuitegemea. Na bado hakuna rangi tutakayoacha kuona. Daah! nchi hii mwisho, aiseee.
 
Kwa hiyo walimu wa sekondari ndno wapelekewe makapi/vimeo!?mwisho wa siku ooh,walimu wa siku hizi hawafundishi,kumbe mwalimu anakomaa kufundisha mtu ambaye hajafikia kiwango cha kuingia sek.Polen sana walimu wa tz.

elimu ya sekondari ni muhimu kwa kila mTanzania hata akipata divisheni faivu ajisifie na yeye alipata elimu ya sekondari ya miaka minne..
 
Dogo kaokota fuko la hela hilo,ukimpokonya atakubali?basi alipwe hela ya usumbufu.kwanini aambiwe kafaulu wakati hajafanya mtihani?HAIKUBALIKI aise!kuna mtu amenunua jina lake hapo.ALIPWE
Hapo ndo sheria ichukue mkondo wake,kuliko dogo aliyefaulishwa kwenda kuwachosha walimu wetu wa tz.
 
Hakuna Kitu mbaya km kuifanyia elimu maigizo....kama Serikali hii ya ccm inavyofanya. Taifa
linalocheza na elimu ni taifa linalojiandalia kifo na kutawaliwa milele ktk nyanja zote

Mkuu, afadhali umeliona. Inauma na kusikitisha sana. Kibaya zaidi watoto wao hawasomi shule hizi za kata. Wao zao ni shule za Saint... na nje ya nchi. Wakitoka huko wanakuwa wako vizuri upstairs na shughuli wakienda kwenye usaili na hawa wa kata vimemo vinatembea achilia mbali kuwa safi kielimu. Ukisema unaambiwa acha wivu wametimiza vigezo vyote na wana elimu nzuri hivyo ajira nono ni haki yao. Tunasahau kuwa background za hawa wawili kielimu ni tofauti na playing ground nayo si yenye kutenda haki kwa wote. Kwa mtindo huo tutatawaliwa na watoto wa vigogo kila sehemu na hawa wa kata wataishia kuwa waendesha bodaboda ziwaue na kuwafanya vilema mpaka tutakapoacha haya mambo ya kukubali ndiyoooooo kila kitu. I have spoken.
 
elimu ya sekondari ni muhimu kwa kila mTanzania hata akipata divisheni faivu ajisifie na yeye alipata elimu ya sekondari ya miaka minne..
Ndio ni muhimu,lakini kwa utaratibu fulani,basi kungekua hakuna haja ya kuwa na mitihani,lazima mtu/mwanafunzi aitafute kwa nguvu zake zote,juhudi zake zote,na akili zake zote,ili elimu yetu iweze kurudishiwa heshima yake ya awali.Mungu ibariki Tanzania.
 
Mtoa uzi umesema mwanafunzi alisimamishwa kufanya mtihani kwa kutokulipa ada,ni ada gani ya kulipia mtihami wa drs la saba?great thinker always think
 
Waalimu wa sekondari poleni! Japo bado mapema, jiandaeni kufundisha kwa moyo wote. Si mnaona habari mbaya kutoka shule za msingi!
 
Mi naamini hii ni kawaida tu, wapo wengi wa namna hii washapitishwa

Hii imekua kama za mwizi arobaini. Kila kitu tz wizi mtupu, kila mmoja anachangamkia tenda na maisha yanaenda. Waadilifu wachache sana.
 
hii ndo tz 2itakayo.kama a2itaki tz ya aina hii cc ndo maakm 2015 otherwise tuendelee na hii BRN nampenda jamaa1 humu jf anapenda kuita
BRAIN
RECEIVE
NOTHING
 
Lumumba buku 7 FC njooni mjibu swali hili! Na mkitoa majibu ya kuridhisha kesho natafuta kadi ya ccm (niliyokuwa nayo niliitumbukiza choo cha shimo)
CC. Nape, Mwigulu Nchemba, Taswira, Msalani, Mamdenyi, Faizafox et al!
 
Sisi ni sisi wengine Mafisi tyuu!! Bongo raha sana usome usisome utafaulu tyuu"Manina zao "moe"
 
Hiyo ni bahati wazazi wajiandae kumpeleka mtoto kidato cha kwanza. Pengine alifanya mtihani pasipo kujiua lol.
 
Teh teh teh,wonders shall never end in Bongoland. Hivi nyie mlitegemea nini Wizara nyeti kama Elimu anasimamia Kilaza Kawa-Mbwa na yule Kihiyo Mkuu a.k.a Mzee wa Zimbabwe. Naisikitikia sana Tanzania yangu,Ee Mwenyezi Mungu epusha hili balaa.
 
Back
Top Bottom