Afanyeje naye anampenda?

Jamani huyu kaisha ambiwa demu mgonjwa , akapime nini tena?Sikio la kufa hilo.....

Mtu hapimwi na maneno ya watu!! aende hospitali kupata uhakika wa afya yake na huyo dada ili awe makini!!! Ngoma haiambukizwi kwa sex peke ake anaweza kutumia condom akaja kupata kwenye kiwembe watakachokatia kucha wote!!! Na anaweza kuzani huyo dada kaathirika kumbe aliathirika ni yeye!!! Kupima ni bora na heri zaidi kwa wote wawili!!!
 
kama umempenda kikweli mshauri mkapime achana na vipimo vidole na maneno ya watu watu ndio walivyo wakinyimwa tu watazusha kila jambo kapime then kama kaathirika na ww usikii uoni nendeni mkapewe ushauri mpate njia sahihi ya kushi pamoja
 
Kama amempenda kikweli waende tu wakapime wajue status zao simple ..lakini binadamu siku zote hatupendani kabisa mtu mmoja anaweza kukuzushia una ngoma au baya lolote analojisikia kisa umemtosa /mmegombana na habari ikasambaa dunia nzima na ikakuharibia sifa yako
Ingawa sometimez wanasema lisemwalo lipo
Hao watu wamempima kwa macho au wana kithibitisho gani juu ya madai hayo??
...Kweli tupu FL1 unajua si waswahili kwa kuzushiana mambo tuko vizuri sana. Huenda kuna jamaa limemtokea dada wa watu akapigwa kibuti akaamua kuzusha ana ngoma...Mshauri mdada mkafanye vipimo na umueleze wazi kuwa uko serious na yeye!!!.
 
Haya mama tupo pamoja mm nakusubili umteme yule jamaa nishikirie usukani mie.

Hivi kwa mfano nakupa no. ya simu then nakuita billionairsclub are you ready to come??
Do you believe in long distance relationship?

I just want to put you in the biggest test ever in your life!
am gonna give you one of the best surprise you can ever get!!!
give me some minutes I will be back, let sign some documents..
 
Kama amempenda kikweli waende tu wakapime wajue status zao simple ..lakini binadamu siku zote hatupendani kabisa mtu mmoja anaweza kukuzushia una ngoma au baya lolote analojisikia kisa umemtosa /mmegombana na habari ikasambaa dunia nzima na ikakuharibia sifa yako
Ingawa sometimez wanasema lisemwalo lipo
Hao watu wamempima kwa macho au wana kithibitisho gani juu ya madai hayo??

Kiukweli ni kwamba jamaa wanamhusisha na kashfa kadhaa za wakware ambao wako confirmed positive. Nadhani wanajumlisha 1 na 1 na wanapata 11 ukizingatia baadhi ya watu wana tabia ya kuwaambukiza wenzao makusudi. Nadhani suala la kupima ni la mbolea zaidi kabla jamaa hajajitosa. Mwenyewe mwoga wa kupima kweli kweli!
 
Hivi kwa mfano nakupa no. ya simu then nakuita billionairsclub are you ready to come??
Do you believe in long distance relationship?

I just want to put you in the biggest test ever in your life!
am gonna give you one of the best surprise you can ever get!!!
give me some minutes I will be back, let sign some documents..

heheheheh Fidel80

VIVIANI ULIKUWA WAPI MDADA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom