Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141
Wanajamvi naomba kujua mtu wa political science and public administration anaweza kufanya kazi ipi katika sector binafsi? Au yeye ni sekta ya umma tu?
Naomba kuwasilisha
Naomba kuwasilisha
atakuwa bodaboda
Vyama vya siasa na baadhi ya NGOs anaweza kuwa na nafasi huko.
Yaani Graduates wa kizazi chetu ni balaa, nasema kizazi chetu sababu mi mwenyewe ni graduate wa 2010 but nilibahatika kuajiriwa soon after graduation, Kuna dogo ananiuliza ye amesoma political science and philosophy hajui anatakiwa afanye kazi gani maana hajui maana ya course
yake
yanawekana hayo mkuu, ni uvivu tu wa kutotaka kujua vitu kiundani. Nakumbuka nikiwa 3rd year kuna jamaa wa Bcom management sciences walipata shake kubwa sana, et hawaon field yao ktk matangazo ya kazi.
Elimu yetu ni nadharia zaidi kuliko vitendo. Hebu jiulize mtu aliyemaliza UDOM hii kozi au anayetarajia kuhitimu BA in ECONOMICS Ardhi University mwaka huu ujao wa masomo, anajua anachokisomea?
Anajua atakuwa nani mtu huyu asiye na field kabisa?
kwan BA-ECONOMICS ya ardhi nao hawaendi field?
du! kweli kuna vilaza wa design nyingi, sasa alisoma hiyo course ili iweje kama hajui matumiz yake