Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141
- Thread starter
- #41
Kada wa chama
DUH! Kweli we ni chatu.
Kada wa chama
hayo ni matatizo ya vyuo vya kata na vyuo vilivyoanzishwa kisiasa matokeo yake wanazalisha maboga.eti Ardhi university kuna BAF then kiukweli siku hizi watu wanapelekwa university ilimradi tu eti mtu karisiti na yy ndani matokeo ndo ataenda kozi yoyote akiwa hajui hata atakua nani.nakumbuka kuna jamaa yangu alinishauri nikasome culture and heritage miaka 6 iliyopita ili tu niwe mwanachuo.niliamua kuwa mjasiriamali nikajiunga mwaka uliofata pale uclas now nashukuru mungu ni mwendo wa seven digits per month
Anaweza akawa katibu kata,mjumbe wa nyumba 10 au katibu wa chama kama julius mtatiro au mkama.
ndo uwezo wako wa kufikiri ulipofikia.
kozi haiendi na wakati kuna watu kibao mtaani,kama mlisomea sifa kwamba nanyi mpo chuo msiambiwe,i doubt ur thinking capacity mkuu,sisi wengine ubishi hatuuwezi
Hivi username yako inaendana na mafikirio yako? Hukuchangia mawazo ukaingia kulaumu na kujenga hoja za ubishi. Anyway, karibu kwa ushauri jengefu.
Kama huu ndio uwezo wako uliouonesha katika thread hii tegemea sup, carry over ama karai za kutosha
Mkuu mi nipo kazini mda huu mambo ya chuo nimeyapita 4 yrs back,hizo karai ha ha ha ningekupa cheti changu ukague utazitafuta hukuti karai wala beseni mkuu,karibu SUA
Usinifikirie vibaya mkuu, lengo langu ni kuprovoke mjadala ktk positive way, sorry kama nimekengeuka. Hata hivyo nimestuka kuona mtu anagraduate na bado hajui anaweza akaapply kazi zipi. Mbona kuna njia nyingi tu za kujua kozi flani mhitimu wake anaweza kufanya kazi zipi. Mfano:
1. Kutizama matangazo ya kazi sehemu ya job description na academic qualification
2. Kuuliza walimu wako na washauri wa wanafunzi chuoni
3. Kuhudhuria mikutano ya makampuni yanayotafuta trainees vyuoni
4. Kuuliza waliokutangulia mwaka chuoni
5. Kugoogle fani yako mtandaoni huko kuna majibu mengi sana ambayo utapaswa kuyachuja mwenyewe
6 nk
Haya unapaswa kuyafanya ukiwa bado uko chuoni ama unapofanya application za kuingia chuo ama unapopata admission.
Kilichonishangaza kuna mtu kauliza ati graduate wa pspa wa "udom" anafit wapi? Kwani pspa ya udom ni tofauti na pspa za udsm, mzumbe, na vyuo vinginevyo? Yaani ni sawa na kuuliza mhitimu wa udaktari wa bugando anafit wapi, kwani yeye ni tofauti kivipi na wale wa imtu, muhimbili na kairuki.
Don't take it personal mkuu
Nina mashaka sana na degree koz za udom. Zina walakini sana,
Wanajamvi naomba kujua mtu wa political science and public administration anaweza kufanya kazi ipi katika sector binafsi? Au yeye ni sekta ya umma tu?
Naomba kuwasilisha
Nina mashaka sana na degree koz za udom. Zina walakini sana,
Atakua mkuu wa wilaya.
we umesoma oxford nin mkuu?
swali: ni msichana mlembo? Je anautumiaje ulembo wake kumfurahisha mzee wa kaya? Tofauti na hapo ukuu wa wilaya ni ndoto.
du! Tumefika pabaya kama taifa. Yaani hata ukuu wa wilaya umridhishe mkuu wa kaya?
Vp wanaume waliopata nafasi, nao wamempa nini mkuu? Wake zao au?