Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 142
- Thread starter
- #61
unaaibisha graduates wenzio...swali gani hilo.
sangaraaaaaaaaaaaaaaaa
unaaibisha graduates wenzio...swali gani hilo.
Kama huu ndio uwezo wako uliouonesha katika thread hii tegemea sup, carry over ama karai za kutosha
Mkuu mi nipo kazini mda huu mambo ya chuo nimeyapita 4 yrs back,hizo karai ha ha ha ningekupa cheti changu ukague utazitafuta hukuti karai wala beseni mkuu,karibu SUA
Mwongozo ni kitu muhim sana, bila mongozo kitoto kinamaliza form six kinapata div 1 nzuritu ila chuo kinachagua kozi za ajabu, wakati uwezo kitaaluma wa kusoma kozi marketable na professional anao.Wakuu tatizo bado watu wanaenda chuo kukuu ilimradi kuwafurahisha ndugu, majirani, boyfriend,girlfriend,
mtu utasomaje kozi usiyo itaka? Je alirazimishwa kusoma?
Kwa maisha ya sasa ni hatari sana, utakuta mtu anakuuliza hivi nikimaliza nitafanya kazi gani na hapo yuko mwaka wa piliau tatu.
Wizara ya kazi, ajira na vijana ndio imelala fofofoMm nadhani inabidi serikali kupitia kwa wizara ya elimu iwe inafanya tathimini ya course kila baada ya muda flani(avarage 3 to 5 years) ili kufahamu ni watu wangapi kwa mwiaka hiyo wamehitimu na graph ya walioajiriwa inasomaje mpka muda huo, ili kujua uhitaji uko vip pia.
Hatuwezi kuwa na mfumo wa elimu haswa kwa ngazi za juu( university + college) ambao unajiendesha endesha tu bila kuwa na tathimini juu ya (wangapi wamemaliza yaani qualified na wangapi wamepata ajira na ni wangapi wamejiajiri)na kunauhitaji gani kwa muda huo la sivyo watu watakuwa wanasoma tu na wanajazana mtaani tu.
Mm kama mwananchi mzalendo wa nchi yangu nipende kuishauri serikali . Mfumo we tu elimu inabidi uwe na mifumo maalumu ya kiteknolojia ambayo itaruhusu ku access taarifa ya wahitimu wote na status zao kwa sasa. Hii itasaidia sana kujua ni wangapi bado hawajaajiriwa na pia itafahamu uhitaji wa kada husika.
Pia niipongeze sana sekretarieti ya utumishi wa umma kwa kuanzisha mfumo uitwao Recruitment Portal. Ushauri wangu kwao ni huu, izingatie kwa uadilifu maombi ya watu waliojisajili kwenye mfumo huo ili kutoa fursa kwa waliomba kupata ajira.