Afanye kazi ipi huyu?

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
141
Wanajamvi naomba kujua mtu wa political science and public administration anaweza kufanya kazi ipi katika sector binafsi? Au yeye ni sekta ya umma tu?
Naomba kuwasilisha
 
Vyama vya siasa na baadhi ya NGOs anaweza kuwa na nafasi huko.
 
Vyama vya siasa na baadhi ya NGOs anaweza kuwa na nafasi huko.

HAPO KWENYE NGOs, hasa nafasi gani kwenye hizo ngos? Kwa bahati mbaya zaidi sijaona tangazo la kazi lolote linalohitaji mtu mwenye professional hiyo.
Je kwa upande wa kujiajiri ni nafasi ipi kwa taaluma hii?
 
Mkuu huyu ni graduate na bado hafahamu ni nafasi zipi anaweza fanya kazi? Ama kweli haya maajabu ya mwaka. Ila kama ndio anaingia chuo first year simlaumu kama ni graduate tayari shame on him/her
 
Yaani Graduates wa kizazi chetu ni balaa, nasema kizazi chetu sababu mi mwenyewe ni graduate wa 2010 but nilibahatika kuajiriwa soon after graduation, Kuna dogo ananiuliza ye amesoma political science and philosophy hajui anatakiwa afanye kazi gani maana hajui maana ya course
yake
 
yanawekana hayo mkuu, ni uvivu tu wa kutotaka kujua vitu kiundani. Nakumbuka nikiwa 3rd year kuna jamaa wa Bcom management sciences walipata shake kubwa sana, et hawaon field yao ktk matangazo ya kazi.
 
ni utoto 2,ina maana m2 unapoteza 3yrz afu hujui unatakiwa kuwa nan?
 
Wakuu tatizo bado watu wanaenda chuo kukuu ilimradi kuwafurahisha ndugu, majirani, boyfriend,girlfriend,
mtu utasomaje kozi usiyo itaka? Je alirazimishwa kusoma?

Kwa maisha ya sasa ni hatari sana, utakuta mtu anakuuliza hivi nikimaliza nitafanya kazi gani na hapo yuko mwaka wa piliau tatu.
 
Elimu yetu ni nadharia zaidi kuliko vitendo. Hebu jiulize mtu aliyemaliza UDOM hii kozi au anayetarajia kuhitimu BA in ECONOMICS Ardhi University mwaka huu ujao wa masomo, anajua anachokisomea?
Anajua atakuwa nani mtu huyu asiye na field kabisa?
 
kwan BA-ECONOMICS ya ardhi nao hawaendi field?
 
Tukubali tukatae kuna vyuo vina degree program zilizo outdated na hata kama mtadai iko up to date curriculum/ course taken in such degree hazifanyiwi review desa linagongwa copy hata halisomeki tena, wahadhiri wanatumia handout hiyohiyo for 5 yrs and more what do you expect?wengi tunafuata mkumbo na kutaka ufahari kuwa tupo chuo at the end unagraduate hujui unafanya kazi gani ni bora ungegundua mapema usipoteze miaka yako bure,pole mkuu,over and out
 
du! kweli kuna vilaza wa design nyingi, sasa alisoma hiyo course ili iweje kama hajui matumiz yake
 
kwan BA-ECONOMICS ya ardhi nao hawaendi field?

HAKUNA FIELD PALE. Kuna curriculum review imefanyika ambayo pengine itawagusa mwaka wa pili na wa kwanza wanaoanza mwaka huu wa masomo lakini mwaka wa tatu hakuna kitu.
Hili ndilo balaa la elimu yetu. Nadhani ni vema kukawa na mjadala wa wazi wa elimu ya juu kitaifa ukiwahusisha wadau wote ili tuwekane sawa, vinginevyo tunateketeza elimu yetu.
 
CEO yoyote mwenye akili atamuajiri mtu mwenye Polisci than MBA.
 
Nakumbuka siku moja lecturer aliingia class kutudokeza matokeo ya test yake tuliyofanya.
Alisifu kuwa kuna baadhi ya wanafunzi walifaulu vizuri sana kwa kujibu exactly alichofundisha.
Akaenda mbali kwa kusema 'yaani wamebandika kila neno nililowaandikia kwenye lecture? Ah kweli mmenikamata!'
Kwakweli nilifadhaika kugundua jamaa anataka tukremu bila kuwa wadadisi. Elimu yetu na ajira kazi ipo.
 
Back
Top Bottom