Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Nakumbuka siku moja lecturer aliingia class kutudokeza matokeo ya test yake tuliyofanya.
Alisifu kuwa kuna baadhi ya wanafunzi walifaulu vizuri sana kwa kujibu exactly alichofundisha.
Akaenda mbali kwa kusema 'yaani wamebandika kila neno nililowaandikia kwenye lecture? Ah kweli mmenikamata!'
Kwakweli nilifadhaika kugundua jamaa anataka tukremu bila kuwa wadadisi. Elimu yetu na ajira kazi ipo.
dah!uko udom au ardh mkuu?