Nisaidieni nipate kazi Watanzania wenzangu. Nina Bachelor Degree ya Environmental Health Sciences

HSE Officer

JF-Expert Member
Apr 10, 2023
651
844
Habar ndugu zangu

Mimi ni kijana wa kitanzania, nimekuja kwenu ndugu zangu ili nipate ajira iwe ya kudumu au mkataba .

Nina Bachelor Degree ya Environmental Health Sciences

Pia naweza kufanya kazi kama safety officer kwenye migodi, viwandani, na kwenye kila sekta ambayo imesajiliwa na OSHA (OCCUPATION SAFETY AND HEALTH AUTHORITY)

Nimesoma pia kozi za OSHA, NOSHC 1 na 2.

Karibun mnisaidie kazi
 
UMEACHA KAZI BANK MKUU?

Umeharibu😁😁😁
 
UMEACHA KAZI BANK MKUU?

Fukua makaburi.... madogo wanazani huku ni fb
 
UMEACHA KAZI BANK MKUU?

dah 🤣
 

Waambie hawa wakupe kazi.
Watasikia naiman wapo humu
 
Back
Top Bottom