Afanyacho Huyu Ni Sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afanyacho Huyu Ni Sahihi?

Discussion in 'International Forum' started by Buchanan, Sep 11, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wengine hawa hapa:

  [​IMG]
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama hao hapo juu hawana makosa kwa kuchoma kitambaa (bendera), huyu hapa chini ana kosa gani kuchoma karatasi (Quran?)

  [​IMG]
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hana kosa lolote sijui kwanini tena kashindwa kutekeleza ahadi yake. kwani hata Waislam kama wangelikuwa wajinga wangelichoma Bible. lakini wanajuwa kuchoma bible hakukna faida yoyote itakayo patikana sawa na kuchoma Quran. Quran zimesha chomwa nyingi saana, me namshangaa sana huyo jamaa, kuchoma Quran si chochote si lolote ktk Uislaa. Quran zimesha chomwa nyingi sana na bado Uislaam haujatetereka. mi naona anajisumbua tu, na nadhani kagundu ndio maana kaacha. :playball:
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Huyu Mpumbavu alitaka Apate Umaarufu Kuichoma Quran kama yule Mzungu aliye Mchora Kikatuni Mtume Muhammad Swala llahu alaye Wasalaam si alikuwa anataka apate Umaarufu tu. Na kama Rais wa zamani wa Marekani Bush Kuivamia IRAQ na kumuuwa Saadam hussein si alitaka apate Umaarufu Duniani?

  Kama wewe
  Buchanan uınavyo Kopi hizo Picha na Ku Paste humu ndani si unataka kupata umaarufu ndani Jamii Forums. Wewe Buchanan unafananisha Kuchoma bendera ya Amerika ya Kitambaa na Kuchoma Quran kitabu cha Waumini wa Dini ya Kiislam Ulimwengu mzima ni sawasawa?

  Mkuu
  Buchanan umesoma Shule Darasa la ngapi? Unaweza Kufananisha Kuchoma moto Bendera ya Amerika na kitabu chako unachokiamini cha ulokole yaani Kitabu cha Biblia? Acha kuweka Picha zako za upuuzi huo kama huna cha kufanya bora Soma Magazeti kwenye internet sio Kujaza Server ndani ya J.Forums. Asante
   
 6. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  test
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Kuchoma karatasi na kuchoma kitambaa vyote si sahihi.

  Uislamu kama imani ya watu si kitu cha kubeza. Na wala Marekani kama nchi huru si kitu cha kudharau.

  Nadhani hii siyo agenda.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Hii ndiyo tofauti ya Uislamu na Ukristo.

  Watu na vibaragashia vyao wanashiriki kufanya ujinga.
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Sep 12, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Siyo ajenda wakati dunia nzima ilitaharuki?
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Sep 12, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Acha hizo, watu wengi wanakimbia sana uislamu siku hizi!
   
 11. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  La...we need to be tolerant of each others faiths.
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi uislamu nini nini?
   
Loading...