Afande Sele: Nitapambana na Abood

umenena kweli, yani hata mwendawazimu leo akiingia cdm anapona na kuwa kamanda, cdm hawaishi vituko. Wanataka wabunge bora au bora wabunge?

je Lusinde u fungu lipi?
 
safi sana kamanda sele, mtetezi wa wanyonge--hakuna kulala mpaka abood aachie jimbo. tuko pamoja mfalme wa rhymes. people'ssss.........
 

Hay bana...hii haki ya kuchagua na kuchaguliwa naona watu wanaitumia vibaya sana.
 


Sasa Kama nisipokuunganisha na vyama mbona unamponda Sele?
 
Afande Sele asubiri taratibu za chama...kupitishwa kugombea kama kweli anataka kugombea kupitia Chadema....
 
safi kabisa! Utampiga tu kama una nia, ila usiwahujumu cdm
 
Huyu naye ni MHAINI... bado mapema mno kuzungumzia hayo
 
Kila la kheri kamanda... hawa wanashangaa manjonjo ya jukwaani wanashinwa kusikitika Rais anavyotudhalilisha kwa umatonya wakati mungu katujaalia rasilimali lukuki
 
Sasa Kama nisipokuunganisha na vyama mbona unamponda Sele?

Sababu kazi anayoitaka inahitaji upeo na uwezo wa kuangalia mambo kwa jicho la tatu na hiki sio kipaji cha wote, wanatakiwa wakae shule ili kupata uwezo huo,mambo ya kujaribu yametosha sasa kwa miaka hii hamsini!!!!!!!

Tukiingiza vichwa wazalendo kule ndani hatuwezi kubaki hivi!!!!
 
Yani huyo nae anataka kuwa mbunge,chadema kweli hawajielewi ila kama ndio maamuzi yao kumweka huyo mtambo, no coment,
 
Huyo jamaa anyedharau wengine ni Ngatara +++
 
Ila mjue afande sele ni mfuasi wa zitto na amekiri wazwaz kuwa ni rafiki wa zitto na hata ktk press conference aliingia ukumbini na zitto

perio....
 
Baada ya Sugu kuukwaa ubunge, wasanii wengi watajitokeza wakidhani it's that simple. Kama Afande Sele atakuwa serious, then kwanza tumuombee uzima hiyo 2015 aione!. Matajiri wa mabasi kwa kupotezeana ni balaa!.
Pasco
 
Hawa akina Afande sele wakishindwa uchaguzi wa ndani lazima waasi!
Mtu hajafahamu upinzani ndani ya chama ukoje anawaza next stage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…