daaah kama akigombea kuptia CDM imani yangu kwa CDM itashuka. Thou ubunge hauna kiwango rasmi cha elimu wala uelewa, lakini ni wazi kwamba uelewa wa namna flani unahitajika.
Hizo report wanazoptia akina zitto na kamati zote za bunge tukiiwaachia bongo fleva wawe ndo wabunge wetu mama yangu nachelea kusema bila shaka report ya mkaguzi wa serikali hawataielewi, mikataba hawataielewa na hawataelewa mambo mengi mwisho wa siku itakula kwetu maana hakuna watakalo fanya.
Jamani CDM angalieni na watu wakuwapa nafasi ya kugombea si ushindi tu maana mwisho wa siku watatuharibia chama chetu.