Afande Sele ana matatizo gani?

afande_sele4.jpg

Bange na bia/viroba vya kugongeshea kwa watu!!
 
"mziki unakwenda mrama
unapoteza heshima
badala ya kuungana
si tuendeleza uhasama
hatuna chama
hatuwezi kukutana
kwelezana
japo tumeanza kukwama
tupo wima wima wakati hatupo salama
tukitaka uzima
huu mziki tungeupima
tujue wapi tulipo
hatupendani bongo fleva na mahip hop
tofauti na zamani ugonjwa huu haukwepo
bendera hufata upepo
ukianza kuuona moshi jiandae kuzima moto
mwoneni mrisho mpoto
kwenye salamu za mjmb alibamba mpka kwa watoto
yeye hakutumia beat nzito
wala hakutoka kwa ubora wa intrumento
ila mziki wake mashabiki wanaupendea mafundisho
icho ndicho kilicho mtoa
kitu ambacho bongofleva tayar tumekiondoa
tunaimba bora tuimbe
na mziki bila ujumbe ni sawa na kuendesha gari wakati umelewa pombe
litakwenda upande
siajabu kabla ya mwisho wa safari gari ikushinde "...........maneno yake mfalme wa rymes...king of bongofleva.....nabii wa huu mziki.....tuacheni majungu kiukweli afande ni miongoni mwa wasanii wachache wanaojua wanachokifanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom