Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Mtasema yote katika mazingira yake...wapi kanga moko ,hadija kopa,john ko.waimba tarabu wote si wenu??maji mafupi....!!!!!!!!!!!! Acha hizo
 
Mkuu kwani hujaona picha za sele alizovua nguo?

Mbona samwel etoo aliwahi kuvua nguo hamsemi? Hao ndo wapiga kura wetu,wanazo haki zote za kikatiba katika nchi yetu,CHADEMA tunawaalika wote na hatubagui mtu katika jeshi letu la ukombozi.KARIBUNI SANA
 
Katika yote yanayoweza kusemwa juu Afande Sele kuwa anafaa au hafai mara angesubiriwa asipewe nafasi kwanza ya uongozi, jibu linabakia kuwa Afande Sele anawatu wengi wanaomunga mkono ndani ya CCM , CHADEMA na vyama vingine pia, sasa endeleeni kujadili hili mkijua hilo
 
Lazima wakiri Chadema ni mpango wa Mungu. Miaka yote ilikuwa ni sura zilezile na watoto wao pamoja na hawara zao, Sasa Chadema imewamwagia mboga na ugali lazima walale njaa. Nchi ya wote hii haijalishi ni Mkulima, Mfugaji, Mfanyabiashara, mKRISTU, mUISILAMU, rASTAFARIANI, mPAGANI, mTU WA MITAANI AU NANI ilimradi tu ni Mtanzania basi nchi yako.
Pepoleeeeeeeeee........................................
 
picsay-1333715193.jpeg


Huyu amefuzu kabisa kunywa viroba vya Bavicha
 
Roho inakuuma sana, pole. Hapa wasanii wapo kazini. We lia tu, kwa maana zama zenu zimefikia ukingoni.
Hahahahaa!!! mkuu Communist Chadema mmetisha bado dudu baya na Kalapina kikosi kikamilike
 
Hahahahaa!!! mkuu Communist Chadema mmetisha bado dudu baya na Kalapina kikosi kikamilike
attachment.php

Hapo vipi, tatizo ni hawa wanaotawala ndio wanawafundisha wasanii kuwa hivyo. Wakija CDM tunawaweka sawa.
 
Mnaonaje 20% nae mumpe shavu la Mkuranga?
Poa tu, kwani yeye sio binaadamu. anaweza kuwa poa kabisa, ni kufundiswa tu maadili safi. Usichukie binaadamu wenzako, jitahidi kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom