Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

mkuu huyu jamaa anamashairi yaliyoenda shule potelea mbali matendo yake ila yatadumu
 
Ngoja niongeze kidogo.
 

Attachments

  • SAM_0340.JPG
    SAM_0340.JPG
    993.8 KB · Views: 185
  • SAM_0314.JPG
    SAM_0314.JPG
    993.7 KB · Views: 149
  • SAM_0327.JPG
    SAM_0327.JPG
    722 KB · Views: 132
  • SAM_0276.JPG
    SAM_0276.JPG
    784.1 KB · Views: 127
  • SAM_0300.JPG
    SAM_0300.JPG
    1.4 MB · Views: 6,266
Mkuu jaribu kua na heshima kwa wachunga usen... Wako peleka kule siasa haiendi hvo na adabu hainunuliwi
Mkuu mimi matusi nimetukanwa sana na bavicha yote yameisha hakuna hata moja ambalo sijatukanwa unachofanya unarudia tu naomba ongeza lingine kwani bangi chadema ni jadi yenu mlianza na shetani mtamaliza na shetani.
 
Wapiga tarabu wanao tayari mchungaji natse ni mithiri ya hao.

J acha kuandika kama hujui siasa. Unaandika u.t.umbo kama huu ili umdhalilishe mchungaji Natse? Kinachojadiliwa ni Selemani Msindi kaingia rasmi M4C.
 
Ni vizuri kumpokea, lakini hili suala la kumpa cheo mwanachama ambaye hata hajamaliza siku ndani ya chama ni kosa kubwa sana la kiufundi. Kila mtu mkweli atakubaliana na mimi katika hili. Ninaipenda sana chadema lakini siwezi kuacha kukosoa pale inapolazimu.


Mashairi yake tu yalikuwa yanamtambulisha kuwa yeye ni chama gani, hebu sikiliza karata dume.
 
karibu sana chadema afande, karibu kwenye mapambano
 
mkuu huyu jamaa anamashairi yaliyoenda shule potelea mbali matendo yake ila yatadumu
Kumbe bungeni wanatunga mashairi du kazi kweli hawa ndiyo bijana wa chadema wanawaza mashairi badala ya kutunga sheria na kuleta maendeleo kwa watu.
 
Mimi nimpongeze mtu anavua nguo hadharani ntaanzia wapi mie nendeni na mashetani yenu.
Roho inakuuma kweli? Mbona wengi tu wanavua ngu kwenye maswiming pools. Wengine ni maraisi. Pole sana
 
hebu tujuze uzuri amajiunga uanachama leo? my take ni pale mwanachama mpya kukabidhiwa cheo cha uenyekiti siku hiyo hiyo. Daima tukumbuke kiongozi ni lazma afinyangwe na kupikwa uzuri ili kujikinga na virusi masalia wasijipenyeze

Hii ndio sababu ya mimi kutoijali siasa ya bongo
 
Siasa za majitaka ni jadi yako. Laiti ungemuiga baba yako wewe!
Huyu jamaa hajawaona Makirikiri wanavaaje. Hata historia hajuai kwamaba watu walikuwa wanavaa hivyo sio muda mrefu uliopita. lakini cha zaidi, watu hubadilika kutokana na shughuli wanazofanya. Nampongeza Kamanda Afande Sele
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chadema-Afande Sele! Amefuata nyayo za Sugu! Nikutakie maisha marefu ya kisiasa Kamanda Sele ndani ya Chadema mwaka 2015 ushindi ubunge upata hata Unaibu Waziri
ImageUploadedByJamiiForums1384803796.784434.jpg
 
Ni vizuri kumpokea, lakini hili suala la kumpa cheo mwanachama ambaye hata hajamaliza siku ndani ya chama ni kosa kubwa sana la kiufundi. Kila mtu mkweli atakubaliana na mimi katika hili. Ninaipenda sana chadema lakini siwezi kuacha kukosoa pale inapolazimu.
Hiyo ni task force ya muda mfupi, kutafuta viongozi wa kudumu. Roho inakuuma sana. Kwani hayo mafisadi yenu yana experience ya miaka mingapi?
 
Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.

Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.

Umalidadi ni njia mojawapo itumiwayo na majizi pindi wawanyemeleapo ili kuwapora. Ogopa wenye suti na wanyenyekevu linapokuja suala la kuiba.
 
Back
Top Bottom