Angalia Mjomba wako akikata mauno - akitanganza vita dhidi ya Ufisadi na meno ya Tembo.Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
Angalia Mjomba wako akikata mauno - akitanganza vita dhidi ya Ufisadi na meno ya Tembo.Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
Angalia Mjomba wako akikata mauno - akitanganza vita dhidi ya Ufisadi na meno ya Tembo.
![]()
View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu ![/QUOTE
...usikasirike mkuu nyi si mna akina Dokii?
kichwa cha mwendawazimu hakisikii ushauli, kwa akili zako ndogo Afande Sele ni kiongozi wa wavuta bangi au wananchi wenye akili timamu? kwa ushauli wangu ajipange asije yakamtokea yaliyompata marehem Ngweya. tutashangaa sana kuona hajifunzi kutokana na makosa.Shonza umechuja wewe!
mmalizie bangi or? mbona usomeki? afande kama sugu tu, wote akili mbili nyuma 3 mbele.Kamanda Karibu Tumalizie ngwe ndogo iliyobakia!!![]()
Hebu waambie vizuri. Weka na picha ya makirikiri. Hajui sanaa huyu.