Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Kuna tawi la Mirembe pale Ufipa viroba vimeharibu mfumo wa akili za vijana wa Chadema.Afande Sele atasaidia kuwajenga kimaadili.
Vipi leo mtasambaza ukimwi maeneo gani katika utekelezaji wa sera yenu kama inavyofanywa na kada wenu Alhaji kapuya?
 
Vipi leo mtasambaza ukimwi maeneo gani katika utekelezaji wa sera yenu kama inavyofanywa na kada wenu Alhaji kapuya?
wanachama wa chadema mnamatatizo sana, baada ya kudili na viongoziwenu kwa matendo wanayofanya hayaendani na utaifa wetu mnadili na Kapuya? ha ha ha, kumbukeni kiongozi wenu mkubwa alikwenda DUBEI kutafuta maisha akafanikisha kununuliwa nyuma, mwingine alikwenda mombasa kutafuta maisha, hayo yote mnatunza kama siri wajinga wakubwa.
 
Naona kapuya ameshakupa wale wadudu wake una taharuki tulia mzigo uzame
 
Vipi leo mtasambaza ukimwi maeneo gani katika utekelezaji wa sera yenu kama inavyofanywa na kada wenu Alhaji kapuya?
Hii nayo mpya. Duhh.

attachment.php
 
Mtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !

mwigulu WDC.jpeg View attachment 122119 View attachment 122120

Hawa wanafanya nini? na wamekusanywa na nani? na hiki wanachokifanya kinajenga chama chenu?

Hao wasanii unaowaona wanajiunga na CHADEMA ni wasanii wanaojitambua na hawafuati fedha bali ni mioyo yao na uchungu juu ya mateso wayapayo Watanzania na huu utawala dharimu wa CCM
 
attachment.php

Hii ni nini, Kama mafree mason vile. Naona wengine suruali zimeinuka vile.
 
Kwa tunakoelekea watanzania, wananchi inabidi wawe na maamuzi magumu....hasa kwa hawa vilaza wa chadema
 
Watu wengi wanaodhani kwamba wanaweza kuishi nchini bila kufuata utaratibu wa sheria za nchi ndio hupenda kushabikia chadema! Mfano:
1.Wavuta bangi e.g Afande Sele.
2.Waendesha bodaboda wasiokuwa na leseni,bima n.k.
3.Wezi na majambazi e.g Lema.
4.Wagomvi na wasiojua sheria na kanuni. Eg Sugu.
5.Wazinifu na wezi wa wake za watu:
6........... Ongezea!
 
Kawni umeshafanya utafiti, wazinifu wengi wanapatikana chama gani? hivi kule igunga wakati wa kampeni kulitokea nini?
 
Huko ndiko siasa za Tanzania zinapoelekea, sijui ataendelea kuvua nguo kwenye mikusanyiko ya watu!!!!
 
Huko ndiko siasa za Tanzania zinapoelekea, sijui ataendelea kuvua nguo kwenye mikusanyiko ya watu!!!!
Hawezi tena, ameshabadilika sana. Ataeleza zaidi mikakati yake hivi karibuni. Stay tuned.
 
Back
Top Bottom