majani siyo mazuri hahaha!View attachment 122013
Huyu ndie AFANDE SELE ambae amejiunga na CHADEMA rasmi leo kwa Ushawishi wa M4C! Karibu sana Chadema Afande Sele tutafute ukombozi pamoja! Peoplessssssss....poweeeeer!

Mgombea Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini kupitia Chadema-Afande Sele! Amefuata nyayo za Sugu! Nikutakie maisha marefu ya kisiasa Kamanda Sele ndani ya Chadema mwaka 2015 ushindi ubunge upata hata Unaibu Waziri
View attachment 122021
Ahsante mkuu kwa picha nilitaka waone watu huyo sele anayesemwa alivyokituko ha ha ha ha,bado ya yule mshikaji mwingine sasa kweli chadema manyago.
lakini sio hadija kopa na kombaMtakusanya mpaka wapiga taalabu ,lakini naona mnaingia kizani tu ,Chadema patupu ,amna kitu !
Wapiga tarabu wanao tayari mchungaji natse ni mithiri ya hao.