Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Afande Sele Aingia CHADEMA Rasmi Morogoro

Katika wote hapo hamna saizi yako, labda Shonza.
Sijakubishia mkuu,hivi vichwa ni balaa sidhani kama Sitta atakuja kusema tena kuwa safu ya uongozi Chadema ni nyembamba.Sifa zote zimuendee mwenyekiti Mbowe kwa kutumia kipaji chake na kuwashawishi wasanii kama hawa.
 
Nikufuate wapi, mirembe, nikuombe radhi. Niko tayari, Nisamehe kama hutaki kuwa kama Mnyika.[/QUOTE]Kuna tawi la Mirembe pale Ufipa viroba vimeharibu mfumo wa akili za vijana wa Chadema.Afande Sele atasaidia kuwajenga kimaadili.

Pole
Pole sana, leo ni kilio tu kwako.
attachment.php
 
Mingoi, Afande Sele haridhiki na mambo kama haya:
 
Attachments

  • Kikwete anaselebuka.jpg
    Kikwete anaselebuka.jpg
    35.6 KB · Views: 62
CCM sasa wamechanganyikiwa, moto wa CDM unawatisha wakuu sasa wanategemea muuzija , hapa wameula wa chua ndo maana wanategemea CDM ifanye UCHAGUZI mkuu ili waweke mapapeti wao na cdm TAYARI IMEWEKA MSAIMAMO WAKE WAZI , UCHAGUZI NI BAADA YA 2015 , KIFO HICHOOOOOOOOOOOOOOOOOO KWA CCM. halo halo ,haloooooooooooooooooo !!!!!!
kweli ktk mandondocha na wewe umo, ivi nini maana ya democrasi? acha ushamba shapu, kwani umeambiwa chadema hakina viongozi safi zaidi ya mbowe na slaa? kama kweli basi Cdm ni chanzo cha wachache cha kujipatia fedha. zumbukuku
 
Moto moto moto, Unguza CCM.
 
Angalia Mjomba wako akikata mauno - akitanganza vita dhidi ya Ufisadi na meno ya Tembo.
69.jpg
Chama Cha Mabakaji kinapenda haka kamchezo,hivyo vibibi na vibabu vimevutika kwenye makalio teh teh teh..
99% ya matukio ya CCM ni ngono tuuuuuuuuu..
 
Maswali yangu kwa wanaCDM,
Mosi, hivi uchaguzi ndani ya chama chenu ni throughout the year? Naona kila siku nasikia chaguzi za kata, kijiji lakini taifa sijawahi sikia!

Pili,Afande Selle amechanganyikiwa sana hata hiyo sherehe yake ilikuwa hoi bini taabani! Kwa mfano wa Afande Selle apambane na Abood, kipenzi cha wanamorogoro hamuwezi hata kwa 0%.

CDM jipange kutafuta candidate bora na sio bora candidate!
Kwa mtaji huu mtakiona cha moto 2015, Waluguru sio Kama Wanyakyusa au Wameru? They're different social animal!
 
Ahsante mkuu kwa picha nilitaka waone watu huyo sele anayesemwa alivyokituko ha ha ha ha,bado ya yule mshikaji mwingine sasa kweli chadema manyago.

hayaaaaa, maneno tu, hata kwenye kanga yamooooooooo
 
Duh, sawa.....ila nadhani saa ya ukombozi kwa ruguru imefika, maana hapo ni wahindi/wapemba tangu uhuru

Maswali yangu kwa wanaCDM,
Mosi, hivi uchaguzi ndani ya chama chenu ni throughout the year? Naona kila siku nasikia chaguzi za kata, kijiji lakini taifa sijawahi sikia!

Pili,Afande Selle amechanganyikiwa sana hata hiyo sherehe yake ilikuwa hoi bini taabani! Kwa mfano wa Afande Selle apambane na Abood, kipenzi cha wanamorogoro hamuwezi hata kwa 0%.

CDM jipange kutafuta candidate bora na sio bora candidate!
Kwa mtaji huu mtakiona cha moto 2015, Waluguru sio Kama Wanyakyusa au Wameru? They're different social animal!
 
Hiyo ni task force ya muda mfupi, kutafuta viongozi wa kudumu. Roho inakuuma sana. Kwani hayo mafisadi yenu yana experience ya miaka mingapi?
Mkuu communist! laiti ungelijua kwamba mimi na Chama Cha Magamba ni kama paka na panya, usingenihusisha na chama kilichooza kama hicho. Ninaipenda sana chadema kuliko vyama vingine vyote kwa sasa na hata kura yangu ya mwaka 2010 niliwapa. Si hivyo tu ila hata ya 2015 wanayo endapo wataenda na uzalendo huu huu walionao. Hata hivyo, upendo kwa mtu si sababu ya kutomtahadharisha pale anapokosea. Kama chama kitaanza kuchukua kila mwanachama mpya na kumuingiza moja kwa moja kwenye uongozi, kitakuwa kinajiandalia anguko lake chenyewe. Nisingetaka maneno ya Steven Wasira yatimie hata kidogo. Hivyo basi uangalifu wa hali ya juu unahitajika.
 
Afande Sele kama Nakaya tu! Ukikaribia uchaguzi atarudisha kadi CCM na kujiunga rasmi.

Body without head
 
Afadhali tumeongeza idadi ya watu wa kupigana kwenye chama na kuvua nguo kwahiyo wenye uwezo wa kuvua nguo chadema sasa ni wawili safi sana.

Wakuu tuwekeeni ile picha afande sele kavua nguo na ile ya lema aliyovua nguo tuone nani mkali wa kusaula.
Kuliko Nguo kapuya anazovulia vibinti vidogo na kuviambukiza ukimwi?
 
Back
Top Bottom