ILE ILE YA WATZ KUTODHAMINI KAZI WAKIAJIRIWA WA KENYA WANALALAMIKA1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc
Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.
tofauti nyingine ongezeni..
1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc
Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.
tofauti nyingine ongezeni..
Na nyie mnalipwa buku ngapi? Lazima itakuwa zaidi ya buku 7.1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc
Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.
tofauti nyingine ongezeni..
wanakomoa kumwadhibu abiria ili boss wao aonekane hafai kwa sababu hawapati pesa inayo watosha. wawapi weww hujui hili?ni kweli inatokea, ila sidhani kama kunakuwepo na dhumuni la kukomoana.
nahisi kutokubali kupakia, akapita biala kusimama, ni sababu maalum inakuwepo, kwani kuna mtu alifanya utafiti wa jibu la BASI LIMEHRIBIKA NAENDA KUPAKI?
kama kuna mtu aliambiwa hvyo na akafatilia akaona jibu halikuwa la kweli, basi adhabu kwa mapigo inastahili
mkuu tatzo la hayo mabasi si hicho unachosema, wamekosa kitu kinaitwa cordination, na hili kitawasumbua mda mrefu, sina uhakika kama wanawataalam wa mambo ya usafilishaji, nitoe mfn, ukiwa kimara mwisho au moroco au hata kivukoni, kunakipindi magari hakuna ya kutoka eneo moja kwenda eneo jingine, na yakija yanakuja mengi baada ya kama saa moja,1. Kwenye daladala abiria ndio mfalme , hata uwe mbali utasubiriwa, hata kama basi limejaa utaambiwa kuna nafasi etc
Sasa UDART ni kinyume chake kabisa, dereva ndio mfalme, anaamua apakie au asipakie, anaweza pita na gari tupu na asipakie, anaweza hata akadanganya eti gari bovu anaenda kupaki kumbe hataki apakie njiani, usumbufu kibao utadhani abiria wanapanda bure.
tofauti nyingine ongezeni..
unacho kisema ni kweli hata mimi nimeona. wameajili watu wa chini sana ili wawalipe bei ndogo. madereva wengi ni wale wa kuunga japo wana leseni.mkuu tatizo la hayo mabasi si hicho unachosema, wamekosa kitu kinaitwa cordination, na hili kitawasumbua mda mrefu, sina uhakika kama wanawataalam wa mambo ya usafilishaji, nitoe mfn, ukiwa kimara mwisho au moroco au hata kivukoni, kunakipindi magari hakuna ya kutoka eneo moja kwenda eneo jingine, na yakija yanakuja mengi baada ya kama saa moja,
hapo sasa ndyo anaihitajika mtu makin ambae amesoma usafiri, si wa kuigilizia, ambae atahakikisha root zinakuwa na uwiano na mda wote usafri unapatikana kila kona,
kwa kiwango chao wanajitahidi, ila hawajawa na wataalam, wapeleke watu SA au china, waone na wajifunzi, kwa walao kiduchi, kunatofaut ya abilia wa asb na jion, wanaotoka mjin kuja majumbani...
hvyo wawe weled ni changamoto tu watamdu mkuu
sio kwa kiwango hicho, unapo angalia muda ulio tumia chukua.muda ulio fika kituo then angalia umetumia muda gani kufika unako kwenda.Mmmh si kila mtu ataridhika na huduma zake. Ila kwa ujumla yanasaidia sana jamani duh
mkuu tatzo la hayo mabasi si hicho unachosema, wamekosa kitu kinaitwa cordination, na hili kitawasumbua mda mrefu, sina uhakika kama wanawataalam wa mambo ya usafilishaji, nitoe mfn, ukiwa kimara mwisho au moroco au hata kivukoni, kunakipindi magari hakuna ya kutoka eneo moja kwenda eneo jingine, na yakija yanakuja mengi baada ya kama saa moja,
hapo sasa ndyo anaihitajika mtu makin ambae amesoma usafiri, si wa kuigilizia, ambae atahakikisha root zinakuwa na uwiano na mda wote usafri unapatikana kila kona,
kwa kiwango chao wanajitahidi, ila hawajawa na wataalam, wapeleke watu SA au china, waone na wajifunzi, kwa walao kiduchi, kunatofaut ya abilia wa asb na jion, wanaotoka mjin kuja majumbani...
hvyo wawe weled ni changamoto tu watamdu mkuu
Wakati tunapanda bure hakukuwa na malalamiko.Mmmh si kila mtu ataridhika na huduma zake. Ila kwa ujumla yanasaidia sana jamani duh
Watanzania sijui tusaidiweje, kitu kizuri tunalalamika, kibaya ndio usiseme, haya kapande daladala.