Loy MX
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 1,253
- 313
yaani kaka mimi kidogo nizimie?
khaaa daladala zimeisha au?
Hata usizimie ndugu unadhani daladala zinaingia Mlimani city??
yaani kaka mimi kidogo nizimie?
khaaa daladala zimeisha au?
Haswaaaa...umenena...au kauza shamba la urithI.may be may be
Hapa ni Pa GT,ETI NILISHINDA ile gari Hyundai i10 za voda my as.s! Unakumbuka kwamba zilitoka mwaka 2010? Ulishinda watk bado haujaingia chuo na sasa bado unayo na ushaajiriwa,chuo ulianza lini na umemaliza mwaka gani? Na kazi umeanza lini? Labda kama ulisoma chuo cha upendo vocational training centre cha sinza.
Nina
kiasi cha shilingi 7mil na ninataka kununua usafiri wangu binafsi.
Naombeni wenye uzoefu na magari mnishauri ni aina gani ya gari naweza
kuipata kutoka show room kwa kiasi hicho cha fedha.
Binafsi nilikuwa napendelea toyota mark II ila sasa sijui bei yake
ikoje.
Then naomba kujua gharama za utunzaji gari zikoje kwa mfano inatakiwa
ifanyiwe service mara ngapi kwa mwezi.
Mshara wangu ni lak 3 kwa mwezi sina familia je nitaweza kuzimudu gharama za utunzaji gari?
Watu wengine wana mashauzi ya kiboya sana hiyo taa ya laki 6 kasoro aliinunua kwa pesa gani wanayolipwa na HESLB?? Safi bora umchane tu huyo boy.a
yaani kaka mimi kidogo nizimie?
khaaa daladala zimeisha au?
ahahaaa kumbe ni swaga za mlimani city....hivi bajaji au bodaboda haziruhusiwi pale?Hata usizimie ndugu unadhani daladala zinaingia Mlimani city??
kweli kabisa....tumuache akikua ataachaMuache atangulie
Nina
kiasi cha shilingi 7mil na ninataka kununua usafiri wangu binafsi.
Naombeni wenye uzoefu na magari mnishauri ni aina gani ya gari naweza
kuipata kutoka show room kwa kiasi hicho cha fedha.
Binafsi nilikuwa napendelea toyota mark II ila sasa sijui bei yake
ikoje.
Then naomba kujua gharama za utunzaji gari zikoje kwa mfano inatakiwa
ifanyiwe service mara ngapi kwa mwezi.
Mshara wangu ni lak 3 kwa mwezi sina familia je nitaweza kuzimudu gharama za utunzaji gari?
Mpwa Lushoto inafika?
Me mwenyewe nilishangaa....service si chini ya bei hiyo....la sivyo za uchocho ndo itakuwa hivyo...ila bibie mbona bp nasikia wako juu kibei si chini ya kilo...nielekeze hiyo bp ulofanyia niende next time
Mmenikumbusha wimbo WA ROSE MUHANDO, WOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO. Kuna maneno yanasema, acha kujifunza kwa walioshindwa, walioshindwa wana maneno mengi, utawakuta mchana kutwa vijiweni, Fulani Ana gari zuri amehongwa na Fulani, Fulani Ana nyumba nzuri ameibia kampuni.....you can google it. Una mafunzo mengi hasa kujibu hoja ya milioni Saba kwa laki tatu
CC: miss username na Paloma Smile na wengineo
Hapa ni pa ma great thinker wewe keng.e hauwezi kuja na story yako ya kiuongo uongo tupoteze mda wa kuchangia tunampa makavu live,usitake nawe msengerema kudanganya watu hapa jamvin huna kazi lkn umeweza kununua taa ya gari laki 5 na 90,huna kazi lakin umeweza kuendesha gari ukiwa secondary mpaka ukaingia chuo? Upuuzi kama huu ndio hatuutaki humu we keng.e kaongopee wasengerema wenzako liberali mkubwa we.