ADVICE: Ninunue gari aina gani?

ADVICE: Ninunue gari aina gani?

Carina TI,Spacio au Suzuki swift....hakikisha unaendelea na juhudi binafsi lakn,maana mshahara hautatosha kusupport both ww na gari.
 
Umeona unavokurupuka, soma tena maelezo yangu, nmetembea na gari nikiwa nimemaliza k.6 hehe inakuuma? then ckusema nmeinunua

wivu, kuropoka, sawasawa na umaskin ulio nao

jibu maswali
1.Chuo umeanza lini mwaka na mwezi?
2.chuo umemaliza lini mwaka na mwezi?
3.Umesoma kozi gani?

Kumbuka hzo i10 zilitolewa mwaka 2010 wkt wewe upo kidato cha 6,Je hicho chuo umesoma miaka miwili? Au umeanza kazi kabla ujamaliza chuo?
 
Azungushe kwenye nini?mimi nadhani kwa hapa mjini kama unafanya kazi ya kuajiriwa ya kuingia saa mbili asubuh tu jion saa 11, basi gari ni muhimu sana!few things u can do for let's say 7 Million,may b kama wapenda kulima au kufuga huko nje ya mji!otherwise 7 million haiwez kutosha kwa biashara isiyokupa headache! Kumbukeni kufungua biashara sio kazi,kazi ni usimamizi!
Muda utakaopoteza vituoni kama huna gari ni mkubwa sana!

napingana na mawazo yako ya kusema 7m haitoshi kwa mtaji!!..mm nilianzisha mpesa,tigo pesa,airtel money just for the capital of 5m na sasa imezaa imekua 10 within a year!!,kibusness changu kinanizalishia kati ya laki8 mpaka 1m kwa mwez kwa capital hiyo ya 5m nloanza nayo!!jaman ujasiriamali hauhitaji mtaji mkubwa ni akili tu,hata 1m ni mtaji wa kutosha na ukiimanage vzr baada ya mwaka inakua 5m hiyo!
 
kaka swali la msingi nani anafanya hiyo kazi?wewe au umeajiri mtu?
 
...nakushauri ununue Toyota corolla AE110 au AE111....
Ushauri uliotoa ni mzuri na ni vema mhusika akazingatia. huu ni mwaka wa 3 natumia Corolla AE110 na haijawahi kuni-disappoint
hata siku moja. nimepiga routes za Ar- Ir 5 na Ar - Dar zaidi ya 10 na hakuna siku ilinisumbua njiani na bado iko makini. inatumia mafuta vizuri sana. kwa budget yake ya 7m, i'm recommending for this car, hayo magari mengine sijui ubora wake
 
Hakuna neno mkuu,hawezi kukuelewa sasa hivi muache ajifunze the hard way kidogo..ni vigumu sana kumuelewesha mtu ambaye hajawahi kumiliki gari kuwa gari ni liability..
Mimi najua watu kadhaa ambao pamoja na kuwa na salary ya Tshs 3m kwa mwezi bado hawajanunua magari ya kutembelea...sasa laki 3 hata mafuta haitoshi

Kwakweli kwa kipato chake duh napata hofu juu yake.
Najua atanunua gari maana tayari anaonesha anachotaka kufanyia hizo m7 ni kununua gari.
M7 ni ndogo sana na ni nyingi sana.
Natamani muomba ushauri abadili nia then atafute kitu kinachoweza kumuongezea kipato kwa hizo m7.
Mi naona kama mwenzetu bado hana uwezo wa kumuliki gari.
Naona kama akinunua gari atajizidishia ugumu wa maisha.
Laki 3 ni ndogo sana,ingekua mimi kitu ambacho ningekipa kipaumbele ingekua ni kujiongezea kipato.
 
kaka swali la msingi nani anafanya hiyo kazi?wewe au umeajiri mtu?

nimemwajiri mtu na anafanya vzr tu japo mwanzoni miez mitatu ya mwanzo nilikua nakaa nae ili kumfunza kazi!kwasasa anaiendesha dogo nilomuajiri na hana tabu yyt namshukuru mungu!
 
Kwakweli kwa kipato chake duh napata hofu juu yake.
Najua atanunua gari maana tayari anaonesha anachotaka kufanyia hizo m7 ni kununua gari.
M7 ni ndogo sana na ni nyingi sana.
Natamani muomba ushauri abadili nia then atafute kitu kinachoweza kumuongezea kipato kwa hizo m7.
Mi naona kama mwenzetu bado hana uwezo wa kumuliki gari.
Naona kama akinunua gari atajizidishia ugumu wa maisha.
Laki 3 ni ndogo sana,ingekua mimi kitu ambacho ningekipa kipaumbele ingekua ni kujiongezea kipato.

mkuu upo sahihi kabisa,tatizo vijana sikuiz tunapenda sn starehe ilhali uwezo hautoshi!!hiyo 7m kama ataiinvest kwenye biashara namuhakikishia baada ya 1 or2 yrs ananunua hata rav4 sio tu vits,huku mtaji wake ukiwa unaendelea kuproduce profits!!,ok ila kwakua ni bint huenda ameolewa na anahudumiwa kila kitu hadi mafuta na services hua wanasaidiwa hao bana na mashemeji zetu,namshauri anunue vitz!!
 
Mbona mnapenda kuchokonoa maisha ya watu lakini, mshauri kuhusu hiyo million 7, mambo ya kaipataje haihuu

Nilikuomba ubadili hiyo avatar lol!

Bado natafakari juhudi binafsi za mtoto wa kike zilimzofanya akameki mil7 kwa mshaara wa laki 3! I don' wanna keep the receipt so i dont buy her bull.ish or im gonna learn today
 
we have long way to go ikiwa akili zetu huku dunia ya tatu ndivyo zilivyo,sio kwa msomi au layman, wengine wanakopa mkopo akatwe ktk mshshara ili anunue gari, mwenye income ya la3 anataka gari ili hiyo gari ipunguze hata hiyo laki3 aliyonayo badala ya kufikiri afanye vipi ili izae.

Miafrica ndivyo tulivyo,source nyani ngabu
 
mkuu upo sahihi kabisa,tatizo vijana sikuiz tunapenda sn starehe ilhali uwezo hautoshi!!hiyo 7m kama ataiinvest kwenye biashara namuhakikishia baada ya 1 or2 yrs ananunua hata rav4 sio tu vits,huku mtaji wake ukiwa unaendelea kuproduce profits!!,ok ila kwakua ni bint huenda ameolewa na anahudumiwa kila kitu hadi mafuta na services hua wanasaidiwa hao bana na mashemeji zetu,namshauri anunue vitz!!

na starehe zitawaua, yaani ni sawa na mtu hana hata vyumba viwili lakini anawaza gorifa kwa nini mtu usife kwa depression,kisukari,presha vidonda vya tumbo na mengineyo
 
Km ni mtu wa kusikia amesikia..na ukiangalia wanaomshauri anunue gari wenyewe hawana so hawajui cost...walionayo wanakutahadhalisha mpendwa...
 
Acha kumkatisha tamaa mwenzio na waswahili wanasema maisha ni mipango. Kuna iliepanga kuanza na gari then nyumba, pia mwingine ndoa then gari, mwingine nyumba kwanza mengine yanafuata.
Pia kumbuka inategemea na kaza pia mizunguko ya mtu anaweza akaona matumizi ya tax, bodaboda au daladala na gharama pia anapoteza muda mwingi kuliko anapokua na usafiri binafsi.

Gari ni kazi kulinunua tu kwa kuwa unahitaji kuwa na hela za mara moja but once ukiwa nalo wakati mwingine gharama zake kwa siku ni sawa tu na sie wapanda daladala na bajaji maana gharama ya kupanda bajaji,bodaboda na daladala hazipishani sana pia kama umefulia unaweza kulipaki ukadunda kwa usafiri wa kawaida hasa ukizingatia kila siku magari yanapanda bei
 
Lol achen majungu.....dada wa watu kaomba ushaur baada ya kumshaur mnaanza kumchambua oh pesa kapata wap......mara ivi mara vile.......inahusuuuuuuuu??lol wanaume kua wambea ata haipendez.....badiliken kama nyie hamna uwezo wa kumilik ml7 fanya juhud upate sio majungu......haters
 
hivi laki tatu ..hapo anaishi nyumba gani? bado kulipia parking kila siku sio chini ya elfu moja
majanga sana jamani....khaaa

Watu bwana yani we unalinganisha maisha yako na usiyemjua?unajuaje anapanga au anapoishi hapana parking?
 
  • Thanks
Reactions: ram
thats where the problem is....BP ni expensive for nothing.....kuna ile TOTAL pale morogoro road near mtendeni primary school/AKIBA kuna mpemba pale anafanya bei rahisi sana.....nimesahau kuandika ENGINE OIL ambayo ni 32000-70000 kutegemea na uitakayo.....

Kwahiyo bado ukiongeza na ile 35,000/= ulioainisha kule mwanzo inakuwa jumla 67,000/= ambayo ni appromately na 70,000/= aliyofanyia ram, all in all gharama za service huwa zina range between 50,000/= mpaka 70,000/= hata 80,000/= but kihakikisha kwamba zikifika 3000km unakwenda kufanya service maana vitu vingine huwa wana vicheck tu kama vipo poa hawavibadilishi, na ndio maana unaweza ukafanya service mwezi huu 70,000 zikiisha hizo kilometre ukija mara ya pili inashuka kwa kuwa kuna baadhi ya vitu vinakuwa checked.
 
Last edited by a moderator:
mkuu upo sahihi kabisa,tatizo vijana sikuiz tunapenda sn starehe ilhali uwezo hautoshi!!hiyo 7m kama ataiinvest kwenye biashara namuhakikishia baada ya 1 or2 yrs ananunua hata rav4 sio tu vits,huku mtaji wake ukiwa unaendelea kuproduce profits!!,ok ila kwakua ni bint huenda ameolewa na anahudumiwa kila kitu hadi mafuta na services hua wanasaidiwa hao bana na mashemeji zetu,namshauri anunue vitz!!

nina m kumi naomba ushauri biashara gani naweza kufanya?
 
Back
Top Bottom