Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
asipokuwa na hiyo gari atakufa?Azungushe kwenye nini?mimi nadhani kwa hapa mjini kama unafanya kazi ya kuajiriwa ya kuingia saa mbili asubuh tu jion saa 11, basi gari ni muhimu sana!few things u can do for let's say 7 Million,may b kama wapenda kulima au kufuga huko nje ya mji!otherwise 7 million haiwez kutosha kwa biashara isiyokupa headache! Kumbukeni kufungua biashara sio kazi,kazi ni usimamizi!
Muda utakaopoteza vituoni kama huna gari ni mkubwa sana!