Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Think out of the box,,ajira ni shida kote hata uende marekani au hapa jirani kenya hapa.But all in all serikali imetangaza kuajiri baadhi ya wahitimu kulingana na nafasi zitakazo kuwepo.But tujifunze kujiajiri rafiki

Hapo kwenye kujiajri ni bora ukae kimya tu, ni kweli wote tunajua kuna uhaba wa ajira, lakini inakuwaje viongozi wanahimiza watu kujiajiri lakini wao pamoja na kuwa na mitaji, ndugu zao na watoto wao wanawatafutia kazi za ajira tena kwenye taasisi za umma? Inakuwaje viongozi wanaohubiri kujiajiri wao wenyewe hawako tayari kujiajiri? Tumeona viongozi wamestaafu wanapewa kazi kwenye body za taasisi za umma, ni kwanini wasijiajri hasa ukizingatia viinua mgongo vyao huwa vimenona?
 
Hiyo no inahusiana nini na hizo mambo zako?
 
Hapo ndio utajua umuhimu wa JPM,,KAINGIA madarakani katoa watumishi hewa ili akina kayumba wapate ajira,,kaleta sera ya viwanda ili watakao kosa ajira serikalini wapate huko,,kahimiza kilimo na kuondoa kero kwa wakulima ili watu wajiajiri huko
 
Unaoekana kwakuwa una ajira serekalini basi unaongea nadharia bila kujua uhalisia. Mimi ni mkulima na ninajua ni udhaifu kiasi gani unaendelea kwenye kilimo. Wangalau rais angegusa kwa uhakika katika sekta ya kilimo ningemuelewa kwani huko ndio kuna wananchi wengi tena wanyonge kama anavyopenda kusema. Kaleta sera ya viwanda hili nampongeza, lakini hajaweka nguvu kwenye malighafi ambapo ni kwenye kilimo. Kuna hatari ya viwanda hivyo kukosa malighafi hapa nchini na hivyo kuagiza malighafi nje ya nchi. Kwa sababu hiyo kuna hatari ya viwanda hivyo kushindwa ushindani wa bidhaa za nje au kuuzwa ghali.

Narudia tena kwenye suala la ajira bado ni tatizo kubwa kwa Magufuli, shukuru kuna mahali pa kujifichia kwamba tatizo la ajira ni la kidunia. Kumbuka nafasi za ajiri zilizotelewa ni chini ya ajira zilizopotea kutokana na vyeti fake. Kwenye elimu bure ameweza mpaka sasa hata kama ni wazo aliloiba toka kwa wapinzani wake na ninaweza kusema amelitekeleza chini ya walivyoahidi aliowapora sera kwani wao waliahidi elimu bure mpaka chuo kikuu. Halafu nimegundua wewe sio mjenga hoja makini bali unaishia kutajataja mambo ukidhani yana mafanikio kumbe ni propaganda tu. Mfano unataja viwanda ambavyo ndio kwanza vinahasishwa kujengwa, na kilimo bila kujua hakuna sekta iliyosahaulika kama hiyo.
 
Ndio hivyo,,hao wanachi unawao waita takataka watakuadhibu 2020 hutasahau mkuu
Hao wanachi unaowasema ni akina nani??au ulikuwa na maana ya neno wananchi lakini tu kwa sababu wewe ni zwazwa umeandika wanachi.Kwa taarifa yako hiyo tume ya takataka haikuchaguliwa na wananchi!!!
 
But mi sio bashite Rafiki.....See you when your leaders utters a word without prior thinking,,I will be at this platform teaching you patriotism.Nice evening bro
Bashite sio lazima uwe Bashite malanja,Ukiambiwa wewe ni Bashite ujue kwamba umesoma vizuri kabisa lakini wewe ni zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio utajua umuhimu wa JPM,,KAINGIA madarakani katoa watumishi hewa ili akina kayumba wapate ajira,,kaleta sera ya viwanda ili watakao kosa ajira serikalini wapate huko,,kahimiza kilimo na kuondoa kero kwa wakulima ili watu wajiajiri huko
Inaonekana wewe una ukoo mmoja na yule Mbunge wa Geita mhamasishaji wa Bangi!!!!
 
Bashite sio lazima uwe Bashite malanja,Ukiambiwa wewe ni Bashite ujue kwamba umesoma vizuri kabisa lakini wewe ni zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zero na wewe hujajibu hoja yangu hata moja ,,nani zero mimi wewe,,jibu hoja issue ya kuwa kama msiposikilizwa bungeni wauaji wa kibiti wataenea nchi nzima vepe hapo. ? Jibu hoja Mr zero,,,,,
 
Wabunge ni binadamu kama wewe,nionyeshe ilani ya CCM inayo ruhusu kupitishwa kwa mikataba mibovu.Gari linaweza kuwa zuri lakini dereva mmbaya,,haimaanishi gari halifai.Sasa hivi tuna Uongozi tofauti kabisa na habari za miaka iliyopita ishakuwa story.Ni sawa na CHADEMA YA 2015 back wards sio hii ya leo,,Walimkaribisha ndugu yetu ambae mwanzo walimuita fisadi,,sasa hivi hawana moral authority ya kuzungumzia ufisadi wamebakiwa na kiki za Kisutu na press conference tu.

Ni chama hicho kinacho wabana wabunge wake wapitishe miswaada yote inayoletwa na serikali na wakienda kinyume wananyang'anywa kadi. Usione wanàpanua midomo kama makinda ya ndege wakiitikia ndiyooooooooooo ukafikiri wote wanapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni chama hicho kinacho wabana wabunge wake wapitishe miswaada yote inayoletwa na serikali na wakienda kinyume wananyang'anywa kadi. Usione wanàpanua midomo kama makinda ya ndege wakiitikia ndiyooooooooooo ukafikiri wote wanapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo ni hisia zako tu mkuu,,
 
Ngoja nikujibu hoja yako.Nchi yetu ina watumishi na watanzania wasiokuwa watumishi.Wote wanahitaji kubenefit na keki ya taifa,Hivyo kuto pandishwa mishahara ni katika juhudi za kuhakikisha serikali inafanya uhakiki ili kila pesa ya mlipa kodi inaenda kwa mtu sahihi.na pia hawa wengine wasiokuwa na watumishi wapate haki yao kama madawa,bara bara na maji
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kuhakiki miaka miwili?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] juhudi gani?acha hizo weweee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom