Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
717
Reaction score
459
Kuna watu ambao wao kila kukicha wanatafuta sababu za kuisema vibaya serikali hata kama hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo.Nitatoa mifano michache hapa;
MOSI
Serikali iliahidi elimu bure;watu hawa wamepinga na kusema elimu bure haipo.Ungekuwa upinzani mzuri ungeipongeza kwanza serikali kwa juhudi zake kubwa and then wangetoa maoni ya namna ya kuboresha changamoto zake.

PILI
Kuiita taarifa ya Kamati ya kwanza ya madini kuwa ni takataka.Hili neno sitalisahau maana lilitolewa na mmoja wa viongozi wa CHADEMA tena mwana sheria mkuu,By implication alimaanisha sisi sote tuliokuwa tuna isubiri hiyo ripoti ni takataka duh! Tusi baya sana.

TATU
Kuna ndugu zetu walikuwa wanauawa kinyama kibiti hawa watu walikuja na kauli kuwa
kama serikali haitawasikiliza bungeni basi mauaji yale yangeendela nchi nzima.There is no crime which can justify taking human life,,yaani hakuna kosa linaloweza sababisha mtu akawa na uhalali wa kutoa uhai wa mtu.Hawa ndio wanategemea kupigiwa kura 2020? Watasubiri sana

NNE
Watu hawa waliomba tunyimwe misaada ili tufe na magonjwa,njaa,tushindwe kusoma,ect.Waliposema Wanaomba Rais anyimwe misaada walimaanisha watanzania wote tunyimwe misaada tufe.Can yo imagine that?,,,,,,,,,,,,,,And unakuta mtu bado anashabikia harakati za aina hii? kweli do you think brother?

Mwisho;Unapopingana na juhudi za serikali katika kuleta maendeleo na ukaonyesha upinzani wako wazi wazi;wewe haupingani na Rais wewe ni adui yetu watanzania wote kwani Rais huyu unaemuona tulimuweka sisi.Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura.

Say no to anti-government movement.
Long live JPM;HAPA KAZI TU
Free mind@jaruri
0712207633
 
Wewe ndo tafsiri yako iko tofauti na nimchochezi kila kitu unatafsiri tofauti. Tunaomba mkojo wako tuupeleke kwa mkemia tugundue tatizo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa hii serekali ilikuwa inateua watu walionekana ni watetezi wake sasa limeibuka kundi la wajinga hadi na namba za simu wanaweka. Sijui ni kwa mtego au ni kutaka kupewa vyeo ila wao wanajua. Mleta uzi nakwambia wazi hiki ulichoandika hapa ni pumba tena mashudu. Tuleteeni hoja za msing nasi tutawajibu kwa muktadha huo ila mkileta shudu tunawajibu shudu.
"Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura".Anakuwaje raisi halafu akanyimwa kura? Halafu unataka tukujibu. Nyumbu wewe.
 
hoja hizo hapo mkuu jibu,,acha kuruka ruka.hamkuiita ripoti taka taka?
 
Ngoja nikujibu hoja yako.Nchi yetu ina watumishi na watanzania wasiokuwa watumishi.Wote wanahitaji kubenefit na keki ya taifa,Hivyo kuto pandishwa mishahara ni katika juhudi za kuhakikisha serikali inafanya uhakiki ili kila pesa ya mlipa kodi inaenda kwa mtu sahihi.na pia hawa wengine wasiokuwa na watumishi wapate haki yao kama madawa,bara bara na maji
 
Kwa kuwa hii serekali ilikuwa inateua watu walionekana ni watetezi wake sasa limeibuka kundi la wajinga hadi na namba za simu wanaweka. Sijui ni kwa mtego au ni kutaka kupewa vyeo ila wao wanajua. Mleta uzi nakwambia wazi hiki ulichoandika hapa ni pumba tena mashudu. Tuleteeni hoja za msing nasi tutawajibu kwa muktadha huo ila mkileta shudu tunawajibu shudu.
"Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura".Anakuwaje raisi halafu akanyimwa kura? Halafu unataka tukujibu. Nyumbu wewe.
Kama ameweka namba kisha akasahau kutumia jina bandia ni zwazwa tu! Afanye edit jina ajiandike Titus John(aliyosajilia line) ili apewe umakamu polepole pale Lumumba!
 
Back
Top Bottom