Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Kwa kuwa hii serekali ilikuwa inateua watu walionekana ni watetezi wake sasa limeibuka kundi la wajinga hadi na namba za simu wanaweka. Sijui ni kwa mtego au ni kutaka kupewa vyeo ila wao wanajua. Mleta uzi nakwambia wazi hiki ulichoandika hapa ni pumba tena mashudu. Tuleteeni hoja za msing nasi tutawajibu kwa muktadha huo ila mkileta shudu tunawajibu shudu.
"Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura".Anakuwaje raisi halafu akanyimwa kura? Halafu unataka tukujibu. Nyumbu wewe.
Huyo mtoa mada siyo mnafiki kama wanaoficha ID zao baada ya kutoa comments za kijinga
 
Hapo kwenye namba 4,kuna mtu wenu wakukulupuka,akasema mwenyewe kua hataki misaada kwasababu yeye ni tajiri.
Matokeo yake hata nusu mwaka hajamaliza kaanza kulialia ,sasa utawalaumu wakinanani wanampinga wakati hata yeye mwenyewe anajipinga.

WEWE SHANGILIA LAKINI UKUMBUKE AWAMU HII ITAMGUSA/ITAMFIKIA KILA MMOJA
 
You are retarded just like ur leader
How,,retarded is you who cant think and remains as an empty jug to be fed by and claps for any thing spoken na hao political masters wako
 
How,,retarded is you who cant think and remains as an empty jug to be fed by and claps for any thing spoken na hao political masters wako
Are you asking me how retarded you are? Then i think you are fully grown retard handicapped mind who looks at his country sink and he cant open his mouth bcoz it stinks " now you know"
 
Juhudi za rais zimekuwa sheria! Toba!!!
 
Kwani nani aliwazuia kwenda mahakamani? Raila kaenda mahakamani kwa kuwa ameona kaibiwa na ako na evidence.Nyie si mlikalia kuiharibia jina nchi yetu kuwa mliibiwa na hamkuenda kwa court....ongea ukiwa una jisikiliza unachoongea.Maalim Seif alienda Ulaya sijui Marekani ,,,,Real people go to court hawapigi kelele majukwaani.Jifunzeni kwa Raila
[emoji107] [emoji107]
 
Are you asking me how retarded you are? Then i think you are fully grown retard handicapped mind who looks at his country sink and he cant open his mouth bcoz it stinks " now you know"
Hujui hata english use swahili weyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,,''sink''
 
Ofcoz sijui but am sure ur stupid
Unazidi kuonyesha psychotic sypmtoms hiyo tunaita delusion ,,ni ugonjwa kama magonjwa mengine.The patient present with wrong belief umeamini kuwa mi ni mjinga na wakati in fact am not stupid,, so you are sick,,,go and seek medical help brother
 
Kuna watu ambao wao kila kukicha wanatafuta sababu za kuisema vibaya serikali hata kama hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo.Nitatoa mifano michache hapa;
MOSI
Serikali iliahidi elimu bure;watu hawa wamepinga na kusema elimu bure haipo.Ungekuwa upinzani mzuri ungeipongeza kwanza serikali kwa juhudi zake kubwa and then wangetoa maoni ya namna ya kuboresha changamoto zake.

PILI
Kuiita taarifa ya Kamati ya kwanza ya madini kuwa ni takataka.Hili neno sitalisahau maana lilitolewa na mmoja wa viongozi wa CHADEMA tena mwana sheria mkuu,By implication alimaanisha sisi sote tuliokuwa tuna isubiri hiyo ripoti ni takataka duh! Tusi baya sana.

TATU
Kuna ndugu zetu walikuwa wanauawa kinyama kibiti hawa watu walikuja na kauli kuwa
kama serikali haitawasikiliza bungeni basi mauaji yale yangeendela nchi nzima.There is no crime which can justify taking human life,,yaani hakuna kosa linaloweza sababisha mtu akawa na uhalali wa kutoa uhai wa mtu.Hawa ndio wanategemea kupigiwa kura 2020? Watasubiri sana

NNE
Watu hawa waliomba tunyimwe misaada ili tufe na magonjwa,njaa,tushindwe kusoma,ect.Waliposema Wanaomba Rais anyimwe misaada walimaanisha watanzania wote tunyimwe misaada tufe.Can yo imagine that?,,,,,,,,,,,,,,And unakuta mtu bado anashabikia harakati za aina hii? kweli do you think brother?

Mwisho;Unapopingana na juhudi za serikali katika kuleta maendeleo na ukaonyesha upinzani wako wazi wazi;wewe haupingani na Rais wewe ni adui yetu watanzania wote kwani Rais huyu unaemuona tulimuweka sisi.Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura.

Say no to anti-government movement.
Long live JPM;HAPA KAZI TU
Free mind@jaruri
0712207633
d607a25f97a3bf614c5893c89e345629.jpg

JK mwenyewe anamkosoa Rais, itakuja wee kidampa unayejipendekeza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom