Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Ngoja nikujibu hoja yako.Nchi yetu ina watumishi na watanzania wasiokuwa watumishi.Wote wanahitaji kubenefit na keki ya taifa,Hivyo kuto pandishwa mishahara ni katika juhudi za kuhakikisha serikali inafanya uhakiki ili kila pesa ya mlipa kodi inaenda kwa mtu sahihi.na pia hawa wengine wasiokuwa na watumishi wapate haki yao kama madawa,bara bara na maji
Mpaka leo mnahakiki!
 
Mkuu, naomba unisaidie hivi kwa nini vijana Wa Lumumba nao wanatumia fake ID wakati Kazi yao ni kutoa mapambio kama haya? Si ingekuwa vizuri zaidi wakajitambulisha wazi ili wazawadiwe na mpenda sifa?

ACHA nikae KIMYA...!
Our motive is not to be awarded any thing;we have the sincere reason to support our president.Habari ya vyeo kamuulize sepanga alivyokuja CDM may BE aliahidiwa u matron CDM
 
ADUI MKUBWA WA NCHI HII NI GENGE LINALOITWA CCM KWANI WABUNGE WAKE NDIYOM WAMEPITISHA SHERIA TATA ZILIZO ZAA MIKATABA YA KINYONYAJI NA KIFISADI INAYOTUPA SHIDA KUJINASUA .
Wabunge ni binadamu kama wewe,nionyeshe ilani ya CCM inayo ruhusu kupitishwa kwa mikataba mibovu.Gari linaweza kuwa zuri lakini dereva mmbaya,,haimaanishi gari halifai.Sasa hivi tuna Uongozi tofauti kabisa na habari za miaka iliyopita ishakuwa story.Ni sawa na CHADEMA YA 2015 back wards sio hii ya leo,,Walimkaribisha ndugu yetu ambae mwanzo walimuita fisadi,,sasa hivi hawana moral authority ya kuzungumzia ufisadi wamebakiwa na kiki za Kisutu na press conference tu.
 
Kuna watu ambao wao kila kukicha wanatafuta sababu za kuisema vibaya serikali hata kama hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo.Nitatoa mifano michache hapa;
MOSI
Serikali iliahidi elimu bure;watu hawa wamepinga na kusema elimu bure haipo.Ungekuwa upinzani mzuri ungeipongeza kwanza serikali kwa juhudi zake kubwa and then wangetoa maoni ya namna ya kuboresha changamoto zake.

PILI
Kuiita taarifa ya Kamati ya kwanza ya madini kuwa ni takataka.Hili neno sitalisahau maana lilitolewa na mmoja wa viongozi wa CHADEMA tena mwana sheria mkuu,By implication alimaanisha sisi sote tuliokuwa tuna isubiri hiyo ripoti ni takataka duh! Tusi baya sana.

TATU
Kuna ndugu zetu walikuwa wanauawa kinyama kibiti hawa watu walikuja na kauli kuwa
kama serikali haitawasikiliza bungeni basi mauaji yale yangeendela nchi nzima.There is no crime which can justify taking human life,,yaani hakuna kosa linaloweza sababisha mtu akawa na uhalali wa kutoa uhai wa mtu.Hawa ndio wanategemea kupigiwa kura 2020? Watasubiri sana

NNE
Watu hawa waliomba tunyimwe misaada ili tufe na magonjwa,njaa,tushindwe kusoma,ect.Waliposema Wanaomba Rais anyimwe misaada walimaanisha watanzania wote tunyimwe misaada tufe.Can yo imagine that?,,,,,,,,,,,,,,And unakuta mtu bado anashabikia harakati za aina hii? kweli do you think brother?

Mwisho;Unapopingana na juhudi za serikali katika kuleta maendeleo na ukaonyesha upinzani wako wazi wazi;wewe haupingani na Rais wewe ni adui yetu watanzania wote kwani Rais huyu unaemuona tulimuweka sisi.Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura.

Say no to anti-government movement.
Long live JPM;HAPA KAZI TU
Free mind@jaruri
0712207633

hakuna lolote la maana analofanya huyo dikiteta uchwala,yaani ni fulu maigizo tu,na wewe funga ****** acha kujamba jamba humu jukwaani.
 
Kama Rais mwenyewe anasemakua Mawaziri ni wajinga, ni wapumbavu,je wewe si umepitiliza kwa ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mlishangilia Raila kunyolewa kenya,,,unazungumziaje habari ya kiini macho.we kaa kimya tia nywele zako maji utanyolewa

Halafu wewe unapozungumzia Tanzania usijaribu hata kidogo kuifananisha na Kenya, kiukweli Kenya ni next level ukilinganisha na nchi yetu. Angalia Kenya baada ya kuona kuna mvutano kuhusu matokeo kesi imeenda mahakamani, na ili kutoa shakashaka inaendeshwa live. Je umeona kilichoteka uchaguzi wa Znz? Kuna sheria ya kufuta uchaguzi wote? Hapa kwetu tu hata taarifa ya nini kinaendelea kwenye mazungumzo na Barrick hatujui achia mbali hata wawakilishi wetu kwenye mazungumzo hayo.

Rais wa Kenya ana uzalendo wa kweli na sio huu wa kuigiza, juzi amegoma wabunge kuongezewa mishahara kwa kutaka hizo hela zikatumikie wananchi. Je hapa hata mshahara wa rais unaujua ni kiasi gani huku akipata huduma karibia zote bure? Tumebaki tunajisifia hatuna ukabila wa mdomoni lakini wenzetu wenye ukabila wa wazi uchumi wao ni bora kuliko wetu, na wana uwazi mkubwa kuliko sisi tunaojisifia hatuna ukabila wa wazi. We jikalie tu kimya maana propaganda hazilipi tuna madhaifu ya wazi chini ya awamu hii, kwa hiyo ukiona watu wanakosoa hawakosoi kwa bahati mbaya bali ndio ukweli
 
acha utumbo wewe, ivi kwa mfano umesomesha mtoto wako alafu akaambiwa ajira hakuna,na pindi umemsomesha kwa shida wewe ungejisikiaje? maisha yamekuwa magumu sana
 
Halafu wewe unapozungumzia Tanzania usijaribu hata kidogo kuifananisha na Kenya, kiukweli Kenya ni next level ukilinganisha na nchi yetu. Angalia Kenya baada ya kuona kuna mvutano kuhusu matokeo kesi imeenda mahakamani, na ili kutoa shakashaka inaendeshwa live. Je umeona kilichoteka uchaguzi wa Znz? Kuna sheria ya kufuta uchaguzi wote? Hapa kwetu tu hata taarifa ya nini kinaendelea kwenye mazungumzo na Barrick hatujui achia mbali hata wawakilishi wetu kwenye mazungumzo hayo.

Rais wa Kenya ana uzalendo wa kweli na sio huu wa kuigiza, juzi amegoma wabunge kuongezewa mishahara kwa kutaka hizo hela zikatumikie wananchi. Je hapa hata mshahara wa rais unaujua ni kiasi gani huku akipata huduma karibia zote bure? Tumebaki tunajisifia hatuna ukabila wa mdomoni lakini wenzetu wenye ukabila wa wazi uchumi wao ni bora kuliko wetu, na wana uwazi mkubwa kuliko sisi tunaojisifia hatuna ukabila lakini tuna ukabila wa wazi. We jikalie tu kimya maana propaganda hazilipi tuna madhaifu ya wazi chini ya awamu hii, kwa hiyo ukiona watu wanakosoa hawakosoi kwa bahati mbaya bali ndio ukweli
Kwani nani aliwazuia kwenda mahakamani? Raila kaenda mahakamani kwa kuwa ameona kaibiwa na ako na evidence.Nyie si mlikalia kuiharibia jina nchi yetu kuwa mliibiwa na hamkuenda kwa court....ongea ukiwa una jisikiliza unachoongea.Maalim Seif alienda Ulaya sijui Marekani ,,,,Real people go to court hawapigi kelele majukwaani.Jifunzeni kwa Raila
 
Matusi kama kawa,,hoja hakuna mmekalia kupigia makofi kila hoja regareless its credibility..endeleeni kupanua vidole na kusema peoplessssssssss!! sisi tuna deliver kwa wananchi.CCM oyeeeeeeeee!
mnadeliver kitu gani au mnadeliver ile mikia yenu ilioneneoa au,hivi wewe huoni maisha yalivyo magumu au upo tu kushabikia siasa,.
 
acha utumbo wewe, ivi kwa mfano umesomesha mtoto wako alafu akaambiwa ajira hakuna,na pindi umemsomesha kwa shida wewe ungejisikiaje? maisha yamekuwa magumu sana
Think out of the box,,ajira ni shida kote hata uende marekani au hapa jirani kenya hapa.But all in all serikali imetangaza kuajiri baadhi ya wahitimu kulingana na nafasi zitakazo kuwepo.But tujifunze kujiajiri rafiki
 
Matusi kama kawa,,hoja hakuna mmekalia kupigia makofi kila hoja regareless its credibility..endeleeni kupanua vidole na kusema peoplessssssssss!! sisi tuna deliver kwa wananchi.CCM oyeeeeeeeee!
Matusi umetaka wewe unakuja na hoja za kijinga,unadhani watanzania wa leo ni wajuzi?angalia upupu umeweka kwenye maji mwenyewe unalia kuwashwa.
Pereka Ubashite uko lumumba mmesaini mikataba wenyewe,mme vunja mikataba kwa mikonoyenu wenyewe,alafu unadai kua mnapingwa lipi jema mpaka msipingwe?
Unafaa kunyongwa na mimi mwenyewe swain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nani aliwazuia kwenda mahakamani? Raila kaenda mahakamani kwa kuwa ameona kaibiwa na ako na evidence.Nyie si mlikalia kuiharibia jina nchi yetu kuwa mliibiwa na hamkuenda kwa court....ongea ukiwa una jisikiliza unachoongea.Maalim Seif alienda Ulaya sijui Marekani ,,,,Real people go to court hawapigi kelele majukwaani.Jifunzeni kwa Raila

Matokeo ya urais yanahojiwa mahakamani hapa nchini? Je ni mara moja baadhi ya wananchi wanapinga sheria hiyo kasoro wanaccm kwa kuwa inawabeba? Umeangalia muundo wa tume ya uchaguzi ya Kenya? Unajaribu kujenga hoja ila unashindwa kusimama kwenye facts umebaki unajibanza kwenye propaganda.
 
basi bashite acha nikuache umeshinda bashite malyangili manzi ya mzee.
But mi sio bashite Rafiki.....See you when your leaders utters a word without prior thinking,,I will be at this platform teaching you patriotism.Nice evening bro
 
Back
Top Bottom