Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Unazidi kuonyesha psychotic sypmtoms hiyo tunaita delusion ,,ni ugonjwa kama magonjwa mengine.The patient present with wrong belief umeamini kuwa mi ni mjinga na wakati in fact am not stupid,, so you are sick,,,go and seek medical help brother
Apart from ur stupidity also u r in denial stage its a matter of time u will make amends u r not alone though stinky
 
Watu wanapinga kazi ya Mungu alieumba mbingu na nchi sembuse huyo raisi wako ndo asipingwe amekua nani yeye sasa?
 
Juhudi za rais ni kutumikia watz kwa kufuata katiba na kitabu cha dini alichoapa kwacho SIO KULETA USHETANI. Ushetani lazima upingwe.......................
 
Kuna watu ambao wao kila kukicha wanatafuta sababu za kuisema vibaya serikali hata kama hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo.Nitatoa mifano michache hapa;
MOSI
Serikali iliahidi elimu bure;watu hawa wamepinga na kusema elimu bure haipo.Ungekuwa upinzani mzuri ungeipongeza kwanza serikali kwa juhudi zake kubwa and then wangetoa maoni ya namna ya kuboresha changamoto zake.

PILI
Kuiita taarifa ya Kamati ya kwanza ya madini kuwa ni takataka.Hili neno sitalisahau maana lilitolewa na mmoja wa viongozi wa CHADEMA tena mwana sheria mkuu,By implication alimaanisha sisi sote tuliokuwa tuna isubiri hiyo ripoti ni takataka duh! Tusi baya sana.

TATU
Kuna ndugu zetu walikuwa wanauawa kinyama kibiti hawa watu walikuja na kauli kuwa
kama serikali haitawasikiliza bungeni basi mauaji yale yangeendela nchi nzima.There is no crime which can justify taking human life,,yaani hakuna kosa linaloweza sababisha mtu akawa na uhalali wa kutoa uhai wa mtu.Hawa ndio wanategemea kupigiwa kura 2020? Watasubiri sana

NNE
Watu hawa waliomba tunyimwe misaada ili tufe na magonjwa,njaa,tushindwe kusoma,ect.Waliposema Wanaomba Rais anyimwe misaada walimaanisha watanzania wote tunyimwe misaada tufe.Can yo imagine that?,,,,,,,,,,,,,,And unakuta mtu bado anashabikia harakati za aina hii? kweli do you think brother?

Mwisho;Unapopingana na juhudi za serikali katika kuleta maendeleo na ukaonyesha upinzani wako wazi wazi;wewe haupingani na Rais wewe ni adui yetu watanzania wote kwani Rais huyu unaemuona tulimuweka sisi.Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura.

Say no to anti-government movement.
Long live JPM;HAPA KAZI TU
Free mind@jaruri
0712207633
We akili yako mbovu sana sio lazima wote tukubaliane na anachofanya rais, binadamu tumeumbwa tofauti unaweza kuwa mkiristo me muislam wewe mgogo mimi msambaa wewe chama zilipendwa mimi chadema mpaka hapo angalau hata kama hauna shule utakuwa umeelewa kdg kwann hatuko sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom