Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Ngoja nikujibu hoja yako.Nchi yetu ina watumishi na watanzania wasiokuwa watumishi.Wote wanahitaji kubenefit na keki ya taifa,Hivyo kuto pandishwa mishahara ni katika juhudi za kuhakikisha serikali inafanya uhakiki ili kila pesa ya mlipa kodi inaenda kwa mtu sahihi.na pia hawa wengine wasiokuwa na watumishi wapate haki yao kama madawa,bara bara na maji
Sheria zinasemaje?mpk sasa lipi liko kwenye mstari?!!acheni kumsifia sifia visivyo na maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ameweka namba kisha akasahau kutumia jina bandia ni zwazwa tu! Afanye edit jina ajiandike Titus John(aliyosajilia line) ili apewe umakamu polepole pale Lumumba!
Tetetetetetetetete!! Post is not within my agenda,My motive is to support my president for the benefit of my country. Hayo mengine ya kwenu
 
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Ninyi ndo hasara kabisa kwa taifa na wazazi wenu kwa ujumla...jitu linalojitambua huwezi kuwaza shallow namna hii...sina hakika marafiki zako uliosoma nao MUCE wana akili finyu kama zako! And bad enough umesome education!
 
Wala hawatomuweza,Rais anaombewa usiku na mchana na Mungu kamuweka pale kwa sababu,wataishia tu kuvurugana(Rejea ujenzi wa mnara wa Babeli).
 
Ninyi ndo hasara kabisa kwa taifa na wazazi wenu kwa ujumla...jitu linalojitambua huwezi kuwaza shallow namna hii...sina hakika marafiki zako uliosoma nao MUCE wana akili finyu kama zako! And bad enough umesome education!
Mzeee umeamua kunitafuta hadi MUCE;nadhani umebakiza kuja kupiga hodi hadi gheto! karibu sana.Lakini ninachotaka ni wewe kujibu hoja zangu and then nitaona my myopic view
 
Huna hoja, hujui kujenga hoja na nina wasi wasi hata tasnifu yako ilipitaje ikiwa hukukamatwa!
 
Kumbe kasoma MUCE iringa ndio maana.
Mzeee umeamua kunitafuta hadi MUCE;nadhani umebakiza kuja kupiga hodi hadi gheto! karibu sana.Lakini ninachotaka ni wewe kujibu hoja zangu and then nitaona my myopic view

Sent using Jamii Forums mobile app
 
musituchoshe na hii failed state nyie muna laana ya kuiba kura na kupachikwa na vitengo uwezo hamna fikra mpy kaputi eti bashite gambo na mnyeti ndio best mathink tanks what a poor strategy sasa mumekwama mambo hayendi muko kwenye defensive tuache kuwa ant government kama inatupeleka jehanum
 
Huna hoja, hujui kujenga hoja na nina wasi wasi hata tasnifu yako ilipitaje ikiwa hukukamatwa!
Hoja ndio hizi,jibu ziko nne jibu hata mbili tu.Mnaposema tunyimwe misaada kwa akili yenu finyu mnadhani Efeect itakuwa kwa Rais ? 2020 wananchi watawaadhibu vikali na hamtasahau
 
musituchoshe na hii failed state nyie muna laana ya kuiba kura na kupachikwa na vitengo uwezo hamna fikra mpy kaputi eti bashite gambo na mnyeti ndio best mathink tanks what a poor strategy sasa mumekwama mambo hayendi muko kwenye defensive tuache kuwa ant government kama inatupeleka jehanum
Nani aloshindwa kati yetu na nyie? Mmegeuza TLS chombo cha siasa na leo mmeumbuliwa na wakili mzalendo 2020 mtakiona cha moto
 
tunaongea habari za Magufuli na kkushindwa kuongoza nchi as we speek kesha kuwa totally confused aendelee kula bure na kusaza kwa kodi zetu lakini hana msaada wowote kwa nchi zaidi ya kuwa mzigo spin doctor acha kujifaragua
 
Back
Top Bottom