Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

Hoja ndio hizi,jibu ziko nne jibu hata mbili tu.Mnaposema tunyimwe misaada kwa akili yenu finyu mnadhani Efeect itakuwa kwa Rais ? 2020 wananchi watawaadhibu vikali na hamtasahau
Wakina nani walisema mnyimwe msaada? kwani unayemuabudu hakusema hahitaji msaada na kwamba anaweza kuendesha serikali yake kwa mapato ya ndani? wewe ni wakupima haja kubwa kabisa maana mkojo sio dili tena siku hizi!
 
Naona umeweka na mawasiliano kabisa ''just in case'' wakikutafuta wakupate.

TANU/CCM iliyotawala kwa miaka ZAIDI YA 60 sasa bado inalialia kuhusu watu wanaowapinga kana kwamba ndio sababu ya umaskini uliokithiri kwa watanzania.
 
Nani aloshindwa kati yetu na nyie? Mmegeuza TLS chombo cha siasa na leo mmeumbuliwa na wakili mzalendo 2020 mtakiona cha moto
Tunaongelea serikali ya awamu ya tano ni kaputi nothing is moving uongozi umelala unadhani kuendesha nchi ni upedeshee na vyombo vya habari na kupayuka wewe unaleta vitu vingine unakimbia nini nchi imewashinda wezi wakubwa nyie
 
kama imekidhi vigezo vya takataka,..inapaswa kuitwa takataka na si kingine.
We ni mwanasheria una pima vigezo vya mtaalamu wa madini kwa authority gani? and then hiyo takataka ndio ilipelekea miswaada kupelekwa bungeni.kwa hiyo unataka kuniambia wambunge wote wakiwepo wa upinzani walikuwa wanajadili takataka? Acha kuongea bila kufikiri rafiki
 
unaongea maneno mengi bila kuelewa nimeandika nini,mimi nimesema kama imekidhi vigezo vya takatakata n takataka...hilo swali kamuulize lisu aliyeiita ripoti takataka,..mimi sijui vigezo vya takataka.
 
Tunaongelea serikali ya awamu ya tano ni kaputi nothing is moving uongozi umelala unadhani kuendesha nchi ni upedeshee na vyombo vya habari na kupayuka wewe unaleta vitu vingine unakimbia nini nchi imewashinda wezi wakubwa nyie
Kilichotushinda nini? Tumetekeleza ahadi za CCM kwa kiwango kikubwa.Elimu bure,bara bara,tozo kwa wakulima,nidhamu kazini,ufisadi umedhibitiwa,maji yanapatikana na yaendelea kupatikana etc.Nyie kalieni siasa za KIKI za kisutu na kwenye media,,2020 mtanyooka
 
unaongea maneno mengi bila kuelewa nimeandika nini,mimi nimesema kama imekidhi vigezo vya takatakata n takataka...hilo swali kamuulize lisu aliyeiita ripoti takataka,..mimi sijui vigezo vya takataka.
Nikup ushauri wa bure;akili za kupewa ongezea na zako,,acha tabia ya kushabikia kila kitu bila kujua undani wake.Tumia akili yako japo portion ndogo tu kufikiri.Itakusaidia sana rafiki
 
Nikup ushauri wa bure;akili za kupewa ongezea na zako,,acha tabia ya kushabikia kila kitu bila kujua undani wake.Tumia akili yako japo portion ndogo tu kufikiri.Itakusaidia sana rafiki
sioni kama una upeo wa kunipa ushauri
 
Kuweka na namba ya simu kabisa ili wakukumbuke kwenye ufalme wao sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba unisaidie hivi kwa nini vijana Wa Lumumba nao wanatumia fake ID wakati Kazi yao ni kutoa mapambio kama haya? Si ingekuwa vizuri zaidi wakajitambulisha wazi ili wazawadiwe na mpenda sifa?

ACHA nikae KIMYA...!
 
Ok kumbe ni wewe mrembo,,,acha nikujibu kwa ufasaha.Rais alivyo ingia madarakani alinza na kusafisha nyumba.Mlisema hatatoa ajira ametoa,,sasa hata hili la watumishi atatekeleza tu just by time.

Rais katoa ajira mpya au anajaza nafasi zilizoachwa wazi na vyeti fake?
 
Kuna watu ambao wao kila kukicha wanatafuta sababu za kuisema vibaya serikali hata kama hakuna sababu ya msingi ya kufanya hivyo.Nitatoa mifano michache hapa;
MOSI
Serikali iliahidi elimu bure;watu hawa wamepinga na kusema elimu bure haipo.Ungekuwa upinzani mzuri ungeipongeza kwanza serikali kwa juhudi zake kubwa and then wangetoa maoni ya namna ya kuboresha changamoto zake.

PILI
Kuiita taarifa ya Kamati ya kwanza ya madini kuwa ni takataka.Hili neno sitalisahau maana lilitolewa na mmoja wa viongozi wa CHADEMA tena mwana sheria mkuu,By implication alimaanisha sisi sote tuliokuwa tuna isubiri hiyo ripoti ni takataka duh! Tusi baya sana.

TATU
Kuna ndugu zetu walikuwa wanauawa kinyama kibiti hawa watu walikuja na kauli kuwa
kama serikali haitawasikiliza bungeni basi mauaji yale yangeendela nchi nzima.There is no crime which can justify taking human life,,yaani hakuna kosa linaloweza sababisha mtu akawa na uhalali wa kutoa uhai wa mtu.Hawa ndio wanategemea kupigiwa kura 2020? Watasubiri sana

NNE
Watu hawa waliomba tunyimwe misaada ili tufe na magonjwa,njaa,tushindwe kusoma,ect.Waliposema Wanaomba Rais anyimwe misaada walimaanisha watanzania wote tunyimwe misaada tufe.Can yo imagine that?,,,,,,,,,,,,,,And unakuta mtu bado anashabikia harakati za aina hii? kweli do you think brother?

Mwisho;Unapopingana na juhudi za serikali katika kuleta maendeleo na ukaonyesha upinzani wako wazi wazi;wewe haupingani na Rais wewe ni adui yetu watanzania wote kwani Rais huyu unaemuona tulimuweka sisi.Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura.

Say no to anti-government movement.
Long live JPM;HAPA KAZI TU
Free mind@jaruri
0712207633
Hahahaha walitaka mnyimwe misaada ili mfe! Hayo maneno nimecheka kweli nikajisemea kwa akili za namna hii mtaweza kuleta Tanganyika ya viwanda kweli!
 
Hahahaha walitaka mnyimwe misaada ili mfe! Hayo maneno nimecheka kweli nikajisemea kwa akili za namna hii mtaweza kuleta Tanganyika ya viwanda kweli!
Rafiki,nchi zinazo endelea nyingi bado zina hitaji boost kidogo toka nje na hilo halina ubishi.Sasa kwa kauli ya bwana yule alitaka tukatiwe bomba kabisaaaaa,,,imagine what could happen ..no ARVS,au kama zipo ni kwa kiwango kidogo,no TASAF na meninge ....hapo mkuu death was inevitable
 
2020 kuna uchaguzi au ni kiini macho cha uchaguzi?
Kama mlishangilia Raila kunyolewa kenya,,,unazungumziaje habari ya kiini macho.we kaa kimya tia nywele zako maji utanyolewa
 
Kama mlishangilia Raila kunyolewa kenya,,,unazungumziaje habari ya kiini macho.we kaa kimya tia nywele zako maji utanyolewa

sijawahi kujihusisha na siasa za Kenya. Au kila unayemuona hapa unadhani yuko kwenye mtazamo unaodhani wewe?
 
Kwa kuwa hii serekali ilikuwa inateua watu walionekana ni watetezi wake sasa limeibuka kundi la wajinga hadi na namba za simu wanaweka. Sijui ni kwa mtego au ni kutaka kupewa vyeo ila wao wanajua. Mleta uzi nakwambia wazi hiki ulichoandika hapa ni pumba tena mashudu. Tuleteeni hoja za msing nasi tutawajibu kwa muktadha huo ila mkileta shudu tunawajibu shudu.
"Rais mwingine alikataliwa na wananchi na kunyimwa kura".Anakuwaje raisi halafu akanyimwa kura? Halafu unataka tukujibu. Nyumbu wewe.

Huyo umempa sifa inawezekana hana tofauti na wale "Mawaziri wa Mkuu" naogopa kutaja sifa yao nitapata BAN
 
sijawahi kujihusisha na siasa za Kenya. Au kila unayemuona hapa unadhani yuko kwenye mtazamo unaodhani wewe?
Bora umejitoa kwenye hilo kundi,,congrats mkuu
 
Bora umejitoa kwenye hilo kundi,,congrats mkuu

Mkuu kumbe wewe humu ndani unawakilisha kundi? Pole nilidhani uko na mawazo yako mwenyewe kama nilivyo mimi kumbe wewe ni kundi!!
 
ADUI MKUBWA WA NCHI HII NI GENGE LINALOITWA CCM KWANI WABUNGE WAKE NDIYOM WAMEPITISHA SHERIA TATA ZILIZO ZAA MIKATABA YA KINYONYAJI NA KIFISADI INAYOTUPA SHIDA KUJINASUA .
 
Back
Top Bottom