Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,617
- 22,523
Ok. Je kazi gani nyingine ya internet huwa unaifanya kwenye mitandao?Mkuu kwenye Maswala ya matumizi na kudhibiti background data niko vizuri. Bado pia huwa nawasha data saver mode kwa sababu ya matumizi mabayaa
Au kuna mtu amejihotspot kisirisiri cause that's crazy man..10gb kwa siku??!! Hapo siku haijaishaBasi wananiibia,
Hii sio kawaida!
Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee!
Youtube
Insta
Fb
Site za wakubwa(twice)
Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu)
.. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being layed off my job. Ni hatari saana. Alaf unaambiwa men's mental health is not real.
View attachment 3610153
I feel like I need time off.
uzuri umetambua kwamba hilo na umeamua kuchukua hatua,so you arleady on the path to yourHii sio kawaida!
Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee!
Youtube
Insta
Fb
Site za wakubwa(twice)
Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu)
.. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being layed off my job. Ni hatari saana. Alaf unaambiwa men's mental health is not real.
View attachment 3610153
I feel like I need time off.
freedom10GB zinafika na kuzidiAngalia na settings za chombo chako bhana!
Kuangalia tu mavitu ziende gb10 kwa siku!
Duhh! HatariMimi siku 3 max
Mimi nashangaa kwa sababu hata nitumie siku nzima mtandaoni (TikTok na insta) sijawahi kuvuka Gb tatu10GB zinafika na kuzidi
1. Youtube
2. Insta
3. Facebook (ataangalia pia video)
4. Video za wakubwa
Video za dk 3 kwa quality 720p huwa ni 26-39mb. Jiulize umeangalia video za dk ngapi? Hizo 10Gb ni chache sana
Kuna watu wa Nahisi ni nyingi, matumizi na quality haviongopei10GB zinafika na kuzidi
1. Youtube
2. Insta
3. Facebook (ataangalia pia video)
4. Video za wakubwa
Video za dk 3 kwa quality 720p huwa ni 26-39mb. Jiulize umeangalia video za dk ngapi? Hizo 10Gb ni chache sana
Kwa website unazotembelea 10GB ni chache sana.Hakuna mkuu
Just ni kupangilia tu ratiba zako .... nikiwa busy na mambo yangu simu huwa napokea tu zile muhimu... nikiwa free ndo nascroll kidogo mitandaoni !!! Khs mb kwenda nyingi inategemq na setting za simu yako .....Ni addiction mkuu, huwa unawezaje?
Mkuu Mm nia yangu ni kuepuka addiction.Kwa website unazotembelea 10GB ni chache sana.
Video ya dk 3 yenye quality ya 720p huwa ni mb26-40mb
Kingine kasi ya utumiaji wa mb ya kutoka edge, 3G (H+), 4G na 5G ni tofauti. 4G na 5G kama una mb za mawazo, tumia 3G tu.
Mwenyewe huwa natumia 3G (H+) siweki 4G maana mb500 kuisha ni chapu tu hata kama una peruzi
Mh! Inamaana kazi zingine kufanya kwa siku hiyo hakuna!10GB zinafika na kuzidi
1. Youtube
2. Insta
3. Facebook (ataangalia pia video)
4. Video za wakubwa
Video za dk 3 kwa quality 720p huwa ni 26-39mb. Jiulize umeangalia video za dk ngapi? Hizo 10Gb ni chache sana
Youtube, Facebook na mitandao ya wakubwa settings zao huwa zipo Auto. Kwahiyo inajesti quality kulingana na nguvu ya mtandao na ubora wa simuMimi nashangaa kwa sababu hata nitumie siku nzima mtandaoni (TikTok na insta) sijawahi kuvuka Gb tatu
Un install hizo app zinazokula bandoHii sio kawaida!
Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee!
Youtube
Insta
Fb
Site za wakubwa(twice)
Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu)
.. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being layed off my job. Ni hatari saana. Alaf unaambiwa men's mental health is not real.
View attachment 3610153
I feel like I need time off.
Kwa mtoa mada , wachawi wake wakubwa ni Youtube, Insta na hizo video za wakubwa especially kama zote huwa anaangalia kwa high quality.Mimi nashangaa kwa sababu hata nitumie siku nzima mtandaoni (TikTok na insta) sijawahi kuvuka Gb tatu