HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii
2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali
3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu
5.Wastaafu waliodhurumiwa mafao yao na serikali bila sababu za msingi
6.Wanaobambikiziwa kesi na polisi pasipo kufanya uchunguzi wa kina
7.Wakandarasi waliodhurumiwa malipo yao na serikali baada ya kufanyakazi mbalimbali
8.Kundi la vijana waliokosa ajira baada ya kusoma kwa mkopo wa serikali na kuambiwa wajiari bila kupewa fursa na mitaji
9.Wagonjwa waliokosa matibabu kutokana na mpango mbovu wa serikali kupitia mfuko wa bima ya afya
10.Waathirika wa uzembe wa serikali na na watumishi wake
11.Ongeza kundi lako
Serikali ya Tanzania imalizane kwa maridhiano na makundi haya siyo viongozi wa dini na vyama vya upinzani au wazee