[emoji40][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hawana chura
lkn wanameza chura!Hawana chura
Kwa mara ya kwanza nyoka anapata mtetezi, hivi mnavikiri laana aliyonao nyoka inaisha , wewe fikiri nyoka hata umfuge miaka mingapi bado atakung'ata tu, nyoka hana urafiki na kiumbe kingine chochote kwa mfano paka na mbwa, simba na binadamu, paka na kuku, mbwa na bata,Kila kiumbe kina nafasi yake. Nyoka anakuchukia wewe kwa kumuua bila sababu. Nyoka haumi kiumbe ambacho hakiitaji kwa mlo labda umkanyage au umwonyeshe dalili za kumdhuru. Mimi mwenyewe naogopa nyoka kuliko kila kitu ila nimepata therapist ambaye aliniambia kuwa nyoka ana aibu sana isipokuwa kama aina mbili hivi ambao ni wakorofi nao inabidi uingie anga zao. Nyoka anabalance kwa kula panya na viumbe ambao wewe mwenyewe ungewatega kuwaua nyumbani mwako. nyoka kaumbwa kama wewe hivyo ana haki ya kuishi. Ukimkuta kwako mfukuze arudi porini kumuua ni sawa umejiua wewe in future.
Sio wa kwanza huyu,kuna mtu alileta na uzi juu anawasifia eti nyoka wastaarabu,wana aibu khaa!!Kwa mara ya kwanza nyoka anapata mtetezi, hivi mnavikiri laana aliyonao nyoka inaisha , wewe fikiri nyoka hata umfuge miaka mingapi bado atakung'ata tu, nyoka hana urafiki na kiumbe kingine chochote kwa mfano paka na mbwa, simba na binadamu, paka na kuku, mbwa na bata,
Hiki kiumbe sio chakufanyia utani jamani, kwanza hakina faida kwa binadamu wala wanyama wengine,
Nyoka ni adui wa viumbe vyote duniani
Huyo alileta story za kwenye movie , usifanye mchezo na nyoka jamani, vibabu vya dini vyote vimemuelezea nyoka ni mdudu hatari sana,Sio wa kwanza huyu,kuna mtu alileta na uzi juu anawasifia eti nyoka wastaarabu,wana aibu khaa!!
Simba, chui, Ngedere wana faida gani kwa binadamu? Mbona huruhusiwi kumuua? Nyoka hafukuzi mtu barabarani wala porini. Nyoka mnafuata mapokeo tu lakini ana faida na yeye. Ni chakula kwa watu wengine, mikoba mnayoshika ni ngozi yake, ni dawa kama umegongwa na mwezie sumu yake ndo dawa yako, anapunguza panya majumbani na mashambani, ni kiumbe cha Mungu ambacho kina haki ya kuishi. Je samaki, Ng'ombe akiambiwa watoe mawazo yao kuhusu binadamu wataandika nini, Mbuzi, Kondoo na viumbe wengine kama Kuku, bata nk.? Hakuna kiumbe mbaya kama binadamu. Sisi ni wabaya kwa wanyama na mimea pia.Kwa mara ya kwanza nyoka anapata mtetezi, hivi mnavikiri laana aliyonao nyoka inaisha , wewe fikiri nyoka hata umfuge miaka mingapi bado atakung'ata tu, nyoka hana urafiki na kiumbe kingine chochote kwa mfano paka na mbwa, simba na binadamu, paka na kuku, mbwa na bata,
Hiki kiumbe sio chakufanyia utani jamani, kwanza hakina faida kwa binadamu wala wanyama wengine,
Nyoka ni adui wa viumbe vyote duniani
Mbona nimeambiwa kuna nyoka wengine ukiwamis unatoaga chozi?[emoji1]View attachment 656051 sipendi nyoka ,,natamani wasingekuwepo
Napenda kuwaangalia hasa kwenye vipindi vya wanyama au zile cd za anakonda
Bora hata za mazombi hizi picha wengine usingizi utakuwa wa mang'amung'amu!Picha na hata video za nyoka sizipendi hata kutazama.
Hata walizotuma hapa jf napita kama sioni.
Mh! Numbisa! Mie napenda kuangalia sana vipindi vya wanyama lakini sipendi kuwaangalia fisi, nyoka na mamba. Nilijaribu kuangalia pambano la nyoka utube jinsi ninavyowachukia nilishindwa kuangalia hadi mwisho.
Mimi sipendi nyoka wa katikati ya miguu...yule ndio mbaya sana.
Btw,miss you!
Aiseee usiyafanye maisha yako kuwa magumu kihivyo napenda kuwangalia kwenye video ila kuwashika laivu sipendi hasa paka uwiiii. Nikienda ugenini wanapofuga paka au mbwa wale wa kuingia hadi ndani nakosa amani hata msosi unashindwa kushuka vizuri.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nenda kakutane na chatu halafu utuletee mrejesho kama nae ana aibu
Haa kwanini mkuu?[emoji23]Eh! Una hatari weye! 😡
Mie hutanikuta mbele ya luninga naangalia hao watatu nawachukia kupita maelezo. Paka sipendi nashindwa kabisa kula wakiwa karibu. Nilialikwa chakula cha jioni nyumba yenye mipaka chungu nzima ilibidi niwaombe wenyeji waondoe paka ili niweze kula. Mbwa sina matatizo nao.