Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,152
- 1,696
Habari zenu?
Nimekaa na kufikiria kitu ambacho kina ukweli ndani yake, kitu kinachorudisha maendeleo ya vijana chini ni kamari.
Leo ukipoteza 1000 baada ya siku 10 ni 10,000. Baada ya siku 100 laki 1. Hapo unajikuta ndani ya siku 100 umeshinda mara 3. Maana kuna watu wana lost zilizokithiri.
Ni jukumu sasa la serikali kufungia hii michezo ili angalau Vijana tuone mafanikio hata kidogo.