TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

Aliumwa???
 
Duh!

Ndio najua leo kuwa huyu mwamba kafariki...

Gone too soon young fella!
 
Hivi ni kwamba sasa hivi vijana ndo tunakufa sana kwa speed ya ngiri mkia juu ama ni kawaida tu kama zamani sema sasa hivi mitandao inasaidia kusambaza taarifa?! Maana aiseeh sasa hivi ukikaa kidogo tu taarifa ya msiba wa kijana, halafu sasa hivi kuna jinamizi linawaandama waandishi wa habari vijana ama vijana kutoka vyombo vya habari, shida nini?!🤔
 
Acha tu Mkuu.
Kuna mtu tulipotezana miaka 4 hivi, nikaja kuambiwa mbona tushazika mwaka sasa umepita, nikabaki kushangaa 😢😢

Kuna
 
Mtaani kwetu mwaka jana vijana wanne wa wa umri wa 25 hadi 40 wamepukutika mfululizo hadi tukatamani kukimbia.
Ila tuseme tu kazi yake mola haina makosa.
Daaah, ningekimbia huo mtaa, inaonekana Israel aliweka kambi hapo.
 
Daaah, ningekimbia huo mtaa, inaonekana Israel aliweka kambi hapo.
Kilichofanya tujipe moyo wote waliokufa walihusishwa na pombe kali.
Yaani ni karibu karibu kiasi kwamba ukisimama katikati uite kwa sauti basi nyumba zote walipokuwa wanaishi wangesikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…