Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Mkuu there is a good reason kwanini polisi hawaruhusiwi kupeleleza kesi zinazowahusu au daktari kumfanyia operation mtu wa karibu sana na yeye..., Sababu hata decision na maamuzi yao yatakuwa calculated na yatakuwa tofauti na ingekuwa otherwise..., Kwahiyo kama sasa hivi naona death penalty haifai takuwa sipo sawa kubadilisha mawazo yangu itakapo-work against me.... Au unaona its okay tuwaachie watu waliotendwa ndio watunge sheria.....?
Inabidi maamuzi yetu yawe regardless kwamba yamenikuta mimi au sio mimi na yasiwe driven by emotions and revenge..,
Ninachosema ni kwamba, pale mtu kitu kinapokukumba si ajabu ukabadili mtazamo wa kitu hicho uliokuwa nao awali kabla ya kukumbwa. Usipinge sana ukweli huu kwa sababu ni kitu kilicho dhahiri kabisa.
Na mimi sitetei maamuzi yanayosukumwa na visasi au hisia lakini nachotetea ni kwamba experience za watu zisipuuzwe pia. Mtu aliyeuliwa mwanae kinyama na wewe ambaye hujauliwa mwanao mnaweza msiongee lugha moja kwa sababu hamna hiyo shared experience. Na kama hamna shared experience wakati mwingine kuelewana inaweza ikawa tabu kidogo. Sijui umenielewa?